matatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kunyamaza kuhusu matatizo ya Watanzania ni kufurahia shida zao

    Ni kweli kabisa sisi TANZANIA ndo wa kuhangaika kutafuta kituo kipi chenye mafuta, hapa Tanzania, kweli kabisa Rais? Umeme, vibarua wote wanaofanya kazi kwenye viwanda, wanalaza njaa watoto wao, gereji, salon, wanaishi kwa tabu sana kwa sasa Mungu akupe moyo wa kutovumilia haya mateso ya...
  2. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana

    Kama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Wagner wakumbwa na matatizo ya hela, mishahara imekuwa tafrani

    Hili zimwi alilokuwa analilea Putin na ambalo lilimsababisha aikimbie Ikulu kwa siku chache, linazidi kuwa kero, maana ni kundi la wapiganaji ambao kwa sasa wameingiwa na matatizo ya hela na kwa muktadha huo wanaweza wakawa hatari zaidi kwake na kwingine. The Wagner Private Military Company...
  4. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kuhusu matatizo ya Dotto Biteko tunahitaji Metropolitan Police

    Unakimbuka shule ya Shauritanga ilipoungua na kuua wasichana 50 +, Waziri Mkuu Malecela aliwaita Scotland Yard. Kwa sababu ya ukubwa wa tatizo. Juba tofauti gani na sasa ambapo Waziri Biteko anashutumiwa katika kifo cha msaidizi wake? Lazima Scotland Yard waletwe. Wakati ule aliketwa Collin...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Matatizo mengi tuliyo nayo yana mizizi ya kiroho. Tafuta nguvu za Mungu kuyamaliza

    Usiache kutafuta nguvu ya Mungu, maana vita ya kiroho hutakaa uiweze bila Mungu mwenyewe kuingilia Kati.
  6. Zacht

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kikundi cha Wagner Yevgeny Prigozhin, ametoa maoni yake juu ya mzizi wa matatizo nchini Niger

    "Nitajibu ni nini msingi wa mabadiliko ya mamlaka nchini Niger. Msingi(tatizo) ni uchumi. Population ya watu wa Niger imekuwa katika umaskini kwa muda mrefu. Kwa mfano, kampuni ya Ufaransa iliyochimba uranium iliiuza sokoni kwa $218, huku ikilipa Niger $11 pekee . Unaweza kufanya kazi na...
  7. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Vijiji vingi vya uchagani vilishatatua zamani matatizo yanayosumbua vijiji vingi hadi nchini. Shida ni nini kwa vijiji vingine?

    Maji Umeme Shule, Madarasa, Madawati Hospitali Barabara n.k. Hivi ni vitu ambavyo hadi leo hii vijiji vingi sana bado wanakwama. Ajabu ni kwamba uchagani hivi vitu tangu 70, 80's huko walishafika stage nzuri, shule zipo nyingi sana, madarasa yanakarabatiwa, wanafunzi hawakai chini wala...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia una Mkataba na Watanzania milioni 60 na sio wateule wako wasiozidi 300. Chukua hatua kabla hujachelewa

    1. Sasa ni wazi na hakuna ubishi tena, kuwa Mama Samia Suluhu Hassan zinakuja kelele kubwa sana kukuzomea kuwa, umeshindwa kuongoza nchi hii...! 2. Ni dhahiri shahiri kuwa, wewe Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT unawaogopa kuwawajibisha wateule wako wanaoshindwa kutenda wajibu wao na ambao...
  9. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Matatizo ya Kisaikolojia Yanavyodumaza Utendaji na Kuathiri Uwajibikaji na Utawala Bora

    Matatizo ya Kisaikolojia Yanavyodumaza Utendaji na Kuathiri Uwajibikaji na Utawala Bora Utangulizi Matatizo ya kisaikolojia ni changamoto ambazo zinaweza kuathiri utendaji na maamuzi ya watu katika maeneo mbalimbali ya maisha yao. Katika mazingira ya kazi na utawala, matatizo haya yanaweza...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Furaha ya maskini ni kusikia tajiri kapata matatizo na si kuona umaskini unaondoka katika maisha yake.

    Maskini ni kama mchawi tu maana hupenda sana habari mbaya. Tena ukitaka afurahi zaidi asikie kuwa tajiri kafilisika, Boss kashushwa cheo. Hata wenyewe maskini hawapendani hasa pale maskini mmoja akionekana kupata chochote kitu. Magufuli aliijua hii kanuni, akaanza kuwasumbua matajiri. Mioyo ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Iweje Usuluhishi wa matatizo ya mikataba na Uwekezaji isikilizwe nje nasio Mahakama Tanzania

    Hili swala la DEE PEEE Weldi na Jamhuri limeleta fursa ya tafakuri jadidifu. Iweje kila mkataba tunayoingia na makampuni makubwa haya, yote yana kipengele kinachosema kukiwa na mgogoro mahakama yatakayotumika ni ya kimataifa na sio ya Tanzania. Tunakumbuka mhe Rais Mwenye alinukuliwa kusema...
  12. CK Allan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matatizo ya vishikwambi vya walimu

    Kwanza niipongeze serikali kwa kutoa vishikwambi kwa walimu, Kuna ufanisi na urahisi Fulani wa kazi umeongezeka katika shughuli za kujifunza na ufundishaji.. mpaka Sasa nimekutana na zaidi ya vishikwambi 10 vya walimu hususani "PRITOM 10 MAX" Na nimeona matatizo karibu sawa kama ifuatavyo.. 1...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Muhimbili yasema Robo 3 ya matatizo ya Ugumba nchini yanahusu Wanaume

    Inaaminika kuwa mwanamke asiposhika ujauzito basi tatizo la ugmba analo yeye. Lakini wataalamu wanasema wanaume wanaokabiliwa na matatizo ya kushindwa kutungisha mimba inaongezeka nchini, huku ikitajwa kuwa wagumu kukubali vipimo wakihofia aina ya upimaji na wenye mapokeo hasi ya majibu yao...
  14. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Furaha kutoka Gerezani, huzuni kufika Nyumbani

    Baada ya kuiona habari hii nikaona acha nivae uhusika. Ya watuhumiwa wa ugaidi kuachiwa huru baada ya miaka tisa ( 2014-2023). Katika hali ya kawaida tu mtu anapotoka kwenye matatizo basi roho yake na nafsi yake usawajika. Tokea 2014- 2023 ni miaka 9 imekatika wale walioingia gerezani kwa...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mswahili ukisali kwa kiingereza tunajua hauna matatizo makubwa

    Umesoma katika hizi shule za "saint Government" miaka yote na unaomba Mungu kwa lugha ya Kiingereza?? Ulianzaje na uliwezaje? Nilisoma sehemu kwamba, ukiona Mswahili anaomba Mungu kwa lugha ya Kiingereza, basi jua mtu huyo ana SHIDA NDOGO au MATATIZO MACHACHE. Kwa wanaojua namna Waswahili...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Musoma Vijijini Waendelea Kutatua Matatizo Yanayowakabili Wanafunzi wa Sekondari za Kata

    MUSOMA VIJIJINI WAENDELEA KUTATUA MATATIZO YANAYOWAKABILI WANAFUNZI WA SEKONDARI ZA KATA * Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374 * Jimbo lina Sekondari za Kata 25 na 2 za Binafsi. Kwa sasa ujenzi wa sekondari mpya 4 unaendelea kwenye Vijiji vya Nyasaungu...
  17. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Visa nilivyokutana navyo, baada ya kumtembelea rafiki yangu mpenda matatizo

    Mimi intelli Kama nijulikanavyo ni mzee wa kauli ya "I mean no malice to nobody" - ila nilijuta Baada ya kwenda kumtembelea Jamaa yangu wa mkoa fulani. Aisee Kuna watu wanapenda Shari na ugomvi Kama vile ni chakula, nami nikaona SI mbaya nikishare nanyi niliyo yaona huko. Namnukuu Kisa Cha...
  18. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wilaya ya Uyui ina matatizo makubwa

    Wilaya Uyui, ni wilaya pekee ambayo ni wilaya korofi sana na kuna upigaji wa aina nyingi, Kuna ujenzi wa halmashauri mpya ya Uyui kuna ufisadi mkubwa wa kutisha watu wamejilipa pesa za kufa mtu, majengo menyewe hajakamilika ila imebidi wafanyakazi wahamie kabla ujenzi haujakamilika kwa sababu...
  19. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya matatizo yanasumbua sana kwenye magari, Lakini ni madogo.

    Nimelazimika kuleta hii thread baada yakukutana na matatizo mawili yanayofanana ndani ya siku 5 katika magari mawili tofauti. Tar 21 mwezi huu kuna jamaa alinicheck, nimeshamfanyia kazi kabla, ana toyota IST ina 1490Cc. Alinicheck akaniambia gari yake akisimama kwenye foleni inamisi halafu...
  20. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Adai Mahakama Ina Matatizo: Je Ni Nani wa Kuyatatua

    Jana akiapisha Majaji aliowateua kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani, Rais Samia alisema "Kuna Tatizo Mahakama" Jaji Prof Ibrahim Juma, kiukweli kazi ya u-CJ ni kubwa kuliko uwezo wake. Haya yalikuwa ndiyo mauteuzi ya Magufuli. Huyu CJ ukimfuatilia siku zote ni mtu wa kulalamika kama mtuhumiwa...
Back
Top Bottom