matapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Matapeli wanaotumia kigezo cha wahudumu wa Airtel

    Nimepokea ujumbe unaonitahadharisha kufungwa kwa line yangu. Na nikatumiwa namba ili nitume vitambulisho vyangu, jamani kuweni makini. Details zako ndizo zitatumika kama njia ya kukutapeli. Cha kuzingatia chunguza logo ya masage kutoka airtel, huwa inaanzia herufi kubwa na kufuatilia na...
  2. Invisible

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

    Wakuu, Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena: Mnapoamua kufanya biashara yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF. Tunafahamu kuna ambao...
Back
Top Bottom