Mliokuwa mnamwona January Makamba na Nape ni Mashujaa... bado mna dhana hiyo?

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,360
11,515
Nliwahi waambia watu flani Nape wala Makamba hawajawahi kuwa smart. Ila waliokuwa wanadhani hao watu ni smart wao ndo hawakuwa smart.

Ilishangaza sana kuna watu kabisa wakaanza na kumpigia debe Makamba kuwa Rais....nikaona hii nchi mnadhani sisi sote ni MAZUZU so mnataka tuishi kwa akili zenu.

Haya leo hii mnamchagua nani tena awe mteule wa kumwagia sifa za kijinga Jukwaani?
 
Kuna watu wanachuki binafsi na kwa hilo raia washawaona so hata mkupiga kelele wanawaona hamna hoja ni chuki tu
 
Siku zote chambua CV ya mtu kwanza kabla ya kuanza kumwagia sifa, angalia CV ya Nape kuna kipi cha maana ? Angalia CV ya Makamba kuna hata mada inasema hapa aliiba Mitihani Shuleni, Zito Kabwe ambaye hata mnamtegemea eti Mchumi, CV yake inasema nini kuhusu Uchumi ? Kuna kipi cha maana amefanya kitaaluma ? Halafu leo hii mnategemea atatue tatizo la nchi?
 
Hata mimi tu nawazidi Sana Mwaka wa nane huu natumikia umma na deliver MNO!!Ngoja muanze kuuza sura press mtanielewa tu!!
 
Machadema ni majinga sana!

Eti yanamsifia Nape na Makamba ili kumkomoa marehemu!

By the way, hivi Mbowe na genge lake wameshamaliza kuandika katiba mpya?
 
Unawategemea CHADEMA ndiyo wakuandikie katiba mpya?

Ukiwaabudu watawala unapunfukiwa sana hekima na uelewa. Hili ni swala la kila mTanganyika
 
Nliwahi waambia watu flani Nape wala Makamba hawajawahi kuwa smart. Ila waliokuwa wanadhani hao watu ni smart wao ndo hawakuwa smart.

Ilishangaza sana kuna watu kabisa wakaanza na kumpigia debe Makamba kuwa Rais....nikaona hii nchi mnadhani sisi sote ni MAZUZU so mnataka tuishi kwa akili zenu.

Haya leo hii mnamchagua nani tena awe mteule wa kumwagia sifa za kijinga Jukwaani?
Labda tunatofautiana mtazamo wengine wanaona ni viongozi wazuri
 
Shujaa wa kweli ni Yule atakae tupatia katiba Mpya;-

Warioba akifanikisha ndio atakuwa shujaa baadae ya NYERERE!

Wekezeni fikra zenu KWENYE wimbo Huu na muache kanisa kumaliza wino kwa kuandika mambo yasiyo na mashiko kama Haya;-

"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe KATIBA MPYA"!!
 
Nliwahi waambia watu flani Nape wala Makamba hawajawahi kuwa smart. Ila waliokuwa wanadhani hao watu ni smart wao ndo hawakuwa smart.

Ilishangaza sana kuna watu kabisa wakaanza na kumpigia debe Makamba kuwa Rais....nikaona hii nchi mnadhani sisi sote ni MAZUZU so mnataka tuishi kwa akili zenu.

Haya leo hii mnamchagua nani tena awe mteule wa kumwagia sifa za kijinga Jukwaani?
Kwan kuna tatizo January kua Rais WA taifa hili baada ya mama? Ha ha ha ana haki na sifa zote we tabu yako ni nin? Kama unazo na wewe ni haki yako pambana uwe Rais
 
Mkewe January akisoma hii texts navyojua wanawake wana wivu sana mtagombana mpaka kuche.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom