Uguma wa maisha chanzo cha wanawake kulilia shida siku ya kwanza ya mahusiano

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Oct 21, 2021
4,730
11,085
Vijana wengi hasa wakiume wamekuwa wakilalamika hasa suala ya kumtongoza mwanamke na siku hiyohiyo kijana anaanza kuliliwa matatizo. Mimi mwenyewe nimekuwa ni muhanga, yaani ile tu kumuambia mwanamke unahitaji kuwa katika mahusiano basi kitakachofuata ni kuliliwa shida na matatizo.

Moja ya sababu nilizoziona hasa ni ugumu wa maisha, mwanamke ni kiumbe dhaifu sana na ni mtu ambae hawezi kuficha dhiki zake kwa muda mrefu. Kwa hiyo akipata mwenza huwa anaona amepata muokozi wa matatizo yake.

Sababu ya pili ni matatizo ya afya ya akili na saikoloji kutokana na hali ngumu ya maisha wanawake wengi wana tatizo la afya ya akili na saikoloji😎, haiwezekani tuonane leo hii hata hatujafahamiana vizuri, hunijui na sikujui hata aibu huna unaanza kunililia shida zako na matatizo yako.
 
Mimi nikishikaga hela kuanzia million 2 za kula huwa sio mchoyo sana namgonga namwachia 20000 au 15000 ila zikianza kupungua zikafika 30000 aisee labda ule 3000 na zikiisha kabsa nikawa negative mfukoni hata mia sina basi rafiki yangu mkubwa anakuwa mafuta ya nazi
 
Unakuta kijana umezungukwa na wapiga mizinga kila kona, mama lishe na wasaidizi wao, mabaa medi, mademu wa saluni, wauza magenge ya mboga na matunda, wazururaji na wanafunzi wa sekondari na chuo. Hela zenyewe chache kila mmoja anazitaka. Mbaya zaidi hadi wazee wanapigwa mizinga. Kupewa penzi unaweza usipewe kabisa kwani hao wadangaji wana watu wao maalumu wa kuwapa penzi
 
255622742560_status_84d322085300432eb5a6e5a2b159aa1b.jpg
 
Unakuta kijana umezungukwa na wapiga mizinga kila kona, mama lishe na wasaidizi wao, mabaa medi, mademu wa saluni, wauza magenge ya mboga na matunda, wazururaji na wanafunzi wa sekondari na chuo. Hela zenyewe chache kila mmoja anazitaka. Mbaya zaidi hadi wazee wanapigwa mizinga. Kupewa penzi unaweza usipewe kabisa kwani hao wadangaji wana watu wao maalumu wa kuwapa penzi
Wahuni sana hawa viumbe..
 
Mkuu akiomba Hela hapo hapo nawe omba ulichoombea namba hapo hapo akikubali aina budi kumpa Hela anayotaka nawe akupee utamu ....

Cku hzi mapenzi yamekuwaa biashara ..shtuka..
 
Mimi nikishikaga hela kuanzia million 2 za kula huwa sio mchoyo sana namgonga namwachia 20000 au 15000 ila zikianza kupungua zikafika 30000 aisee labda ule 3000 na zikiisha kabsa nikawa negative mfukoni hata mia sina basi rafiki yangu mkubwa anakuwa mafuta ya nazi
Hakunaa haja yakuliliaa au cyo .
Cku unayo unatumia,cku hunaa unarudi zako kujichukulia Sheria mkononii umetishaaaa
 
Na mwanaume kamwe usiingie kwenye mtego wa kuchati na mwanamke ... Ukitumiwa txt wewe mpandie hewani , hawezi kukupiga kizinga.
hujakutana na mabazazi ww jicho kavu anakupga mzng tena ktt kidg tu qmmke dah
 
Back
Top Bottom