Chid Benz hakuna unachomdai Diamond na hausiki kabisa na matatizo yako

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,374
Nimeona Chid analalamika kaimba na Diamond ila ajalipwa pesa.

Ni hivi Chid Benz ana wimbo unaitwa Tunaishi nao kamshilikisha Diamond Platnumz.

Chidi analalamika mtu ambaye kamshilikisha kwenye wimbo wake ajamlipa. How come mwenye wimbo anataka alipwe na aliyepewa colabo?

Diamond aliamua kuweka chorus baada ya kilio cha muda mrefu kuomba ampe colabo na amsaidie. Akaweka chorus na akamfanyia surprise as aliomba sana mpaka kwenye media wote mashaidi.

Akafanya nae makubaliano ya kuzunguka show zote za wasafi 2023. Pia kurekodi video ya wimbo kwa gharama za Diamond Platnumz. Promo ya project yote ilikuwa iwe chini ya Wasafi.

Mwisho wa siku wimbo haukutoka officially Chidibenz anataka alipwe na Diamond.

Kama kawaida ya wanafki wanamjaza Chidi ana akili nyingi kumuelewa lazima uwe genius 😂😂

Chidi waambie watanzania kilitokea nini Mwanza mpaka kila kitu kikafa?
 
Huwa sikubaliani na wewe chawa wa wcb ila kwenye hili nakuunga mkono.

Nimemsikia chid ana makasiriko.

Halafu ajabu ile suprise chid alifurahi hadi kidogo atoe chozi lakini leo analalama kuwa jamaa aliingiza vocal bila kumwambia wakati jamaa alilenga kumboost.

Sometimes wema unaleta lawama. Jamaa anahisi amefail kwa sababu ya watu.
 
Muziki kazi ya Laana na Haina baraka.

Mi sio mtabiri ila ktk game la muziki naweza kutabiri.

Hakuna mafanikio yoyote huko mbele Kwa mwanamuziki,ni swala la muda kama mwanamuziki hakwenda jela ,atakuwa mteja ,kufulia na kusahaulika na atakuja mwingine na cycle will continue.

Mondi is not exception na yeye safari ya kwenda chini ipo kama haijaanza.

Whitney, Marley, RKelly,LuckyDube,Bi.Kidude Matona ,TID,Chilla Mifano ni mingi sitomaliza,
 
Nimeona Chid analalamika kaimba na Diamond ila ajalipwa pesa.

Ni hivi Chid Benz ana wimbo unaitwa Tunaishi nao kamshilikisha Diamond Platnumz.
Chidi analalamika mtu ambaye kamshilikisha kwenye wimbo wake ajamlipa. How come mwenye wimbo anataka alipwe na aliyepewa colabo?
Diamond aliamua kuweka chorus baada ya kilio cha muda mrefu kuomba ampe colabo na amsaidie. Akaweka chorus na akamfanyia surprise as aliomba sana mpaka kwenye media wote mashaidi.
Akafanya nae makubaliano ya kuzunguka show zote za wasafi 2023. Pia kurekodi video ya wimbo kwa gharama za Diamond Platnumz. Promo ya project yote ilikuwa iwe chini ya Wasafi.
Mwisho wa siku wimbo haukutoka officially Chidibenz anataka alipwe na Diamond.

Kama kawaida ya wanafki wanamjaza Chidi ana akili nyingi kumuelewa lazima uwe genius 😂😂

Chidi waambie watanzania kilitokea nini Mwanza mpaka kila kitu kikafa?
Kofia ya boss wenu mliipata?
 
Muziki kazi ya Laana na Haina baraka.
Mi sio mtabiri ila ktk game la muziki naweza kutabiri.
Hakuna mafanikio yoyote huko mbele Kwa mwanamuziki,ni swala la muda kama mwanamuziki hakwenda jela ,atakuwa mteja ,kufulia na kusahaulika na atakuja mwingine na cycle will continue.
Mondi is not exception na yeye safari ya kwenda chini ipo kama haijaanza.
Whitney, Marley, RKelly,LuckyDube,Bi.Kidude Matona ,TID,Chilla Mifano ni mingi sitomaliza,
Kuwanga sio kazi nzuri, rudisha mikoba
 
Kina ray c,Bora vanesa kasanuka mapema,kaacha
It's true,nakazia
 
Muziki kazi ya Laana na Haina baraka.
Mi sio mtabiri ila ktk game la muziki naweza kutabiri.
Hakuna mafanikio yoyote huko mbele Kwa mwanamuziki,ni swala la muda kama mwanamuziki hakwenda jela ,atakuwa mteja ,kufulia na kusahaulika na atakuja mwingine na cycle will continue.
Mondi is not exception na yeye safari ya kwenda chini ipo kama haijaanza.
Whitney, Marley, RKelly,LuckyDube,Bi.Kidude Matona ,TID,Chilla Mifano ni mingi sitomaliza,
Duuuh! hadi Lucky Phillip Dube...?
 
List ni ndefu Pac,Biggie,Prince,Babu Sea,Banza stone ...
Umaarufu unawalevya,mwishowe wanajiona wana fly high
Wasanii wengi wana wenge tu
Wapo wasanii wanaojitambua na kujiheshimu....
Sasa mfano yule msanii wa migos
Kaenda mtaani mitaa ya wahuni kucheza kamali dice za mitaani ,umevaa micheni kabeba mipesa show off ,hapo unategemea nini si lzm waendawazim wakumind
Kwanini asingeenda lasvegas casino huko

Ova
 
Back
Top Bottom