masomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu tafadhali chunguzeni ratiba za masomo katika Vyuo vya Kati na Juu

    Nawasalimu kwa kutoa maoni yangu katika upangaji wa ratiba katika vyuo mbalimbali hapa nchini. Naomba Wizara ya Elimu na wahusika kupitia ratiba za masomo vyuoni. Imekuwa kawaida sasa kuona ratiba hizo kupangwa kutokana na nafasi za walimu wa masomo vyuoni kuelekea vipindi vingine kuanzia...
  2. Martyr 360

    JamiiForums Tanzania Kiswahili kuchaguliwa kama Lugha ya Taifa ilikuwa kosa?

    Yaani hapa bongo bhana tuna vipaji vingi sana tena watu wa maana umewahi kufikiria kwanini hatuvumi sana kimataifa na dunia kiujumla. Hii ni kwasababu ya lungha tunayotumia kama Lungha ya taifa umewahi kufikiria labda ENGLISH ingekuwa ndo lugha yetu ya taifa yaani Kwanza tungekuwa na lafuzi...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya Ngono 'inavyobemenda' Masomo na Ajira nchini

    “RUSHWA ya ngono ipo, lakini haizungumzwi maana inachukuliwa kama jambo la kawaida na lisilozungumzwa hadharani. Vyuoni, ipo kutoka kwa mwalimu wa kiume kwenda kwa wanafunzi wa kike, au kutoka kwa mwanafunzi wa kike kwenda kwa mwalimu wa kiume.” Ndivyo anavyosema Mkurugenzi Mtendaji wa Chama...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Changamkieni fursa vijana mliohitimu advance masomo ya Sayansi. Njia ya mafanikio nyeupe

    Uzi tayari.
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yakubali wanafunzi 28,000 waliokosa mikopo waendelee na masomo vyuoni wakati ikikamilisha masuala ya ada zao

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia wanafunzi 28,000 waliokidhi vigezo vya kupata mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka 2022/2023, waende vyuoni kuendelea na usajili chini ya uratibu wa Wizara ya Elimu wakati taratibu muhimu zikikamilishwa. Kauli ya Rais Samia...
  6. maroon7

    JamiiForums Tanzania Sio sawa watoto kumaliza mtihani wa taifa kisha kuendelea na masomo ya mwakani

    Darasa la nne wamemaliza mitihani hivi karibuni. Na wote tunafahamu jinsi hizi shule za siku hizi zinavyochukulia mitihani kama vita maana kipindi chote cha mwaka watoto hawapumziki kisa mtihani wa taifa na hubebeshwa madaftari yote na vitabu juu. Mbaya zaidi watoto walianza kutoka jioni saa...
  7. Boqin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tangazo la fursa za masomo nchini Norway 2022/2023

    Tovuti moja inadai kutangaza nafasi za ufadhili wa masomo katika chuo kikuu nchini Norway na kusambaa katika mitandao ya kijamii. Tovuti hiyo ina ujumbe wa Kiingereza ulioandikwa vibaya unaotafsirika: "Kasome Nchini Norway Kozi Yoyote Uliyochagua Bila Malipo kwa Muda wote wa programu"...
  8. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Walimu wa masomo ya biashara tupeane connections ya kazi

    Kama unafahamu kuna shule ina uhaba wa walimu wa biashara katika masomo ya commerce,book keeping, accounts na economics Tupia connections ya shule ambayo unafahamu ina uhaba ya walimu hao ili vijana wanaotafuta kazi
  9. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu ipitie upya Mtaala wa Masomo ya Sayansi wa A-Level

    Wanafunzi wengi wa Advance wamejikuta kwenye hali ngumu hususani kwenye masomo ya Mathematics, Physics, Chemistry na Biology Kwanza, Mambo ya kujifunza ni mengi sana (materials) bila kupima uwezo wa ubongo wa mwanafunzi ivo kupelekea kufeli Pili,Uchache ama ufinyu wa mda, miaka miwili kwa...
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Masomo ya uwakili yafundishwe kwenye course ya Sheria Chuo Kikuu kwa mwaka wa Nne. Law school ifutwe

    Kwa hali iliyopo na inayoendelea TLS ninashauri Law school ifutwe na badala yake degree ya sheria iliyokuwa inasomwa kwa miaka mitatu sasa isomwe kwa miaka mine Ili mwaka wa nne wasome masomo ya Law school wakiwa chuo kikuu husika. Wanafunzi akishamaliza degree ya sheria awe tayari amemaliza...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Makamba kama Waziri wa Nishati na aliyofanya alipoteuliwa umenifanya niwakataze watoto wangu kuchukua masomo ya Sayansi

    Kuna mengi yalisemwa kuhusu January kuteuliwa kuwa waziri wa nishati, mojawapo likiwa ni kwamba kulikuwa na msukumo fulani kutoka kwa wazee kwa mama kumpa January wizara hiyo nyeti kama chaguo lake. Sasa kwangu mimi hilo nililiona lina walakini sana. Sina tatizo na Makamba kuwa waziri, lakini...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi 640 waliochaguliwa kuomba ufadhili wa masomo ya Samia

    Majina ya wanafunzi 640 waliochaguliwa kuomba ufadhili wa masomo ya Samia Ufadhili wa Samia: Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilitangaza majina ya wanafunzi 640 wanaostahili kupata ufadhili wa masomo kupitia Samia Scholarship baada ya kufanya vizuri katika masomo ya sayansi. Leo wizara...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuongeza masomo ya ziada nje ya Syllabus ya program husika

    Habari wadau! Ningependa kufahamu kama kufanya hizo course/masomo yaliyo nje ya program husika yatatokea kwenye Transcript? Mfano Bsc Economics nikaongeza soma kama information System
  14. F

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ufadhili wa masomo diploma ya medical laboratory2022/2023

    Habari samahan sana kwa kutumia muda wenu lakin nianaombi moji ambalo no ufadhili wa masomo ya diploma kwa mwaka wa masomo 2022/2023. Naitwa Frank Mabula juma nikijana mwenye umri wa miaka 21 nikijana ninaetoka katika familia ya Mzazi mmoja yaani mama peke. Nimehitimu kidato cha sita mwaka...
  15. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wa masomo ya elimu ya juu nchini Uholanzi

  16. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Wapi wanafanya TOEFL exams kwa Dar es salaam?

    Wakuu naomba mnisaidie ni wapi hapa DSM wanafanya mitihani ya TOEFL kwa ajili ya kwenda US? Kuna jamma yangu ana uhitaji. Thanks
  17. Mwamundela

    JamiiForums Tanzania Mwenye uhitaji wa Mwalimu wa masomo ya Chemistry, Biology na Physics

    Habari wanajamvi, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi ni mwalimu kwa taaluma ,nimesoma Bachelor of science with Education (Bsc EDUCATION) Na nimehitimu mwaka 2017. Nina uzoefu wa kufundisha Chemistry na Biology Kwa miaka mitano(5) Kwa NGAZI zote yaan A-Level na O- Level. Napatikana kitunda...
  18. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wahadhiri wa Elimu ya juu na Matumizi mabaya ya ratiba za masomo

    WAHADHIRI WA ELIMU YA JUU NA MATUMIZI MABAYA YA RATIBA ZA MASOMO. UTANGULIZI; Kwa kawaida, miaka ya masomo kwa elimu ya juu huwa ina mihula miwili yaani muhula wa kwanza na wa pili wa masomo. Wahadhiri wengi wamekuwa wakitumia vibaya muda uliowekwa wa masomo na hivyo kupelekea malimbikizi...
  19. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Kilimo na TEHAMA yewe masomo ya lazima shuleni

    Kwa kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu na kinachangia 80% ya pato la Taifa, ni vyema Serikali ikalifanya somo hilo kuwa la lazima ngazi zote za shule. Pia kwa upande wa TEHAMA tunaona jinsi ambavyo dunia inakimbia kwenda kwenye mapinduzi ya Kiteknolojia na ndio msingi wa maendeleo wa...
  20. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Je, unafanya kazi inayoendana na masomo yako?

    Wanajamvi tumeshuhudia wasomi wengi wanaomaliza vyuo tofauti wakianza harakati za kutafuta ajira huku wengine wakijiajiri wenyewe kutokana na sababu tofauti ikiwemo kutaka manufaa makubwa ama kwasababu ya ukosefu wa ajira. Je ukiwa kama msomi, unafanya kazi zinazoendana na masomo yako? Kama...
Back
Top Bottom