Mashujaa Watanzania wawili miongoni mwa waliotunukiwa medali ya Dag Hammarskjold

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,291
24,167
27 May 2022
UN HQ / Makao ya Umoja wa Mataifa
New York

Mashujaa Watanzania wawili miongoni mwa waliotunukiwa medali ya Dag Hammarskjold

Askari wa Tanzania waliopoteza maisha, Luteni Kanali Christopher Kavalambi na private Mbwana Daudi wametunukiwa na Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres, medali za heshima za Umoja wa Mataifa UN iitwayo Dag Hammarskjold kwa kujitoa kutumikia Jeshi la Umoja wa Mataifa la Kulinda Amani DR Congo na kupoteza maisha yao katika misheni ya kijeshi mwaka 2021 .

Personnel from UN Peace Operations Posthumously Awarded the Dag Hammarskjòld Medal on 26 May 2022
 
Duhhhhh....
Yaani baada ya kupoteza maisha then wakafufuka alafu wakaja kutunukiwa medani, kisha wakaufa tena...😶🙊
 
27 May 2022
UN HQ / Makao ya Umoja wa Mataifa
New York

Mashujaa Watanzania wawili miongoni mwa waliotunukiwa medali ya Dag Hammarskjold

Askari wa Tanzania waliopoteza maisha, Luteni Kanali Christopher Kavalambi na private Mbwana Daudi wametunukiwa na Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres, medali za heshima za Umoja wa Mataifa UN iitawayo Dag Hammarskjold kwa kujitoa kutumikia Jeshi la Umoja wa Mataifa la Kulinda Amani DR Congo na kupoteza maisha yao katika misheni ya kijeshi mwaka 2021 .

Personnel from UN Peace Operations Posthumously Awarded the Dag Hammarskjòld Medal on 26 May 2022
Mungu ibariki Tanzania
 
..Nini kiliwatokea hao askari wetu mpaka wakafariki?

..Pia Luteni Kanali kufariki ktk uwanja wa vita ni tukio kubwa.

..Luteni Kanali mara nyingi huwa ni Mkuu wa Kikosi hivyo mpaka kufikiwa na maadui kwa uelewa wangu sio jambo rahisi.

..Kwa taarifa nilizoziona kwenye mtandao Luteni Kanali Christopher Kavalambi aliwahi kuwa Mkuu wa Kikosi cha 833 kj Oljoro.

...MUNGU amlaze Private Mbwana Daudi mahala pema peponi.

..MUNGU amlaze Luteni Kanali Christopher Kavalambi mahala pema peponi.
 
Hivi hizi medali....
Ukitunikiwa, huwa zina ruzuku..??
Yaani familia za wahusika zinapata chochote...??
Nyingize zinazo, na nyingine hazina. Ila mara nyingi mtu akinunukiwa posthumously huwa familia yake inapewa kifutia machozi fulani.
 
..Nini kiliwatokea hao askari wetu mpaka wakafariki?

..Pia Luteni Kanali kufariki ktk uwanja wa vita ni tukio kubwa.

..Luteni Kanali mara nyingi huwa ni Mkuu wa Kikosi hivyo mpaka kufikiwa na maadui kwa uelewa wangu sio jambo rahisi.

..Kwa taarifa nilizoziona kwenye mtandao Luteni Kanali Christopher Kavalambi aliwahi kuwa Mkuu wa Kikosi cha 833 kj Oljoro.

...MUNGU amlaze Private Mbwana Daudi mahala pema peponi.

..MUNGU amlaze Luteni Kanali Christopher Kavalambi mahala pema peponi.

Nchi nyingi baada ya taarifa rasmi ya Umoja wa Mataifa / UN kuwatunuku nishani hizo za ushujaa, Vyombo vya nchi mbalimbali zilizotoa askari wa ulinzi wa amani chini ya Umoja wa Mataifa navyo vikatangaza habari hiyo.

Nchi hizo ni Pakistan, Ethiopian, Tchad, Ghana UN to honour four Ghanaian peacekeepers posthumously , South Africa n.k labda na Tanzania vyombo vya habari vitatambua mchango wa mashujaa wetu na kuandika habari hii ya UN .

Ethiopia : UN honors Three Ethiopian Peacekeepers Posthumously – Ethiopian Monitor

South Africans honoured

Two SANDF soldiers and one South African civilian were also honoured posthumously with Dag Hammarskjold Medals for their service, while based in the MONUSCO Mission in the DRC, including Corporal Simanga Arthur Khuselo, who was reportedly killed by friendly fire. Lance Corporal Fhatuwani Calvin Vhengani and civilian Patrick Ntanzi both died after short illnesses while serving in the DRC. South Africa’s UN Ambassador Mathu Joyini receiving the medals on behalf of a proud nation. Source : UN honours peacekeepers
 
27 May 2022
UN HQ / Makao ya Umoja wa Mataifa
New York

Mashujaa Watanzania wawili miongoni mwa waliotunukiwa medali ya Dag Hammarskjold

Askari wa Tanzania waliopoteza maisha, Luteni Kanali Christopher Kavalambi na private Mbwana Daudi wametunukiwa na Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres, medali za heshima za Umoja wa Mataifa UN iitwayo Dag Hammarskjold kwa kujitoa kutumikia Jeshi la Umoja wa Mataifa la Kulinda Amani DR Congo na kupoteza maisha yao katika misheni ya kijeshi mwaka 2021 .

Personnel from UN Peace Operations Posthumously Awarded the Dag Hammarskjòld Medal on 26 May 2022

Mbona hii Mama hakuhudhuria?
 
Hivi mpaka lt col kufikiwa ilikuaje kuaje mbona kama ngumu kuelewa ,.Nb wapumzike kwa amani mashujaa
..Nini kiliwatokea hao askari wetu mpaka wakafariki?

..Pia Luteni Kanali kufariki ktk uwanja wa vita ni tukio kubwa.

..Luteni Kanali mara nyingi huwa ni Mkuu wa Kikosi hivyo mpaka kufikiwa na maadui kwa uelewa wangu sio jambo rahisi.

..Kwa taarifa nilizoziona kwenye mtandao Luteni Kanali Christopher Kavalambi aliwahi kuwa Mkuu wa Kikosi cha 833 kj Oljoro.

...MUNGU amlaze Private Mbwana Daudi mahala pema peponi.

..MUNGU amlaze Luteni Kanali Christopher Kavalambi mahala pema peponi.
Huenda ilikuwa shambulizi la kushtukiza...
Kichuguu Katunge World Wide
 
Hivi mpaka lt col kufikiwa ilikuaje kuaje mbona kama ngumu kuelewa ,.Nb wapumzike kwa amani mashujaa
Vita vya kisasa na silaha za kisasa mpaka magenerali huwa wanafikiwa !! Huko Chad aliuawa Rais wa Nchi kwenye uwanja wa mapambano na alikuwa na Rank kubwa jeshini !!
 
Huenda ilikuwa shambulizi la kushtukiza...
Kichuguu Katunge World Wide
Ni Urusi tu ambako hadi majenerali wanauwawa kwenye frontline. Commanders kama Batallion Commander, Brigade commander au Division commander huwa hawakai msitali wa mbele kiasi cha kuweza kuuwawa. Kwa huyu inawezekana yalikuwa ni mashambulizi (ambush) dhidi ya msafara wake wa kawaida katika kukagua vikosi au ni uvamizi wa ofisi za Makao makuu ya kikosi chake lakini siyo direct combat encounter.
 
27 May 2022
UN HQ / Makao ya Umoja wa Mataifa
New York

Mashujaa Watanzania wawili miongoni mwa waliotunukiwa medali ya Dag Hammarskjold

Askari wa Tanzania waliopoteza maisha, Luteni Kanali Christopher Kavalambi na private Mbwana Daudi wametunukiwa na Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres, medali za heshima za Umoja wa Mataifa UN iitwayo Dag Hammarskjold kwa kujitoa kutumikia Jeshi la Umoja wa Mataifa la Kulinda Amani DR Congo na kupoteza maisha yao katika misheni ya kijeshi mwaka 2021 .

Personnel from UN Peace Operations Posthumously Awarded the Dag Hammarskjòld Medal on 26 May 2022

Japo askari wetu waliojufa DRC ni 14, sijui ni kwanini walitunzwa ni wawili tuu?!.

Ila hivi ndivyo wenzetu wanaojali wanavyo heshimu mashujaa wa vita. Kwa wenzetu, ikitokea askari amekufa kishujaa on duty, CinC lazima ahudhurie siku ya kuagwa kijeshi, hata kama CinC alikuwa anashughuli nyingine yoyote, shughuli zote zinasimamishwa kuwaaga mashujaa wetu.

Angalia sisi Yaliyojiri Kuagwa kwa miili ya wanajeshi 14 wa Tanzania, Makao Makuu ya Jeshi Ngome Dar es Salaam
P
 
Back
Top Bottom