masomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha masomo physics na mathematics

    Naitwa Pastory Augustino Nipo morogoro Naomba kama kunamtu anafahamu sehemu yenye uhitaji wa mwalimu wa masomo tajwa anisaidie aisee, Level yangu ni diploma
  2. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Singida: DC Muragili awasihi wazazi kuwasaidia watoto wa kike kujikwamua kiuchumi wanaposhindwa kuendelea na masomo

    Wazazi na walezi wameaswa kuwatafutia njia mbadala watoto wao wa kike ya kujikwamua kiuchumi inapotokea kukatishwa ndoto zao kwa kushindwa kuendelea na masomo kwasababu mbalimbali ikiwemo kubebeshwa mimba. Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili alitoa wito huo wakati akizungumza...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mmoja aliyepigania watoto wasirudi shule ampeleka mwanaye nje kuendelea na masomo miezi 6 baada yakujifungua.

    Wakati wa awamu ya tano msimamo wa serikali ulikuwa hakuna watoto kurudi shule endapo watapata ujauzito. Kauli hii yakishenzi iliungwa mkono na wanasiasa wakiwemo wabunge na hata viongozi wa dini,taasisi za kirahia na wanazuoni mbalimbali. Wakati Kigogo mmoja jina linahifadhiwa akiwa kinara wa...
  4. Twyn

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mapenzi ya vyuoni huisha baada ya kumaliza masomo?

    Hivi kwanini mahusiano ya vyuoni i.e college/university huaga hayadumu..? Unakuta mmekutana mumeelewana kabisa na mnaweza mkaishi miaka yote mtakayokua chuo kama wapenzi/wachumba ILA shule ikiisha tuu mkirud majumbani mambo yanaharibika taratibu mpaka mna~brake up.
  5. Rais wa Matajiri

    JamiiForums Tanzania HESLB: Yatoa mikopo 100% kwa wanafunzi 872 zao la TASAF regardless masomo waliohitimia|ashukuriwe Rais Samia kwa hii sera inayoinua watoto wa masikini

    Nawasalimu kwa Jina la JMT, Sera ya bodi ya mikopo ya Elimu ya juu ( HESLB ) dhidi ya wanaopewa mkopo 100% ni wale tu wanachukua masomo ya Sayansi kama Udaktari, Wale wanaochukua masomo yasiyo ya Sayansi hupewa mkopo chini 100% Mambo ni tofauti kwa awamu ya Sita chini ya Rais ya Samia...
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli aliletwa duniani mahsusi na Mungu ili kuleta masomo fulani tujifunze

    Mungu Kuna watu anawatumia hapaduniani Kama shule kwa umma wake ili uongoke au ujifunze Jambo fulani magufuli ni mmoja wao. Somo la kwanza Ndugu pataneni mnapogombana maana mkishindwa mnampa nafasi adui kuneemeka na ugomvi wenu.Mtifuano wa kina lowasa ndani ya ccm ndio uliompa JPM kula kwamba...
  7. mahunduhamza

    JamiiForums Tanzania Mwanachuo umemaliza sasa karibu mtaani

    Habari zenu wapendwa... Nimeona ni vyema saana kuzungumza na vijana ambao wamehitimu masomo yao ya vyuo vikuu Tanzania. Mtaani sio pagumu saana kama utajituma na utathubutu kwa kila wazo ambalo utahisi ni nzuri na unawez kulifanikisha(si maanishi kila wazo ni zuri). SANUKA (1) JIKUBALI...
  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ushauri: Kupunguza miaka ambayo Wanafunzi hutumia katika masomo ili kukuza Uchumi

    Kutokana na mabadiliko ya kitekinolojia na mabadiliko ya jamii kiujumla nilazima kuwepo na namna ya kubadili mfumo mzima wa elimu hasa katika kupunguza idadi ya miaka ambayo wanafunzi hutumia katika masomo. Kwa mwanafunzi kufikia chuo kikuu mwaka wa tatu itakuwa imemchukua zaidi ya miaka 15...
  9. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Pakacha la Mimba, Masomo na Maisha nimbebeshe nani?

    Nilipopata akili nilisimuliwa kuwa wazazi wangu walifariki nikiwa mdogo sana. Baba alitangulia na baadae Mama. Walezi wangu wakawa babu na bibi ambao ni wakulima kijijini Manda. Siku moja, nikiwa darasa la tatu walipita wageni nyumbani ambao walikuja kwa shughuli zao pale kijijini. Walisikia...
  10. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Ni sawa wanafunzi kusimamishwa masomo kwa kutolipa ada?

    Ni haki kwa wamiliki wa shule kuwasimamisha masomo wanafunzi ambao hawajalipa ada kulingana na ratiba ya muhula (kabla mwaka haujaisha)? Mfano: Mtoto alitakiwa alipiwe 3,000,000 Tshs jumla kwa utaratibu huu: Muhula wa kwanza: 1,200,000, Muhula wa pili: 1,000,000 na Muhula wa tatu: 800,000...
  11. Renald Gasper

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaacha kazi au masomo, fahamu hili

    • Maana hasa ya 'Ujasiriamali' kama kujiajiri. Watu wengi hukimbilia kujiajiri bila kuwa na ufahamu sahihi na halisi juu ya jambo hilo, kama hapo nyuma kwenye masomo yalio kwisha kupita nilisema, "pesa sio inayomfanya mtu kuwa tajiri, bali ni taarifa/elimu sahihi aliyonayo" vivyo hivyo kuwa...
  12. wakale kwanza

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mustakabali wa Elimu ya Tanzania na uhusiano wake kwenye masomo ya Ujasiriamali

    MUSTAKABALI WA ELIMU YA TANZANIA NA UHUSIANO WAKE KWENYE MASOMO YA UJASIRIAMALI. ELIMU YA MSINGI Tunapozungumzia Elimu ya msingi kwenye nchi kama Tanzania ni vizuri kujua umuhimu wa Kuhusisha Elimu hii na Elimu ya ujasiriamali. Hususa ni Taasisi husika kukubali kuipokea Elimu hii ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtabe wa mathematics na masomo ya science kwa secondary nipo hapa

    Habari za mda huu wadau wa JamiiForums, Mimi ni Kijana. Naishi Dar es Salaam. Natafuta wanafunzi wa kuwafundisha tuition mfumo wa TABLE TEACHING. MASOMO YA KUFUNDISHA O-level : Physics, Chemistry, na Basic Mathematics. A-level : Advanced Mathematics pekee OMBI Ewe mdau hususan wazazi/walezi...
  14. Dead Man

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mbinu za kupata mafanikio kwenye masomo

    Mbinu za kupata mafanikio kwenye masomo fanya haya 1. MTANGULIZE MUNGU KATIKA MASOMO YAKO. Hili ndio jambo kubwa katika mafinikio ya kielimu.Mungu ndio kila kitu,hakikisha unajenga tabia ya kuombea masomo yako kila siku na kila mara,kila siku unapoamka asubuhi kabla ya kwenda shule au chuo piga...
  15. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mtaala wa Elimu ya Taifa unairuhusu TAMISEMI ngazi ya Mkoa kuratibu na kusimamia shughuli za Shule ikiwemo ratiba za masomo

    Habari Wanabodi! Ukisoma Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ukurasa wa 5 kuhusu Utekelezaji wa Ibara ya 146(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977) inayohusu ugatuaji. Katiba inatamka katika Sura ya Nane (kuhusu madaraka kwa umma), kwamba...
  16. Shimba ya Buyenze

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    Nitakuwa naweka hapa vitabu vinavyotumiwa katika mataifa mbalimbali kuanzia elimu ya sekondari mpaka Chuo Kikuu. Jisikieni huru pia kuweka vitabu vyo vyote vile vinavyotumika mashuleni na vyuoni kutoka mahali po pote duniani Naanza na kitabu hiki chenye fomyula muhimu 1,300 za somo la Hisabati...
  17. msovero

    JamiiForums Tanzania Serikali kuajiri walimu wapya wa masomo ya Sayansi na Hesabu kukabiliana na uhaba uliopo

    Serikali inatarajia kuajiri walimu wengine wapya hususani wa masomo ya sayansi na hisabati ili kukabiliana na upungufu mkubwa wa walimu wa masomo hayo katika shule za sekondari nchini. Hayo yamesemwa na waziri wa nchi ofisi ya Rais-TAMISEMI, mheshimiwa Ummy Mwalimu(mb) akiwa ziarani katika mkoa...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi shule binafsi kufundisha masomo ya sanaa

    .
  19. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri kuhusu masomo ya baishara

    Habari zenu ndugu. Ninaye kijana wangu ambaye anaelekea kuhitimu masomo ya sekondary na amekuwa akichukua masomo ya biashara kulingana na uwezo wake... japo kama mzazi nilipenda achukua masomo ya Sayansi ila yeye akapenda biashara kwa hiyo nikamsupport. Sasa kwa mliopitia masomo ya biashara...
  20. yousaw

    JamiiForums Tanzania Naomba udhamini wa elimu ya juu

    Wakuu, Kama kuna anayefahamu kuhusu taasisi, jumuiya au hata shirika linalojihusisha na udhamini wa wanafunzi wa elimu ya juu anisaidie nina shida ya udhamini. AHSANTE
Back
Top Bottom