Mpango wa Idara ya Nchi ya Marekani wa Tuzo kwa Haki (RFJ), ambao unasimamiwa na Huduma ya Usalama wa Kidiplomasia, unatoa zawadi ya hadi dola milioni 10 kwa habari zitakazowezesha kukamatwa au kuhukumiwa katika nchi yoyote kwa Mohamoud Abdi Aden na mtu mwingine yeyote ambaye alitenda, kujaribu...
Mara zote nimesikia na kuona kupitia vyombo vya habari Marekani akianzisha chokochoko kwa nchi kadhaa lakini ikifikia hatua ya mapigano ya kivita anashawishi nchi nyingine hasa za Ulaya kumuunga mkono kwenye uwanja wa vita?
Tunaponea wapi=mkaa mazingira; kuni mazingira; gesi asthma. au tuache kupika kabisa
====
Federal agency considers ban on gas stoves following report linking them to childhood asthma
A blue flame from the burner of a natural gas stove. (David McNew/Getty Images)
The U.S. Consumer...
Waliokamatwa ni wafuasi wa Rais aliyepita, Jair Bolsonaro ambao walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu Jijini Brasilia ikiwa ni wiki moja baada ya Luiz Inacio Lula da Silva kuapishwa kuwa Rais.
Rais da Silva amelaani maandamano hayo na kuita ni ghasia za kigaidi na kuahidi kuwashughulikia...
Kupitia waziri wake wa mambo ya nje, Ukraine imelalamika wazi na kusema hakuna aliyeweza kutusaidia kiasi cha kutosha katika vita dhidi ya urusi. Pamoja na kutambua misaada iliyopokea hadi sasa lakini anasema: "tuambiane ukweli, maadamu urusi bado imeikalia nchi yetu hapo hatujasaidiwa vya...
Kwa kawaida huwa tunapokezana wajibu kwa mzunguko. Kuna wakati katika historia Afrika ilikuwa nyuma sana katika kiwango cha ustaarabu, maadili na utu!! Machifu walikuwa kama miungu watu, chochote atakachokipenda chifu anaamua kukichukua hata kama ni shamba lako, mke wako, ng,ombe wako nk. Chifu...
Mrusi keshasogelewa vya kutosha, tena anashikwa hadi kidevu, kwa sasa hawezi akajifanya kama ambaye anajikuna, haya mavitu yanawekezwa Romania yenye uwezo wa kusambaratisha meli zake huko huko katikati mwa bahari.
Kwa sasa hana jeuri ya kusema chochote maana amedhihirisha alivyo dhaifu baada ya...
Wakati anatangaza nia na hatimaye kuteuliwa na kushida kuwa rais wa Marekani Trump alijipambanua kuwa ni mfanya bishara makini aliyekuwa anatengeneza faida kubwa kutoka kwenye biashara zake.
Ili kulinda taarifa hizo alihakikisha taarifa zake za kodi kupita 'RETURN ZA KODI" haziweki wazi. Jambo...
Seneta na bosi mstaafu wa Mamlaka ya Marekani ya Usafiri wa Anga (NASA), Bill Nelson, ametoa tahadhari kuwa muda wowote China wanaweza kuumiliki mwezi mzima ukawa mali yao.
"tuko katika mashindano ya kianga, na China watajimilikisha mwezi endapo wakafanikiwa kufika huko kwa kisingizio cha...
Malalamiko yamezidi sana kuhusu ugumu wa uchumi, mikopo, na mdororo wa viongozi wenye akili mufilisi, kama ccm wanaogopa katiba mpya na mihadhara ya kisiasa, ni wakati mzuri tutumia fursa ya Utawala Biden tuombe kibali Cha kuungana na Marekani tuwe Jimbo jipya la Marekani, tuutumie uzoefu huu wa...
Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Secretary of State) Blinken ameachia orodha ya ngoma alizozizimia kwa mwaka 2022 ambapo miongoni mwa ngoma hizo, ameitaja Yataniua yake Mbosso Khan akimshirikisha Diamond Platnumz aka Simba.
Uamuzi huo umefikiwa baada ya China kutangaza kufungua mipaka yake kuanzia wiki ijayo, maamuzi kama ya Marekani pia yamefanywa katika Nchi nyingine zikiwemo Italia, Japan, Malaysia, Taiwan na India.
Baada ya takribani miaka mitatu ya vizuizi, China inatarajiwa kuruhusu wasafiri kusafiri kwa...
vibertz, Tate Mkuu, Isanga family na OKW BOBAN SUNZU nasikia mna Suti Kali sana naomba Mmoja wenu aniazime ili nivae Siku ya Kupokea Tuzo yangu ya Ushindi Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums.
Tafadhali nawaombeni mnisaidie kwani Nitaumbuka kwa kutokuvalia Suti Kali mbele ya Rais wa...
Ungana nami mhabarishaji wako ASIWAJU katika makala hii fupi inayo elezea uvamizi wa marekani katika eneo la HAWAII ulivyo acha simanzi kubwa kwa wakazi wa eneo hilo.
Makala hii imeandaliwa na kuhaririwa na BBC NEWS karibuni muungane nami mwanzo mpaka mwisho wa makala hii.
-----
Mfalme...
Kama kuna siku Marekani imechezewa sharubu ni leo!! Marekani hudai majeshi yake yako korea ya kusini ili kuilinda korea ya kusini dhidi ya kitisho cha korea ya kaskazini. Anga la korea ya kusini linalindwa na air defense za marekani zikiwemo Patriot air defense system na THAAD. Lakini leo drones...
Nina kitambulisho utaifa cha NIDA ambacho kitakachoisha mwaka 2025 ambapo automatic nakuwa sio mtu wa Taifa hili hadi ni-renew.
Kutokana na michakato kuwa mingi ya kupata kitambulisho NIDA sitakuwa na muda wa kutafuta kingine hivyo inabidi nirudishwe nchini kwetu, Marekani ili nisiendelee kukaa...
Marekani imeeleza kuwa kutakuwa na gharama ikiwa hakutakuwa na mabadiliko kuhusu maamuzi hayo yanayofanywa Nchini Afghanistan.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken amesema Serikali ya Taliban haitaweza kuboresha uhusiano na mataifa mengine Duniani ikiwa itaendelea kuwanyima...
Kwa mara ya mwanzo tangu vita vianze raisi Zelensky wa Ukraine ameondoka nchini mwake kuelekea Washington ili kukutana na Rais Biden.
Huku safari ikiwa imeiva nchi nzima ilisikika ving'ora vikiashiria makombora yanayotembea angani kutafuta shabaha zake.
Hapo jana kwa mara ya tatu katika wiki...
Hatimaye Marekani imeamua kuipa Ukraine ulinzi wa anga "Patriot Missile Defense System". Kwa wasiojua wanaweza kudhani kuwa hizi ni silaha za ajabu sana na ulinzi wake dhidi ya mashambulizi ya anga ni wa uhakika! Niwakumbushe tu kuwa ulinzi huu wa anga kwa kutumia Patriot Missile defense system...
Mkutano wa pili wa wakuu wa Marekani na nchi za Afrika umekamilika hivi karibuni mjini Washington. Vyombo vya habari vya kimataifa vinaona baada ya miaka minane, Marekani inatupia macho yake tena katika bara la Afrika, madhumuni yake halisi ni kugeuza Afrika kuwa uwanja wa mashindano kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.