Hadi sasa ramani inakoelekea ni wazi kabisa Republicans wanaweza kumpendekeza kipenzi chao Mheshimiwa Trump achukue kiti cha uspika ambacho kwa sasa kipi kwa bibie Pelosi anaesubiri kung'oka.
Trump kuwa spika inaweza kuwa ni mwiba mkali sana kwa uongozi wa Biden, Trump kuwa spika ni fursa kwake...
Wanaamini kwa namna fulani Republicans watapunguza misaada kwenda Ukraine, maana madude kama HIMARS yamewatesa sana.....
Pro-Kremlin forces in Russia are hoping that the Republicans win control of Congress, an outcome they believe could mean Democratic President Joe Biden faces a tougher and...
Wamarekani wanapiga kura leo kuwachagua wabunge na maseneta, katika uchaguzi wa katikati mwa muhula wa urais wa Joe Biden.
Katika uchaguzi wa leo, viti vyote 435 katika Baraza la Wawakilishi vinapiganiwa, huku kwenye Baraza la seneti, viti vilivyo kwenye kinyang'anyiro hiki vikiwa 35 kati ya...
Ili kutatua changamoto ya mfumuko wa bei nchini Marekani, Benki Kuu ya nchi hiyo inayofahamika kama “Federal Reserve” imeongeza viwango vya riba mara sita tangu mwanzoni mwa mwaka huu, ambapo madhara yake kwa nje yameathiri vibaya uchumi wa nchi zinazoendelea hasa za Afrika, na gharama za maisha...
Baada ya kuona hakuna dalili ya vita kumalizika leo ama kesho. Maafisa wa ngazi za juu wa Marekani wanamshawishi rais Ukraine ajongelee kwenye meza ya mazungumzo iwapo rais Vladimir Putin ataendelea kuwepo madarakani. Taarifa hizo zimevuja kutoka kwenye timu iliyoundwa mahususi kwa ajili ya...
Marekani na washirika wake wa NATO waliiandaa Ukraine kupambana na Urusi toka 2014! Wamewekeza sana kupita kiasi walichotazamia lakini hadi kufikia muda huu hawaoni dalili za kuiangiusha Urusi bali kuna dalili ya Ukraine kuanguka na tunapozunguza Crimea iliota mbawa hiyo 2014 na juzijuzi majimbo...
Kwa nini watu huilaumu Marekani kwa kutetea maslahi yake Ulimwenguni? Kwani kuna nchi inakatazwa kutetea maslahi yake dhidi ya nchi nyingine?
Kwani kuna ulazima gani wa kuwa Rafiki wa Marekani au kutii maagizo yake??
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba tujadili hili.
Binafsi nimekulia kwenye mkoa wa kitalii ambapo nimeshuhudia vijana wengi wakienda ughaibuni kutafuta maisha.. Arusha na Ulaya zina uhusiano mzuri. Vijana kwenye utalii hupata fursa za kwenda huko. Pia wanamichezo kupitia riadha...
Iran wanataka kudiriki kuvamia kule ambako ndiyo chimbuko la dini ya Mwarabu, japo Marekani wamesema watailinda Saudia kwa vyovyote vile.
=========
Saudi Arabia has shared intelligence with American officials that suggests Iran could be preparing for an imminent attack on the kingdom, three...
Ziara ya hivi karibuni ya Olaf Scholz nchini China ni ujumbe kwamba Washington haiwezi kulazimisha sera ya nje ya Berlin.
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz anatazamiwa kuzuru China wiki hii. Ni alama ya safari yake ya kwanza kabisa katika nchi ya Asia, huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kati ya...
Kila penye ugomvi duniani unaohusu ndugu na majirani lazima Marekani atakuwepo upande mmoja wapo wa watu hao.
Ukienda Pakistan na Afghanistan utamkuta Mmarekani,Ukienda Urusi na Ukraine ni hivyo hivyo na ukienda Korea Kaskazini na Korea kusini hali ni hiyo hiyo. Vivyo hivyo ukienda Palestina na...
Uchina yasema 'haitatafuta uzushi'
Beijing ilijibu baada ya Mkakati mpya wa Kitaifa wa Ulinzi wa Washington kutaja Uchina kama tishio kuu la Amerika
Uchina yasema 'haitatafuta ukuu wa ulimwengu”'
China imelaani Mkakati mpya wa Ulinzi wa Kitaifa wa Marekani (NDS), ikisema sera ya Marekani...
Baada ya Ukraine kuchakazwa na makombora na drones za urusi, Marekani inajinasibu kuwa itapeleka huko ulinzi wa anga /air defenses wa kiwango cha juu ili kulinda anga la ukraine dhidi ya mashambulizi ya Urusi.
=======
US air defense systems to arrive in Ukraine soon – Pentagon
Amid an onslaught...
Pyongyang ilishutumu Washington na Seoul kwa "harakati zao za kijeshi za kizembe" wakati wa duru ya hivi punde ya michezo ya vita. Korea Kaskazini yadai Marekani imeweka 'hati ya nyuklia' katika 'hatua ya mwisho'
Korea Kaskazini imezishutumu Marekani na Korea Kusini baada ya washirika hao...
Ni ukweli usiopingika majirani hawa kihistoria walikuwa wanakula pamoja wanacheka pamoja wanacheza pamoja lakini sasa wamekuwa paka na panya Korea Kaskazini na Korea Kusini sababu ni wewe.
Ukraine na Russia sababu ni wewe
Elon Musk amevunja bodi ya Twitter na kujifanya "mkurugenzi pekee" wa kampuni hiyo.
Wanachama wote wa awali wa bodi hiyo wameondolewa kwenye jukumu hilo, na kumwacha Bw Musk pekee kama mkurugenzi, kulingana na jalada jipya.
Hatua hiyo ilichukuliwa wiki iliyopita kama sehemu ya ununuzi wa Bw...
Mme wa Spika wa Bunge la Marekani ajulikanaye kwa jina la Paul kajeruhiwa kwa kupigwa na nyundo akiwa nyumbani kwake huko Marekani.
China inahusishwa na njama hizo baada ya kumuonya Spika Perosi asidhuru Taiwan na kupuuza.
Ukisikia nchi ni superpower usichukulie jambo dogo. Kuna faida nyingi sana. Mfano Marekani wakiishiwa pesa wanachapisha tu na kununua vitu kokote. Wanasafiri kutalii nk. Anachofanya ni kuhakikisha anaendelea kuwa superpower na kumdunda yoyote anayeleta fyokofyoko. Ukiwa raia wa nchi kama hiyo...
Kadri siku zinavyokwenda hivi sasa nchini Marekani inaonekana ni ngumu sana kwa mtu wa Republican kuoa/kuolewa au kuwa na mpenzi toka Democratic na hivyo hivyo kwa Democratic kwa Republican. Mambo yamekuwa magumu.
Leo msikitini tumeambiwa kuwa Marekani ndio mfadhili mkuu wa vikundi vya kigaidi kama ISIS, Al qaeda, Al shabaab, Uamsho na wengineo.
Je, wajuvi wa haya mambo, ni kweli?
Ijumaa Karim.