Kwenu wajuvi wa Sheria!
Kwenye clip hapo chini ni malalamiko ya mtu anayedai kutapeliwa. Tukio lilitokea Arusha. Mlalamikaji aliuziwa shamba la ekari 2 kwa milioni hamsini na nne. Lakini alipotaka kuanza kulitumia shamba lake, alilikuta limeuzwa kwa mtu mwingine.
Mtuhumiwa alifunguliwa kesi...
Tena Mimi naona huyo Dada wa Nyoka ana Nafuu kwa huo Utapeli ila Matapeli halisi na Wezi wa Umasikini wa Watanzania wengi kwa njia ya Imani yao ya Uwongo na Kweli wako Tanganyika Packers Kawe, Buza kwa Lulenge na Kimara Temboni.
Wanahabari wamelalama kuwa wanadai serikali jumla ya bilioni 18 za kitanzania. Haya malimbikizo ya madeni kwa miaka kadhaa ambayo yametajwa kuathiri uchumi wa vyombo vya habari.
Suala la madeni sio tu kwa sekta ya habari, nimesikia wadau kadhaa wakilalamika kutolipwa na serikali kiasi cha...
Wanajukwaa natumaini mnaendelea vizuri. Kwawale wenye changamoto nawapa pole na kuwaombea kwa Muumba ahueni ipatikane.
Nikienda kwenye mada nikwamba vipo vikundi au taasisi zinazojihusisha na mikopo tena kwakutumia majina ua viongozi wa chama na serikali na wafanya biashara wakubwa.
Miongoni...
Nimepitia report ya Mamlaka ya mawasiliano ya past three months(iliyotoka mwezi huu)
report Nimeona kitu cha ajabu sana , kila report hizi za TCRA zikitoka , mikoa miwili ya Rukwa na Morogoro inaongoza kwa utapeli mitandaoni , kuna maswali magumu sana najiuliza
1. Taasisi zinazopambana na...
Miezi kadhaa iliyopita kuna jamaa nilikutana nae kwenye mgahawa, alinifuata kwenye meza yangu wakati napata
Kifungua kinywa, akaniambia anaomba nimsaidie chochote kwani mke wake amejifungua kwa operation na bado
Yupo hospital hana msaada wowote.
Kwa kifupi niliguswa na maneno yake...
Mashabiki wengi wa kuazima wa Mamelodi wamelala usingizi wa mang'amung'amu hiyo Jana
Hawakutegemea walichokiona,hawaamini macho Yao
Waliloliwaza wiki nzima halijawa
Wameishia kutoa mapovu ya sabuni ya mche ya komoa
Wameanza kuwaita Masandawana ni matapeli
🤣🤣🤣🤣🤣
Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM.
====
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemtaka Mkurugenzi wa Msama...
Jana nimemaliza tu kuwasiliana na mtu kwa njia ya simu ya sauti na kunisisitiza pesa nimuwekee kwenye namba yake ya airtel. Nakata simu dakika moja mbele napokea hii text.
Hii inaweza kuwa ni bahati mbaya kweli au hawa matapeli wana-pata mawasiliano yetu.
Kuna njia ya hii ya utapeli ambapo mtu anatengeneza urafiki na wewe kupitia mtandaoni. Kadri siku zinavyoenda mnatengeneza ukaribu na ka imani kanaanza kukuingia kiasi fulani kuwa umepata rafiki mzuri kutoka nchi jirani japokuwa wakati mwingine inaweza kuwa hapa hapa bongo.
Sasa akishaona...
Anonymous
Thread
makini
matapeli
milioni
mpya
njia
njia mpya
siku
utapeli
wanakuja
Kila baada ya swala ya Ijumaa utawakuta watu mbele ya misikiti wametundika tunguli, vibuyu na dawa wanazozinadi kuwa zinatibu maradhi mbalimbali ya binadamu. Mara nyingi wanaenda kwenye misikiti ya BAKWATA; ni nadra kuwakuta kwenye misikiti ya Sunni.
Nimebaini hawa watu si waganga wala...
NI WAKATI SAHIHI KWA SERIKALI KUANZISHA SHERIA ZA PRENUP KWA WANAOTAKA KUINGIA KWENYE NDOA KUEPUSHA MATAPELI.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Huwezi ukawa na sheria ya Talaka alafu muda huohuo isiwepo sheria ya PreNup. Huko ni kutengeneza mazingira ya utapeli, dhulma na kuifanya ndoa isiwe...
Habari za mchana na habari za jioni!
Kuna fundi nilimpa Hela anitengenezee kitanda cha mbao za kenfa nilizozipata kwa shida.
Yapata Sasa mwaka kitanda bado na Hela kala na mbao zangu Katengenezea kitanda kingine kauza 😡.
Nimeenda kumshitaki kajitetea atanitengenezea kitanda kingine, ila...
Unatumiwa msg unaambiwa kama unahitaji mkopo jibu MAX kwenye hii msg halafu utapata mkopo was sh 3000.
Ukijibu MAX unapata msg ambayo inasema umefanikiwa kupata mkopo.
Halafu ukijaribu kuingia katika internet unashindwa.
Line yangu ni ya TIGO.
HII ni mara ya pili napata matatizo na TIGO...
Tujuzane mbinu wanazotumia matapeli kuwatapeli/ Kuwaibia wafanyabiashara za miamala ya kifedha kama M-PESA, TigoPesa, Halopesa, Airtel Money nk.
Naanza:
Tapeli anakuja jioni anatoa Kaisi kikubwa Cha hela anaondoka, lengo ni ili awe na uhakika wa cashes ulizonazo. Kisha baada ya dakika chache...
Habari wana JF,
TTCL kampuni ambayo ipo chini ya usimamizi wa serikali una changamoto ya kutumiwa zaidi na matapeli wanaojaribu kutapeli watu kupitia call/sms.
Kampuni kama hii ambayo ipo chini ya serikali tungetarajia kubwa ingefanya vizuri zaidi kwasababu chombo kinachosimamia pia (TCRA) ni...
Enzi hizo tulilizwa wengi kwa hii staili sababu hata mtu akipigwa inakuwa siri hakuna mitandao ya kuelimishana.
Mwaka 2005 nipo nakaribia kuvuka barabara ghafla mzee mwenye koti lake anaulizia hospitali nikamwelekeza ilipo maana haipo mbali ila yeye akasema ni mgeni, akaja mtu mwengine nae...
Kwenye ardhi kuna utapeli wa kila aina ndio mana lukuvi alipokuwa waziri wa ardhi alipiga marufuku baadhi ya makampuni yaliyokuwa yanapima viwanja na kuuza maana walisababisha migogoro mingi sana ya ardhi.
Viwanja vinatangazwa kwenye maspika katika vituo vya daladala kama vile nguo za ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.