Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,608
- 93,378
Wakuu kuna hili swala la viza ya Marekani na Canada nadhani si la kukaliwa kimya.
Ni kweli hizo nchi zina haki na mamlaka ya kuamuwa wanavyotaka lakini waziri wetu wa foreign affairs linapotokea jambo linawakwaza hana budi kukaa kikao na Mabalozi wa hizo nchi mbili hili kuondowa changamoto zilizopo kwa maslahi ya Watanzania.
Kuna issue ya Viza ya Marekani na Canada zimeleta sintofahamu kubwa sana na usumbufu.
Ubalozi wa Marekani Mtanzania ukitaka kuomba viza inabidi usubiri appointment schedule ya miezi 6.
Na kwa upande wa Canada ni siku 400 plus maana yake ni mwaka na kitu, why?
Sasa Nina maswali ambayo hayana majibu je kwa safari za dharura inakubalika kupata viza kwa short appointment schedule?
Pili kwa mtu wa safari ya kawaida unaruhusiwa kuomba viza nje ya Tanzania au kuna balozi za Marekani nchi zipi tunaweza kwenda kuomba viza huko kuliko kusubili miezi 6?
Vipi wizara yetu foreign affairs hawaoni huu usumbufu wanaotupa hawa USA na Canada?
Mbona Shenghen countries viza zao hazina usumbufu? Waziri wa foreign affairs akiambiwa yeye asubili viza interview schedule kwa miezi 6 angekubali?
Hebu tulijadili hili, kama wewe ni msafiri hili moja kwa moja linakuhusu.
Cc@Kiranga Bufa Nyani Ngabu Mzee Mwanakijiji Pascal Mayalla Maghayo