masomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MANYORI Jr

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan wakumbuke walimu wa masomo ya sanaa (arts)

    Tangu utawala wa Mh. Hayati Dr. John Magufuli uingie mwaka 2015 huo ndio ukawa mwisho wa ajira kwa walimu wa Arts. Kwa heshima kubwa na taadhima ninakuomba Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan uwaajiri. Idadi yao ni kubwa kwa sababu walitengwa kwenye mfumo wa...
  2. Ellymsgw

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Mdogo wangu kamaliza kidato Cha nne na kapata four ya 26 Ana "F" ya phs na math pia "C"ya history na kiswahili, yaliyobaki Ana "D"

    Naombeni ushauri mdogo angu kamaliza kidato Cha nne na kapata four ya 26 Ana "F" ya phy na math pia "C"ya history na kiswahili yaliyobaki Ana "D" Kama Ni kurudia arudie masomo gani? Naombeni ushauri
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa sekondari apunguziwe mzigo wa masomo kwa mtindo huu

    Naonelea History na Civics ziwe hazina mitihani wala notisi. Zifundishwe kwa njia ya masimulizi. Tena ili kurahisisha ugumu masomo haya yasimuliwe kwa lugha ya Kiswahili. Pia mtaala wa kiswahili upunguzwe. Mambo ya mofimu na kuchambua sentensi yatolewe na ikiwezekana kidato cha pili iwe mwisho...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Somo la Historia litafundishwa rasmi kwa Kiswahili au kutakuwa na masomo mawili ya Historia huku Somo la Sasa likibaki Kama kawaida?

    Najiuliza swali Hili: Kutakuwa na masomo mawili ya Historia huku somo la Sasa likiendelea kufundishwa kwa kingereza? Je kutakuwa na somo jipya la Historia ya Tanzania litakofundishwa kwa kiswahili kuanzia daraasa la kwanza hadi form six ambalo ni la lazima? Kimbukeni Rais kasema Historia ya...
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ataka Walimu waongezewe kazi wafundishe masomo kuanzia matatu ili kupunguza uhaba wa Walimu

    Akikazia mawazo ya wabunge kama kawaida yake nimemsikia Spika ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuwaongezea masomo ya kufundisha walimu kwa maana ya kuwafundisha kuyafundisha tangu wakiwa vyuoni hasa vyuo vikuu ili kupunguza uhaba wa walimu na kuongeza tija kwa Wanafunzi. Akitolea...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Moshi: International School of UWCEA yasitisha masomo Baada ya Wanafunzi 2 kupatwa na Corona

    Shule ya kimataifa ya UWCEA Kampasi ya Moshi, Kaskazini mwa #Tanzania imesitisha mafunzo ya ana kwa ana kwa Wanafunzi kwa madai ya mmoja wa Wanafunzi kuthibitishwa kuwa na maambukizi ya Corona. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na tovuti ya Shule hiyo, Januari 18 Mwanafunzi huyo alithibitishwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Serikali Iongeze nguvu kwenye masomo ya Hisabati na fizikia

    Habari za usiku wana jamvi tukiwa na furaha na ufaulu wa vijana wetu kidato cha nne kwa hakika wanastahili sifa wamefanya vizuri kama matokeo yatakuwa ni ya kweli. Lakini pamoja na kufanya vizuri nadhani changamoto imebaki katika masomo makuu mawili. Fizikia na hisabati kwa ujumla...
  8. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya majina 300 waliopata ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka 2020/2021

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, anawatangazia watumishi walioomba ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kuwa zoezi la uchaguzi limekamilika. Jumla ya watumishi 300 wamechaguliwa kupata ufadhili kwa mwaka 2020/2021, ufadhili huu...
  9. guwe_la_manga

    JamiiForums Tanzania Ili niweze kufanya kazi TTCL natakiwa nisomee masomo gani na kozi gani chuoni?

    Miye ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 kwa masomo ya HGL, ningependa kupata mwongozo wa nini nifanye. Je, HGL yangu ya div 2 inatosha? Au kuna somo inabidi niyareseat? Na kama kwa HGL inawezekana ni chuo kipi kinatoa masomo hayo kwa ngazi ya diploma?
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Nchi isiyojali wanaomaliza masomo kwa alama za juu

    Inasikitisha Sana kwamba vijana wetu wanajitahidi kimasomo katika mazingira magumu Sana. Wakati mwingine fedha za mikopo ya kujikimu inachelewa, na hata wengine hawapati kabisa. Licha ya magumu yote hayo, unakuta kijana amejitahidi Hadi kufikia hatua ya juu ya ufaulu. Wengine katika madaraja...
  11. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Je, changamoto zipi unapitia baada ya kuhitimu masomo (kugraduate) yako

    Habari wadau! Amini usiamini kuna watu leo wanatimiza miaka kumi tangu wagraduate na hawajai kuajiriwa najua wanapitia changamoto nyingi za maisha kwa hiyo ww uliyehitimu miaka miwili au mitatu nyuma unayomengi yakujifunza usikate tamaa. Lengo la uzi huu ni kupeana changamoto na kupeana njia...
  12. Millionaire Mindset

    JamiiForums Tanzania Una matatizo ambayo yanakusumbua lakini hujui wapi pa kuanzia kuyatatua?

    UNA MATATIZO AMBAYO YANAKUSUMBUA LAKINI HUJUI WAPI PA KUANZIA KUYATATUA? JE, unafikiri ni nani wa kulaumiwa kwa changamoto na matatizo yote unayopitia? Ni mzazi, mlezi, Ndugu, Jamii au serikali yetu? Na Je, unajua kuwa kusuluhisha tatizo lolote lile bila kujua chanzo chake, ni kama kushindana...
  13. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Masomo 21 Kwa Ajili ya karne ya 21: Ukweli Kinyonga, Kuna Ukweli Bandia Unaodumu Milele

    Dr. Yuval Noah Harari, Mwandishi wa Kitabu kiitwacho, "Masomo 21 Kwa Ajili ya Karne ya 21 (2018) Mwaka 2018, mwanahistoria wa huko Israel, Profesa Yuval Noah Harari, aliandika kitabu kiitwacho, “Masomo 21 Kwa Ajili ya Karne ya 21,” yaani “21 Lessons for the 21st Century.” Kitabu hiki kimechapwa...
  14. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini somo la Civics ndilo pekee ambalo haliundiwi combination "A" level katika masomo saba ya msingi Kidato cha Nne?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini somo la Civics ndilo pekee ambalo haliundiwi combination "A" level katika masomo yale saba ya msingi kidato cha nne? What's the logic? Aren't they diplomats? Wale wanaopata As za somo hili la...
  15. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Je, tuendelee kutilia mkazo watoto wetu kusoma masomo ya sayansi au tukomae na kukuza vipaji?

    Habari wadau! Baada ya kimya kirefu leo vidole vimeniwasha nimeamua kuandika thread . Nauliza tu je kuna ulazima kuwasisitiza watoto wetu kukomaa na masomo ya sayansi ambayo ki uhalisia yanaonekana kuwashinda wengi au tukomae na kuakikisha tunagundua vipaji vya watoto wetu ASAP(As Soon As...
  16. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Je, nitafanya nini endapo moja ya masomo niliyochagua halifundishwi kwenye chuo nilichochaguliwa?

    Nimechaguliwa kwenda kusoma shahada ya ualimu, sasa je endapo nkikuta somo moja wapo ya yale niliyochagua mim halifundish hapo chuoni nitafanya nini?
  17. fungi06

    JamiiForums Tanzania Ni vema mtoto wa Kitanzania asome masomo yatakayomwongoza kufanya kazi aipendayo hapo baadaye

    Basi kama sirikali kweli inataka kusaidia taifa a kesho kurudisha hadhi ya Mtanzania kuw mzalendo na nchi yake basi pasipo na shaka lazima tuwe watu waku make opportunity kulingana na mazingira yetu. Basi nimekutuna na mzungu fulani nikiwa natoka kusoma, ana furaha na kazi yake ya udereva wa...
  18. opondo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina degree ya Ualimu masomo ya Physics na Chemistry

    Habarini wakuu, natafuta kazi ya ualimu masomo ya physics na chemistry nimegraduate mwaka huu nipo mwanza, lakini naweza kufika sehemu yoyote Tanzania. Kwa atakenisaidia kupata sehemu ya kujishikiza siwezi kumuacha patupu. Advance nilisoma PCB na nilipata division 2 point 12... GPA ya Chuo...
  19. ADAM SMITH

    JamiiForums Tanzania Msaada wa soft copy ya vitabu, pamhets, kwa masomo ya uchumi na accounts A level na professional studies

    Wakuu naomba msaada kwa mwenye soft copy ya vitabu, pamhets kwa masomo ya uchumi na accounts A level na professional studies
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tulikemee hili la Wanafunzi kuachishwa masomo kwa ajili ya kampeni za CCM

    Mdau najua wewe ni shahidi.Kila makao makuu ya mkoa anapopita Mgombea wa CCM na mgombea mwenza kumekuwa na tabia ya kuachisha masomo wanafunzi na kusombwa kuhudhulia mkutano. Hii sio haki kwani hii ni mikutano ya kichama na inavuruga mwenendo wa masomo yao. Mwalimu mmoja jana akanitaka kama...
Back
Top Bottom