mashujaa

Heroes' Day or National Heroes' Day may refer to a number of commemorations of national heroes in different countries. It is often held on the birthday of a national hero or heroine, or the anniversary of their great deeds that made them heroes.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Leo siku ya mashujaa tuwakumbuke mashujaa hawa wa siku za mwanzo za TANU

    LEO SIKU YA MASHUJAA Mwaka jana nilipokea picha hiyo hapo chini ya kwanza kutoka Maktaba ya Ally Sykes. Picha hii nilikuwanayo kwa miaka mingi lakini ubora wake ulikuwa hafifu. Nilipoipata picha hii yenye ubora wa kuridhisha nikaiweka hapa. Leo tunaadhimisha Sikukuu ya Mashujaa na nimeona...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuongoza Siku ya Mashujaa Julai 25 Mkoani Dodoma

    Rais Dkt Samis Suluhu kuwa mgeni rasmi katika Kilele cha Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa Julai 25, 2023. Maadhimisho hayo yatafanyika katika uwanja mpya wa kudumu wa Mashujaa uliopo katika eneo la Mji wa Serikali, Mtumba, mkoani Dodoma. Mkuu wa Mkoa huo, Rosemary Senyamule...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama akabidhiwa Kipande cha Sehemu ya ujenzi wa uwanja wa Mashujaa

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, amekabidhiwa kipande cha sehemu ya ujenzi wa uwanja wa mashujaa, katika Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma mapema Julai 2, 2023. Ujenzi huo unaotekelezwa na kampuni ya SUMA...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Adhabu aliyopewa Kocha wa Makipa wa Mashujaa ni utani mkubwa sana

    Nimeona taarifa ya TFF kuwa Kocha wa Makipa wa Timu ya Mashujaa aliyempiga ngumi ya usoni Kocha wa Mbeya City kuwa amefungiwa mwaka Mmoja na Faini ya Milioni 2. Niseme tu kuwa, natamani siku karia au kiongozi yeyote wa TFF apigwe ngumi ya pua na mchezaji au kiongozi wa timu. Kama tu Haji...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Kamati iliyomuadhibu yule Mpuuzi wa Mashujaa FC ina Akili sawa sawa Kichwani?

    Nilitegemea atahukumiwa ama Kifungo cha Miaka 15 au hata Maisha na Faini ya Shilingi Milioni Kumi ( 10 ) ili iwe Fundisho kwa Wapuuzi Wenzake wengine cha Kushangaza kafungiwa Mwaka Mmoja tu na Faini isiyouma. Huenda ndiyo maana GENTAMYCINE sijawa na kamwe sitokuja kuwa Hakimu ila kwa...
  6. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Uwanja mpya wa Mashujaa uongezwe hadhi

    Mama wa Taifa Samia, Hongera kwa wazo Mulua la kujenga sehemu ya mashujaa makao makuu Dodoma, nikuombe, naamini unao uwezo wa kuliomba Taifa lione umuhimu wa jambo hili, ujenzi huo ujumuishe sehemu muhimu ya kuwahifadhi mashujaa wetu ambao kwa kuwa Dodoma sasa ni makao makuu yetu rasmi, viongozi...
  7. carnage21

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli mashujaa FC wa Kigoma ni wachawi?

    Kwa Ujumla jibu ni HAPANA. Namna ya ushangiliaji wa Mashujaa FC umekua ukihusishwa na imani za uchawi jambo ambalo kiuhalisia siyo kweli bali ni namna ya kujitofautisha na ushangiliaji wa Mashabiki wa timu nyingine. Tuanzie kwenye logo ya Mashujaa FC ukiiangalia ni logo inayotambulisha...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mashujaa FC karibuni NBC Premier ila mkitumika na Yanga SC kama Mbeya City FC nanyi tutawashusha Daraja

    Tayari baada tu ya Kumaliza Mechi yenu huko Mkoani Mbeya nimemsikia Mmoja wa Kiongozi wenu Said Swedi 'Scud' akifurahia na kutamba kuwa Msimu ujao wa Ligi Kuu Timu zitawakoma. Said Swedi Scud ni mwana Yanga SC lialia tena ni Mwanachama kabisa na alishawahi pia kuwa Mchezaji ( hasa Mshambuliaji...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mashujaa Fc kwa huu uchawi wenu kuna timu nyingi sana za ligi kuu zitapoteza mechi Lake Tanganyika Stadium

    Haiwezekani Mbeya City kila wanachokifanya mipira inapaa kama sio kugonga miamba. Kwa aina hii ya ukamiaji jumlisha na sayansi ya jadi kuna timu kubwa zita-struggle msimu ujao pale katika dimba la Lake Tanganyika. My take: Punguzeni usela mavi wenu huku ligi kuu kuna kamera za AzamTv mtapoteana
  10. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Asanteni sana mashujaa wetu Yanga, Wananchi hatuna cha kuwadai, cha msingi tumemkanda Mwarabu kwao

    Waarabu walicheza mbele ya mashabiki wao full house, viongozi wote wa CAF wakiwa uwanjani kushuhudia fainali Yanga imemkanda Mwarabu kwao na aggregate ni 2-2, Waarabu wananufaika na kanuni za mashindano, Ulaya hakuna upumbavu huu kwa level ya fainali. Sisi wananchi hatuna la kuwadai mashujaa...
  11. carnage21

    JamiiForums Tanzania Makachero wa Mashujaa FC wabaini mauzauza uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza

    Hapo jana jioni makachero wa Mashujaa FC wamebaini mauzauza waliyofanya timu ya Pamba FC kwenye uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza kwa kuchimba sehemu za uwanja na kufukia Ndumba. Maeneo ambayo wamechimba ni kwenye sehemu za kupigia penat kwa magoli yote mawili na upande mmoja ndani ya 18 na...
  12. carnage21

    JamiiForums Tanzania Je, upangaji wa matokeo bado ni changamoto ligi ya championship?

    PAMBA WALALAMIKA KUFANYIWA FIGISU Uongozi wa klabu ya Pamba ya Jijini Mwanza umeomba uongozi wa TFF kuchunguza Upangaji wa matokeo kwenye Mchezo wao wa jana 1st leg play off dhidi ya Mashujaa FC mchezo uliofanyika Mkoani Kigoma ambao Pamba kupoteza (4 - 0). Wadai wamefanyiwa uhuni, Wachezaji...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wote waliofurahia vifo vya mashujaa wa Afrika hawajawahi kufa bila fedheha

    Wako wapi waliofurahia kifo cha Samora Machel akina Peter W Botha? Walikufa kwa fedheha. Waliomuua Patrice Lumumba na wakafurahi akina Mobutu Sese Seko Waliomuua Thomas Sankara na kufurahia walishakufa kwa fedheha. Na hata waliofurahia kifo cha shujaa wa Tanzania watakufa kwa fedheha
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mary Masanja: Watanzania wawaenzi mashujaa wa Vita ya Majimaji kwa kuhifadhi mila na tamaduni

    MHE. MARY MASANJA - WATANZANIA WATAKIWA KUENZI MASHUJAA WA VITA VYA MAJIMAJI KWA KUHIFADHI MILA NA TAMADUNI Watanzania wametakiwa kuendelea kuwaenzi Mashujaa wa Vita vya Majimaji kwa kuhifadhi mila na tamaduni zao kwa kufanya kazi kwa bidii, kulinda rasilimali za Taifa, kupambana na kuzuia...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mlioapa kutofanya mapenzi hadi ndoa mwaka 2001 pale uwanja wa mashujaa Moshi, mlifanikiwa?

    Ilikuwa siku ya Ijumaa, tarehe 01, desemba 2001, katika uwanja wa mashujaa mjini Moshi tulipokutanika wanafunzi wa kidato cha pili katika kilele cha siku ya ukimwi duniani. Shughuli zilikuwa nyingi pale lakini mojawapo ya mambo yaliyoweka alama mpaka kesho katika waliokuwepo ni kile kiapo cha...
  16. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Moja ya mashujaa wanoishi

  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke Mashujaa wa Uhuru Waliosahaulika Kuelekea 9 December: Abbas Max (1918 - 1992)

  18. N

    JamiiForums Tanzania Rais kukukumbusha maono yangu ya kulifanyia kazi eneo la Jangwani. Vizazi vitakuingiza katika kundi la mashujaa moja kwa moja

    Hili ono haliishi kunijia, nami, kwa upendo mkuu, nakufikishia Rais wangu mpendwa. Tafadhali fanya kitu pale jangwani; ondoa mateso ya mafuriko kila mwaka tangu tupate uhuru na badala yake ligeuze liwe eneo la kufurahi na kiuchumi, yaani 'kijiutalii' fulani hivi. Mama uwezo (fedha au mbinu za...
  19. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Huyu muuaji ni shujaa kama mashujaa wengine

    MKAZI wa Majohe, Dar es Salaam, Ramadhani Juma, amekiri kumuua kaka yake Fikiri Juma bila kukusudia baada ya kutokea ugomvi baina yao, mshtakiwa huyo akidai chanzo cha ugomvi ni kaka yake huyo kutaka kumlawiti. Inadaiwa wakati ugomvi huo unaendelea, mshatakiwa alichukua chepe na kumpiga nalo...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mashujaa wasiofahamika ajali ya ndege PW Bukoba

    Brenda na Lydia walikuwa ni wahudumu wa ndege ya Precision iliyopata ajali ziwani kule Bukoba. Mabinti hawa warembo ni kama mchango haupo au ni kidogo sana, lakini ni hawa ndio walio watuliza akili abiria waliokuwa katika taharuki kubwa, ni hawa ndio waliogawa life jackets, na pia ni hawa...
Back
Top Bottom