Kama ukila maharage unapata Matatizo ya tumbo kukaa Gas na kutoa ushuzi, Soma hapa

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,091
45,774
Hwl

Watu wengi wamekuwa wakipata Matatizo ya tumbo kujaa gas baada ya kula maharage na kujamba Sana.

Fanya hivi hakikisha katika maharage yako unayaunga na kuweka Sukari kidogo, unaweka tangawizi na limao kwa kufanya hivyo utakula maharage bila kukuletea shida Asante.
 
Naongezea kwa wale wa kupika nyumbani, kama unataka kula kesho basi yaloweke leo usiku kucha, asubuhi mwaga yale maji, osha kwa maji mengine kisha yachemshe, njia hii husaidia sio tu kuiva haraka bali kuondoa sumu kali iliyopo kwenye maharage na jamii zake zote, hata hiyo gesi hutoisikia tena.
 
Naongezea kwa wale wa kupika nyumbani, kama unataka kula kesho basi yaroweke leo usiku kucha, asubuhi mwaga yale maji, osha kwa maji mengine kisha yachemshe, njia hii husaidia sio tu kuiva haraka bali kuondoa sumu kali iliyopo kwenye maharage na jamii zake zote, hata hiyo gesi hutoisikia tena.
Hii nishaijaribugi sema nilitumiaga maji ya moto. Unayafungia maharage kwenye chupa ya chai na kumiminia maji ya moto kisha unafunga. Ukija kufungua kesho unaeza yapika hata kwa gas tu yanakuwa yameiva
 
Naongezea kwa wale wa kupika nyumbani, kama unataka kula kesho basi yaroweke leo usiku kucha, asubuhi mwaga yale maji, osha kwa maji mengine kisha yachemshe, njia hii husaidia sio tu kuiva haraka bali kuondoa sumu kali iliyopo kwenye maharage na jamii zake zote, hata hiyo gesi hutoisikia tena.
Wanasema ukiloweka maharage hayawi matamu, sijui kama kuna ukweli
 
Back
Top Bottom