Taifa linahitaji mbadala wa CCM lakini sio hawa matapeli wa siasa Chadema,Cuf na Act wazalendo

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Kiuhalisia CCM haijawatendea haki watanzania , maendeleo yaliyopo hayalandani na rasilimali zilizopo.

Leo hii tu maji, umeme na tiba zimekuwa za kupatikana kwa tabu? Miaka 60 ya uhuru?

Madini Lukuki.

Mbadala wa kuig'oa CCM anahitajika lakini sio hawa waganga njaa.
 
mbadala wa CCM ni CCM yenyewe na si vinginevyo. Full stop.
 
Mngewaazima serikali watoa taarifa hata kwa mihula miwili tu, tuwaone na wao. You never know!
 
Mbadala wa CCM watapatikana wakati wowote pindi uchaguzi ukiwa huru na haki !!
Mengine yote ni porojo za vijiweni !!
 
Kiuhalisia CCM haijawatendea haki watanzania , maendeleo yaliyopo hayalandani na rasilimali zilizopo.

Leo hii tu maji, umeme na tiba zimekuwa za kupatikana kwa tabu? Miaka 60 ya uhuru?

Madini Lukuki.

Mbadala wa kuig'oa CCM anahitajika lakini sio hawa waganga njaa.
Unawahukumuje ambao hujawapa nafasi? Una visa na upinzani wa CCM?
 
Back
Top Bottom