Habari Wana jamii forum, ningependa kujua kuhusu hawa watu je sio matapeli? Kwa hapa Kibaha maili moja wapo ukumbi unaitwa mwitongo, kwakweli Wana wanafunzi wengi mno haswa kutoka mikoa jirani, nilimuhoji mwanafunzi mmoja kuhusu utaratibu wao ndo akaniambia ukiwa unaanza unaambiwa mafunzo ni...