matapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Last Seen

    JamiiForums Tanzania GooglePesa platform matapeli wapya mjini

    Habari wana JF, Kampuni inayojitambulisha kama GooglePesa Platform iliyojikita jijini Arusha na kuendesha biashara ya utapeli kupitia mtandao (www.googlepesaplatform.com). Kampuni hiyo ina muundo sambamba na iliyokuwa Kampuni ya Kalynda. Wanatumia website na application yao iliyopo playstore...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Matapeli waoneeni huruma Watanzania

    Wasalamu, Kipo kisa kilichotokea juzi cha kujifunza. Kinahusisha wahusika wanne. Ambao ni binti, wakala, tapeli na boss wa binti. Binti wa Kazi kapokea message kwamba katumiwa shilingi 750,000 kupitia namba hii 0672312375 ya tapeli, kisha tapeli kampigia simu binti kwamba amekosea kutuma pesa...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda shujaa wa taifa aliyesahaulika. Alipambana dhidi ya mateja, majambazi na matapeli wa kila namna

    Dar es Salam ilikaa kwa shwari Maana matapeli wa viwanja na pesa walikamatika Majambazi walikimbia na kuaicha Dar. Mafisadi wa ardhi walikimbia kama mbwa.
  4. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania RC Mwanza, RPC, Brela, TRA Mwanza. Hawa Matapeli wanapatikana hapa. Wakitumia vielelezo vyenu

    Nimeona bandiko la member mmoja akitahadhalisha kuhusiana na Ponze Scheme moja inajiita Champions Investments ltd. Inadai ipo Mwanza. Nami nimeomba Link ya kuingia kwenye group lao. Hawa jamaa ni matapeli. Ukiangalia Hata members wao wengi ni kutoka nchi flani flani kwa mujibu wa namba zao za...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Serikali fanyieni kazi Matapeli Wengine hawa hapa. Wanajitangaza bila woga kabisa. Nchi imekuwa kama haina mwenyewe

    Huu ni Utapeli wa Wazi kama Utapeli mwingine. Serikali msipookoa Wananchi wenu Wapumbavu nani atawaokoa? Au ni viongozi gani hufaidika na Michezo hii? 🔰SHERIA NA UTARATIBU WA PLATFORM YETU MAELEZO NA SHERIA ZETU 💸📲 VIWANGO VYA KUWEKEZA NA FAIDA UTAKAYO POKEA YA ASILIMIA 100% BAADA YA SIKU...
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni kitu cha ovyo sana. Inasababisha kuwa na viongozi wenye maneno mengi, matapeli na waongo kupindukia

    Kwenye demokrasia hakuna kitu cha maana huwa kinafanyika. Mnaishia tu kuwa na viongozi waongeaji sana na waongo waongo. Wanaotatua matatizo kwa maneno na si matendo. Watu wa zamani waliona kabisa ubaya wa huu mfumo. Leo nchi yetu imejaa wapiga maneno, matapeli na waongo-waongo. Mtu anaweza...
  7. Msanii

    JamiiForums Tanzania Almanusura nitapeliwe

    Hawa jamaa walinifuata Insta na kutaka nifanye nao kazi ya ugavi. Walijitambulisha kuwa ni Sasakawa Lodge ndani ya Serengeti. Wakasema walitembelea trade profile yangu wakasema tukutane next day evening huko Serengeti tuingie mkataba. Nikapigiwa na mwanamke ambaye anazungumza kiingereza cha...
  8. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Nani anasajili na kufunga hizi Line za Matapeli?

    Nikaamua nizipigie niwaambie nimeshatuma nisikie watasemaje. Kupiga namba zote hazipo. Namba hazipo zinatumaje message? Zinapata wapi Salio? CC: Airtel, TCRA na wengineo.
  9. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Kundi kubwa la watu wenye fedha ambazo hawajui watazitumiaje, ndio mtaji wa matapeli

    Habari wakuu. Siku za karibuni pamekuwa na utapeli wa aina nyingi na aina mbalimbali unaohusiana na fedha. Kama bahati nasibu, kamari, network marketing, pyramid scheme, ponzi schemes, "online business" na aina nyinginezo za utapeli. Hao matapeli wanakuaminisha kuwa utapata faida kubwa na...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Katibiwe ila fahamu kuwa tiba mbadala wote ni matapeli

    Inasaidia sana kwenye saikolojia lakini fahamu watu wote wa tiba mbadala ni matapeli! Babu wa Loliondo, Sheikh Yahaya, Dr. Mwaka, Dr Ndodi, Sanitarium kliniki zote, wamasai, matabibu wote wanaojitangaza redioni, watu wa maombezi n.k n.k. Tiba mbadala wote ni matapeli, dawa zao hazifanyi kazi...
  11. Narumu newz

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na hizi kampuni zifuatazo za kubeti maana ni matapeli

    Kuna makampuni matatu ambayo kiukweli usijaribu kuweka dau refu au usiwategemee sana pindi unapobashiri michezo mbalilili. 1.Gal spot Betting; hawa jamaa siku wakiliwa sana wanazima mtandao,au wakiona kuna mechi zimekaa mkao wanahofu watapigwa lazma wazime mtandao.Ukiweka dau kubwa kuanzia...
  12. zink

    JamiiForums Tanzania Hawa AIRTEL ni matapeli kabisa hasa kwenye kifurushi chao cha MB 850 cha shilingi 1500

    Habari wakuu wa jf, Huwezi amini nimejiunga kifurushi cha MB 850 kwa elfu 1500 hata nusu saa haijapita naambiwa umetumia asilimia 75% ya kifurushi chako. Kama hali ndio hii basi tumekwisha na sikuwahi kuzani kama airtel nao ni matapeli tu ila fine waache wachukue hivo vi MB vyao PUMBAFU SANA...
  13. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Vikoba vimewafanya wanawake wengi kua wadangaji, wahuni na matapeli.

    Peace be upon you all, Nadhani lengo la vikoba (sijui kama napatia spelling) ilikua kuwasaidia wanawake kiuchumi ila sote tunachoshuhudia ni tofauti kabisa. Vikoba vimekua kitanzi cha miiba mwitu kwa wanawake. Jambo moja lililonikutanisha na marafiki wa kike wengi kabisa wa zamani ni...
  14. westandtogether

    JamiiForums Tanzania Microfinance matapeli

    Habari wanajf? Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu, Kuna kikampuni fulan jina ***** microfinance kinajihusisha na kutoa mikopo midogo mtaani Tena kwa dhamana ya vitu vya ndani kama vifaa vya electronics simu, Tv, Pc nk. Hivi karibuni nilienda kuazima pesa kama laki 2 wakasema wanatoa riba ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukosefu wa ajira unavyotoa fursa kwa wapigaji (matapeli)

    UKOSEFU WA AJIRA UNAVYOTOA FURSA KWA WAPIGAJI (MATAPELI) Kila mwaka vijana maelfu kwa maelfu wanahitimu vyuo vya kati pamaoja na vile vya elimu ya juu. Kundi hili ni wale wahitimu wa fani mbalimbali kama vile mafundi, walimu, madaktari, wahasibu, mahakimu, nakadharika. Wahitimu hawa, wanahitimu...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Makinikeni na hawa matapeli

    BEI 420,000/= TUNAJUA MAFUTA YAMEPANDA BEI PIGA CHINI GHARAMA HIZO TUKUPATIE BASKELI YA KISASA YA UMEME YENYE BATTERY [emoji367] YENYE NGUVU KUBWA ZAIDI , UTAWEZA KUTEMBELEA HADI KILOMETER 120-150 BILA KUSUMBUKA / UNAWEZA KUTUMIA MIFUMO YOTE KWA KUKANYAGA PEDAL AU KUENDESHA KWA UMEME TUPIGIE...
  17. Abu Haarith

    JamiiForums Tanzania Je, Seebait ni matapeli au wamefilisika!?

    katika pitapita na mahangaiko kutoka maeneo tofauti tofauti huko mitandandaoni nimepokea malalamiko kadhaa kutoka kw wasomaji wetu kuhusu seebait je ni matapeli au wamefilisika, naam ili inatubidi tuliangalie kwa undani kidogo kama tulivyoandika makala ya kuhusu kujiunga na kampuni ya matangazo...
  18. Abu Haarith

    JamiiForums Tanzania Je' Seebait ni matapeli au wamefilisika!?

    katika pitapita na mahangaiko kutoka maeneo tofauti tofauti huko mitandandaoni nimepokea malalamiko kadhaa kutoka kw wasomaji wetu kuhusu seebait je ni matapeli au wamefilisika, naam ili inatubidi tuliangalie kwa undani kidogo kama tulivyoandika makala ya kuhusu kujiunga na kampuni ya matangazo...
  19. Kinengunengu

    JamiiForums Tanzania TCRA tusaidieni na haya matusi tunayotukanwa na matapeli

    Leo nimepigiwa simu na namba 0653608556 akijifanya Mfanyakazi wa Tigo pesa na akasema akaunti yangu ya tigo pesa imefungiwa. Jamaa akaanza nisomesha na akauliza simu yako ni smartphone au kiswaswadu. Nikasema kiswaswadu, akaniambia nibonyeze namba *37# sikubonyeza na yeye akajua kwamba...
  20. luangalila

    JamiiForums Tanzania Nimepigiwa simu na matapeli leo

    Matapeli ya mtandao wamerejea. Mapuuzi yamekutana na mtu mwerevu. Basi naomba ni share namba zao na ujumbe wao incase wakikutafuteni nanyi msiwape nafasi.
Back
Top Bottom