Shule zimefunguliwa baada ya mapumziko ya wiki mbili kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, huku Mamlaka zikisema kwamba ratiba ya masomo haitaongezwa ili kuruhusu wanafunzi kufidia muda uliopotezwa
Wadau wamedai kuwa Ratiba inaweza kuathiriwa zaidi iwapo Mahakama ya Juu itaamuru...
BUSTANI YA BOTANIC NA ZOOLOJIA, CHACHU YA UFAULU KWA MASOMO YA SAYANSI
Kuhusu Bustani ya Botanic.
Katika miaka ya hivi karibuni, watafiti na watunga sera kote ulimwenguni wamezidi kutoa wito wa umakini zaidi kuwekwa juu ya elimu kupitia kujifunza kwa...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari Jijini Dar es Salaam kueleza mikakati ya wizara yake ambayo ikiwemo utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2022/23 iliyopitishwa bungeni amesema Serikali imetenga shilingi Bilioni 3 kwa mwaka huu...
Habari za wakati huu ndugu zangu wa jamiiforums. Mimi Infantry Soldier nipo mzima wa afya.
UTANGULIZI: MUUNDO WA MFUMO WA ELIMU NCHINI TANZANIA KWA UFUPI.
Mfumo wa elimu wa kitaifa kwa hapa Tanzania una ngazi kuu nne. Kwanza miaka saba ya elimu ya msingi ya lazima (kuanzia umri wa miaka sita)...
Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu na huchangia 80% ya pato la taifa kuliko sekta nyingine ya uchumi.
Kwa sababu hiyo sekta hizi zinatakiwa ziwekewe uwekezaji mkubwa zaidi.
Wasomi wanaohitimu vyuoni hawapendi kufanya shughuli za kilimo na ufugaji kwa sababu kuu mbili.
1. Hawana taaluma ya...
Serikali ya Samia Suluhu Hassan kwa kutambua umuhimu wa wanafunzi wa masomo ya Sayansi na Teknolojia hasa katika zama za wakati tulio nao, Rais Samia Suluhu kupita bajeti ya Serikali ya Wizara ya Elimu 2022/23 kiasi cha Sh. 3bn/- kimetengwa kwa ajili ya kufadhili wanafunzi 500 wa masomo ya...
Kwa mahitaji ya huduma ya Masomo ziada majumbani (Home tuitions) ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam wasiliana na walimu mahiri kupitia namba zifuatazo:
0716600198 au 0758120535.
Masomo ni kama ifuatavyo:
SEKONDARI: Physics and Mathematics
MSINGI: Science, Mathematics, English and Social studies...
Na Malenja jr
Ninapotaka kufanya jambo kubwa kwa nchi huwa nawasikiliza wanaopinga uamzi wangu, najibizana nao kwa hoja, nikiona hoja zao zina nguvu kuliko zangu naacha niliyokuwa nayo natekeleza hayo matakwa yao lakini nionapo hoja zao ni dhaifu katika kunikosoa huwa naendelea na yale...
Wakuu naomba msaada wenu. Nataka niwapeleke watoto wangu wawili kwenye tuition centre nzuri hapa Dar wakati wa likizo hii ya summer, kwa Masomo ya science: physics. Chemistry, maths na biology. O level form 3 Naomba ni fahamu bei yake ya kila somo pia. Natanguliza shukran
Poleni na majukumu ya kila siku ndugu zangu, nimemaliza degree ya kwanza ya business administration na nina kazi yangu binafsi kwa sasa lakini haikuwa ndoto yangu ilinilazimu kusoma Ili nipate kwanza kazi ya kufanya.
Ndoto yangu ni kuwa daktari na sikuweza kutimiza vigezo kwenye masomo ya...
Salaam Wakuu
Kumeibuka tabia za waalimu wa shule za msingi kuwarejesha watoto majumbani kisa hawajatoa michango mbalimbali ikiwamo ya mitihani, ulinzi na michango mingine.
Kutokana na hali hii watoto wamekuwa wakitoka shule wanazunguka mitaani bila kuwa na shughuli maalumu ya kufanya...
Wasalaam!
Bila Shaka hamjambo katika jukwaa hili.
Kwa wazazi wenye watoto wanaotaka kujiunga na kidato cha tano.
Taasisi ya Kanisa tunatoa ufadhili bure kwa wanafunzi wote wenye Daraja la Kwanza. (Division One)
Ufadhili huu ni kwa miaka miwili (Form 5 & 6)
Kwa TAHASUSI (combination) zote...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (Mb) amesema katika bajeti ya Mwaka wa Fedha 2022/23 Wizara imetenga fedha kwa ajili ya kutoa ufadhili wa elimu ya juu (scholarships) kwa wanafunzi watakaofanya vizuri katika masomo ya Sayansi.
Waziri Mkenda amesema hayo Jijini Dodoma...
Habarini za kazi wapendwa poleni na majukumu ya kila siku
Naomba mwenye kufahamu utaratibu wa kurudia masomo ya kidato cha nne aniambie je? iwapo mtu anataka kurudia masomo yote aliyofanya mwanzao inawezekana na atapewa cheti kingine na division mpya tofauti na ya awali au utaratibu ukoje...
Kwema Wakuu!
Shida zako zisikufanye uwe Mpumbavu kiasi hicho mpaka umtese mtoto wako WA kumzaa mwenyewe. Yeye anamakosa gani gani umtese hivyo.
Yaani matatizo yako ya maisha unavyodhani yalisababishwa na wewe kutokusoma ndio unahamishia hasira na Mateso yote Kwa mtoto, huo ni upumbavu...
Habari wana Jf,
Nimeshindwa kuendelea na masomo yangu ya mwaka wa pili katika ngazi ya digrii course ya Procurement and supply management. Changamoto ya ada inanifanya nipostepone mwaka, kuanzia February niko room na shosti wangu vyuma vimekaza.
Niko dodoma, ninakuja kwenu kuomba msaada wa kazi...
1. Matatizo ya kisaikolojia
Watoto wanaweza kukabiliwa na matatizo mbalimbali ya kisaikolojia ambayo huathiri uwezo wao wa kujifunza shuleni.
Baadhi ya watoto huzaliwa na matatizo haya huku mengine hutokana na matendo kama vile ukatili wa kijinsia au unyanyasaji mwingine wanaofanyiwa baadhi ya...
Imekaaje hii?
Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni. Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,
Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?
Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?
Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.