William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,657
- 2,252
Wachezaji hawana morali kabisa. Hii Ni kutokana na timu kutumia fadha nyingi Sana kukamilisha sajili za kimadili dili. Wakati Caf wakitoa billion 5 za usajili Simba. Viongozi walitumia pesa hizo zote kusajili wachezaji wazuri na kuweka timu kambi uturuki. Baada ya Mo kuona kilakitu kimeenda sawa bila kutia mkono. Akaandaa usajili wake wa mchongo. Katafuta kipa mweupe. Akapata mbrazili bana kocha wa makipa akamkataa kabisa. Lilikuwa pazia. Basi akaawambia awaangalie wengine. Wakatatafuta kipa aliyemaliza muda wake. Wakatoa pesa kiduchu tu. Akasema amelipia billion 3.
Timu Sasa wachezaji hawana morali. Kocha kalazimishwa ampange kipa Mwarabu. Wachezaji hawamwamini kabisa.
Kwanza hajui kuwapanga, hatokei mipira, kiwango kibovu kabisa, Alafu huwapa maelekezo wasiyoyaamini. Kifupi hawamtaki kabisa kipa. Na makosa yataanza tu mwanzo wa msimu. Watamwacha atobolewe tu mpaka atoke.
Wanaumia. Wakati timu haitoi motisha kwa wakati, wachezaji wazuri wanasumbuliwa Sana Waache 10% ili wasajiliwe na wapangwe. Kama chama na Okra. Wakigoma wanatemwa. Wa mchongo wanapanbwa tu. Sasa wanajihisi kuzidiwa.
Kwani Sasa uongozi mzima na Mo mwenyewe wameungana katika upigaji.