mashujaa

Heroes' Day or National Heroes' Day may refer to a number of commemorations of national heroes in different countries. It is often held on the birthday of a national hero or heroine, or the anniversary of their great deeds that made them heroes.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Kumbukumbu ya Mashujaa Dodoma. Apendekeza Dodoma pajengwe mnara wenye hadhi ya makao Makuu ya nchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa Viwanja vya Mashujaa Jijini Dodoma leo tarehe 25 Julai, 2022 - Rais amewasili katika viwanja vya mashujaa Dodoma. - Gwaride la kumbukumbu ya siku ya Mashujaa limefanywa -...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mashujaa Watanzania wawili miongoni mwa waliotunukiwa medali ya Dag Hammarskjold

    27 May 2022 UN HQ / Makao ya Umoja wa Mataifa New York Mashujaa Watanzania wawili miongoni mwa waliotunukiwa medali ya Dag Hammarskjold Askari wa Tanzania waliopoteza maisha, Luteni Kanali Christopher Kavalambi na private Mbwana Daudi wametunukiwa na Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres...
  3. mr gentleman

    JamiiForums Tanzania Unsung Heroes: Mashujaa wasiopewa heshima yao hapa Tanzania

    Tanzania kuna watu wengi kwenye nyanja mbalimbali ambao wamefanya makubwa kwenye nchi lakini hawatajwi wala kupewa heshima wanayostahili. Sasa mimi nitawataja wachache na yoyote anaemjua mtu aliyefanya jambo kubwa aongezee. P Funk Majani Huyu ndio baba wa bongofleva. Formula tunayotumia sasa...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnamwona January Makamba na Nape ni Mashujaa... bado mna dhana hiyo?

    Nliwahi waambia watu flani Nape wala Makamba hawajawahi kuwa smart. Ila waliokuwa wanadhani hao watu ni smart wao ndo hawakuwa smart. Ilishangaza sana kuna watu kabisa wakaanza na kumpigia debe Makamba kuwa Rais....nikaona hii nchi mnadhani sisi sote ni MAZUZU so mnataka tuishi kwa akili zenu...
  5. ngajapo

    JamiiForums Tanzania Urusi imepanga kufanya gwaride la maadhimisho ya siku ya mashujaa Mei 9 kwenye mji walioteka wa Mariupal

    Ukraine imeishutumu Urusi kwa kupanga kufanya gwaride la kijeshi la 'Siku ya (mashujaa) katika mji uliotekwa wa Mariupol tarehe 9 Mei kusherehekea ushindi dhidi ya Wanazi katika vita vya pili vya dunia, AFP inaripoti. Idara ya upelelezi ya kijeshi ya Ukraine ilisema afisa kutoka utawala wa rais...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Wanawake mashujaa waliosahauliwa tunawakumbuka: makala maalum siku ya wanawake

    AISHA ''DAISY'' SYKES ANAVYOWAKUMBUKA MAMA NA BIBI ZAKE WALIOSAHAULIWA NA HISTORIA Utangulizi Kila ninapofikiri kuhusu historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika hasa katika zile siku za mwanzo za TAA kabla ya kuundwa kwa TANU na baada ya TANU kuundwa mwaka wa 1954, nashawishika kufanya rejea...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Nyerere, Magufuli na Polepole: Mashujaa pekee wa CCM katika enzi za siasa za vyama vingi

    Ni wazi CCM wanaamini kukosoana wenyewe ni kosa la jinai na hasa kumkosoa mwenyekiti ni dhambi isiyovumika!! Vyama upinzani wanayo hii pia, Ila kwakuwa mada inawaangazia hao mashujaa watatu, ndipo nimeitaja CCM! Ndani ya CCM usikosoe serikali hadharani Watakushughulikia kungali kweupe! Hii...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru: kwa nini tumewasahau mashujaa wetu?

  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kwanini tumewasahau Mashujaa wetu?

  10. Sijali

    JamiiForums Tanzania Akina nani wakumbukwe?

    Naleta uzi huu baada ya kuona mwelekeo wa kuvipa majina kiholela vitu muhimu, mali ya Watanzania wote. Aghalabu majina ya wanasiasa ndiyo tu yanayotumika. Tena wanasiasa wawili au watatu tu. Aidha, mtoaji wa jina huwa hakushauriana na yeyote, licha ya kuwa hana utaalamu mkubwa katika historia ya...
  11. Humphrey Mrema

    JamiiForums Tanzania SoC01 Hata katika Majanga, Mashujaa huinuka na kusonga mbele

    Katika historia ya dunia tumekuwa tukipoteza wapendwa wetu siku hadi siku kwasababu nyingi. Takwimu za mwaka 2017, zinaonesha kulikuwa na vifo zaidi ya millioni 50 vya mwaka huo dunia nzima, 72.67% ya vifo vya dunia vimesababishwa na magonjwa yasivyoambukiza, na huku 19.49% ya vifo vikiletwa na...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Sijasikia wananchi wa kawaida wakiwalilia mashujaa wa CHADEMA waliotiwa nguvuni

    Wanaopika vitumbua wako busy, machinga wapo busy, manesi na walimu wanajadili dakika moja na kuchapa shughuli zao. Waliotiwa nguvuni wanajinasibu kuwa ni wapigania haki na wakombozi wa taifa hili dhidi ya udhalimu wa CCM. Je ni kweli? Mbowe na Pambalu wamegeuka kuwa mashujaa wa kupigania haki...
  13. Omusolopogasi

    JamiiForums Tanzania Mashujaa wa kweli Tanzania hawakumuogopa Hayati Dkt. Magufuli

    Wanajamvi, Kuna watu wanastahili nishani. Kukosa uoga kwao hakuelezeki. Wakati Mwendazake anafungwa watu, kuharibu biashara zao, kuwapakazia makosa yasiyokuwa na dhamana, na wengine kuuawa, hawa jamaa hawakunyaza kimya. Kilikuwa kipindi kigumu cha kuogopesha sana. Watu hawakuwa huru kuongelea...
  14. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mashujaa katika Serikali ya Awamu ya Tano waliokataa kuwa watumwa na vibaraka

    Habari za usiku wanabodi, Leo nimetafakari sana kuhusu Shujaa wa kizamani na jinsi legacy yake inavyozungumziwa kwa muktadha wa Uzalendo kwa taifa. Lekini kauli au neno la "Shujaa/Hero" maana yake ndogo ni "anaweza kukabili jambo lolote kwa ujasiri, bila kuzuiwa na woga. ". Katika awamu ya...
  15. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya COVID-19 tusitengeneze mashujaa ambao hakuna ulazima wa kufanya hivyo

    Hii habari ya yule wakili maarufu kwenye kesi zenye uhusiano na sanaa kuitwa kujieleza na pengine kufikishwa ubaoni kwa Pilato linaweza kutengeneza shujaa asiyetegemewa akageuka kuwa cheche ya moto (spark of fire) inayo subiriwa na wabaya wa wenye dhamana. Kuna washindani wenu au watu...
Back
Top Bottom