masomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kupata ufadhili wa masomo nje ya nchi

    Wakuu hivi fursa unafanyaje kuzipata? Una-apply moja kwa moja kwenye chuo husika au kupitia serikalini? Au kwa yeyote mwenye ufahami
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Taliban umetangaza wanafunzi wa kike wataruhusiwa kuhudhuria masomo endapo tu watatenganishwa na wa kiume

    Baadhi ya vyuo vikuu vya umma nchini Afghanistan vimenguliwa tena kwa mara ya kwanza tangu kundi la Taliban lilipochokua madarakani mwezi Agosti. Utawala wa Taliban umetangaza kuwa wanafunzi wa kike wataruhusiwa kuhudhuria masomo. Lakini endapo tu watatenganishwa na wanafunzi wa kiume na...
  3. Trained To Train

    JamiiForums Tanzania Form six cheti

    Nilifaulu mtihani WA form six Resit Physics D na ADvMath D General study F lakini kupata cheti niliambiwa haiwezekani maana masomo ni kidogo. Je, hii ikoje? Nina result slip tu. Je, Kuna mabadiliko yoyote?
  4. F

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wajawazito kuendelea na shule je, wale walioko jela nao waendelee na masomo?

    Waraka wa Mhe. Waziri wa Elimu unaotoa ruhusa kwa wanafunzi wajawazito kurudi shule kuendelea na masomo baada ya kujifungua haujatoa majibu kuhusu haki ya elimu kwa wanafunzi/watoto wadogo walioko jela za watoto nao waendelee na masomo wanapotumikia vifungo vyao au hatima za maisha yao ndiyo...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanaotia mimba walimu nao waendelee na masomo?

    Kumekuwa na mkanganyiko kuhusu mimba mashuleni ambapo tafsiri na mitazamo huelemea wanafunzi wa kike wanaopewa mimba na watu (wakiwemo Walimu) huku wanafunzi wa kiume wanaotia mimba Walimu wao wa kike wakiachwa nje ya tafsiri na mitazamo hiyo. Zipo jamii katika nchi za Tanzania na Kenya ambapo...
  6. sudybrainy

    JamiiForums Tanzania Naomba udhamini wa masomo ya udaktari

    Naitwa Hussein Masoud,ni clinical assistant (CA),nipo Mwanza mjini katika chuo cha afya na sayansi shirikishi BWIMA kilichokua kikitambulika kama victoria zamani, kwa sasa nimebakisha mwezi mmoja nifanye mitihani yangu ya kuhitimu diploma in clinical medicine level 6 itakayo fanyika February...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Tusiwaharibie future watoto na wadogo zetu kwa kuwashauri wasisome masomo ya biashara!!!!!!

    Nimefanya utafiti wangu mdogo na nimegundua kuwa nafasi nyingi sana za kazi zinazotoka kila siku ni za accountants, watu wa finance, HRs na Auditors. Na ni kazi ambazo zinalipa vizuri sana kulinganisha na kazi nyingine. Sasa kuna huu mtindo wa wazazi au wanafamilia kuwasukuma watoto wasome...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za masomo Kibo secondary school kidato cha 1 -6 karibuni

    kwa mamlaka niliyopewa chini ya kifungu cha 7 katiba ya shule na uhuru wa kuongea ktk katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania,nawatangazia watanzania wote kuwa kuna nafasi chache sana za kuhamia shule yetu pendwa kibo secondary school iliyopo moshi shanty town. NB.tunapokea wanafunzi wenye...
  9. OLS

    JamiiForums Tanzania Mbali na kuhitaji vijana wajiajiri, vitabu vya masomo ya biashara na uchumi ni vichache kwa shule za Advance level

    Kwa takwimu zilizopo katika tovuti ya TAMISEMI, vitabu vya masomo ya biashara kwa wanafunzi wa Advanced Level ambayo ni Accountancy, Commerce na Economics ni vichache ukilinganisha na vitabu vya masomo mengine Kwa mwaka 2021, kulikuwa na vitabu 378 vya Accountancy, 392 vya Commerce na 4,057 vya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Clubhouse katika mjadala wa wazazi na walimu kuhusu kuwapa wanafunzi kazi za shuleni wakati wa likizo

    Baadhi ya Wachangiaji ndani ya JamiiForums wamezua Mjadala kuhusu 'Homeworks' nyingi wanazopewa Watoto toka Shuleni hasa kipindi cha likizo Ikiwa wewe ni Mzazi, Mlezi au Mwalimu ungana nasi katika Mjadala huu utakaofanyika leo Desemba 2, 2021 kupitia Clubhouse. Kushiriki mjadala huu bonyeza...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ummy: Wanafunzi wote waende likizo mwezi Desemba, masoma ya ziada no

    ||Sitaki kutia neno, Msikilize hadi mwisho Waziri wa TAMISEMI Mhe Ummy Mwalimu,
  12. Point less

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani mwanafunzi wa masomo ya "SCIENCE" inabidi afanye kufaulu?

    Naomba njia ambazo mwanafunzi wa masomo kama MATHEMATICS, PHYSICS, BIOLOGY and CHEMIA kwa kutumia lugha yoyote ile. Unaweza kutoa general au single subject!
  13. mgt software

    JamiiForums Tanzania Tulikotoka: Hamisa Mobetto akimaliza Masomo yake Kidato cha Nne Tandale Sekondari

    Wana JF Napenda kuona mpambanaji HM anavyochanja mbuga kuliko watoto wa ushuani, mtoto huyu kipindi cha nyuma alipotoka shule zote Saint Kayumba Tandika Secondary. Ona sasa anavyoizingua dunia, kupata mchumba mwenye hadhi duniani sio mchezo.
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Serikali ni chanzo cha masomo ya ziada kwa watoto

    Shule zinashindana kwenye ufaulu wa watoto kwa kushirikiana na wazazi wa watoto. Wanafanya hivyo kwa mbinu tofauti ikiwemo ya watoto kusoma masaa mengi hata weekend na long vacation, kuwakaririsha maswali ya mitihani na hata kuiiba mitihani yenyewe. Serikali Ina mchango mkubwa sana kwenye hili...
  15. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Serikali: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na Masomo katika mfumo rasmi

    Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako amesema Wanafunzi wa Shule za Msingi/Sekondari watakaokatisha masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo utoro, mimba na changamoto za kifamilia watapewa nafasi ya kurejea Shuleni katika mfumo rasmi “leo leo natoa waraka zege halilali" ====== Waziri wa Elimu, Prof...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali imefuta matokeo ya nadharia kwa masomo ya Utabibu Ngazi ya Tano baada ya kubainika kuwa ilivuja

    Serikali imefuta matokeo ya nadharia (theory) kwa masomo ya program ya Utabibu Ngazi ya Tano (NTA Level 5) baada ya kubainika kuvuja kwa mitihani ya muhula wa pili wa programu hiyo. ======
  17. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Haya ndio masomo yote wanayosoma shule za international: Scheme of work

    Kama ulitaka kujua masomo ambayo yanafundishwa kwenye shule za international. Hapa ntakuonesha masomo yote na topics mbali mbali wanazojifunza. Ili wewe kama mwanafunzi ujue masomo ambayo ungejiendeleza kujifunza. Ata ukiwa mtandaoni, maana dunia ya sasa unaweza ukajifunza kitu chochote kwa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Afrika wazidi kunufaika na ufadhili wa masomo kutoka China

    Na Tom Wanjala Mwezi Juni mwaka huu, maelfu ya wahitimu kutoka vyuo vikuu nchini China walifuzu na shahada mbalimbali. Miongoni mwao, walikuwa wanafunzi kutoka bara la Afrika. Wahitimu hawa walijumuika na wenzao wa China, wakiwa wamevalia majoho rasmi, tayari kupokea vyeti vya kuashiria kuwa...
  19. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa off kwaajili ya masomo

    Wapendwa, mkiona nimekuwa kimya msidhani nime R.I.P. Nitakuwa nje ya jukwaa kwa kipindi fulani ili niweze kujikita katika kumalizia masomo yangu ngazi ya masters! Hapo awali, nilipata ufadhili kwa ajili ya masomo haya ambaye nisingependa kumtaja jina alitugharimia takribani milion 24, lakini...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni: Sitaongeza mishahara kwa walimu wa masomo ya sanaa

    Rais Yoweri Museveni wa #Uganda ametangaza kuongeza mishahara kwa walimu wa masomo ya sayansi kwa madai kuwa ndio wanaochangia maendeleo ya jamii Hatua hiyo imetajwa kwenda kinyume na Makubaliano ya 2018 ambayo yanataka mishahara kupanda kwa usawa kwa walimu wote Rais Museveni amesema...
Back
Top Bottom