Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,487
- 2,344
Walipoleta utaratibu wa kusajiri kwa alama za vidole walituambia ni kwasababu ya kudhibiti matapeli, ila kadri siku zinavyoendelea ndivyo wanavyoongezeka.
Je, mfumo ulikuwa wa upigaji umeshindwa kuwadhibiti? Au TCRA wanashirikiana na hawa wapigaji? Je, kwanini wasiweke utaratibu rahisi kabisa wa kuzirepoti hizi namba?
Au kwanini kusiwe na call centre ya kureport hizi namba? Yaani upige simu wazame kwenye sms zako wajiridhishe wapige ban, mbona kama ni rahisi tu, wanafeli wapi?