Wiki iliyopita Benki ya Marekani Silicon Valley Bank ilipatwa na bank run(watu wengi kutaka kutoa pesa benki kwa pamoja) na kupelekea kufilisika. Tena benki ya pili, Silvergate, imepatwa na kitu kama hicho.
Haya mambo yanaashiria nini? Tujipangaje?
Tunafurahi kwa diplomasia nzuri ya kufungua nchi kwa dunia. Jitihada kubwa inayofanywa na mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kurejesha mahusiano na mataifa mbalimbali hususani ya Magharibi sio ya kubezwa ...ni jitihada kubwa na leadership style ya kipekee ambayo inaleta manufaa...
Wakati Marekani imeamua kupeleka Patriot nchini ukraine ikasemekana kuwa muarobaini wa mashambulizi ya anga ya urusi nchini ukraine umepatikana!! Kumbe hakuna kitu! Patriot ni kama midoli tu mbele ya Kinzhal hypersonic missile system.
Russian forces have delivered a massive missile strike on...
SPIKA wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy amekataa mwaliko wa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy wa kuzuru taifa hilo, CNN imeripoti.
Licha ya changamoto za kivita wanazokutana nazo Ukraine kutoka kwa Mrusi, ambazo kimsingi McCarthy alitakiwa kwenda kuziona, kiongozi huyo amesema hana haja...
Waendesha Mashitaka wamesema Mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi katika Jimbo la Virginia bado mdogo kuweza kutambua masuala ya sheria badala yake wanaangalia nani anaweza kushitakiwa katika tukio hilo.
Mwalimu Abigail Zwerner (25) aliyejeruhiwa mkononi na kifuani amefungua mashtaka dhidi ya Shule...
Mswada huo utamruhusu Rais wa #JoeBiden kupiga marufuku teknolojia zinazoonekana na Idara ya Biashara ya nchini humo kuweza kuleta "hatari isiyofaa au isiyokubalika" kwa usalama wa Taifa.
Serikali ya Marekani na Maafisa wa kutekeleza #Sheria wamedai kuwa TikTok, inayomilikiwa na kampuni ya...
Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu juu ya kwanini Wakosoaji ( Critics ) na Watu Werevu ( Intelligent ) kwa Afrika huwa Wanauliwa Kikatili ila kwa Wenzetu wa Ulaya, Marekani, Asia na Middle East husikilizwa, huheshimiwa, hulindwa na hukumbatiwa na hutumika kama Washauri...
Enzi na enzi, Mungu huchukizwa mno na ushoga! Na timbwili la kuanguka kwa Taifa hili kubwa Duniani_ inaanzia hapa.
Mungu kuonyesha kwamba huchukizwa na upumbavu huo na havumilii kabisa kufuru hizo, aliwawasha moto Sodoma na Gomola.
Kitendo cha Marekani kuacha misingi yake na kujikabidhi kwa...
Hadi leo, 🇹🇿 imetoa chanjo kwa zaidi ya 95% ya watu wanaostahili kupata chanjo dhidi ya UVIKO-19. 🙌
Mafanikio haya ktk afya ya umma yamewezeshwa na wahudumu wa afya walio mstari wa mbele.
Tutawaangazia mashujaa wetu kupitia video zilizotengenezwa na rafiki zetu wa Tanzania.
Kati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa watu duniani kuomba hifadhi. Hivi vijana wa dunia hii ukiwaambia wachague kuishi marekani au urusi,watakimbilia wapi?
Kwa mujibu wa Reuters, mashauriano hayo yapo hatua ya awali yakilenga kupata Washirika kutoka mataifa mbalimbali, hasa Kundi la Nchi 7 Tajiri Duniani (G7) ili kuratibu vikwazo vyovyote vinavyowezekana.
Uamuzi huo unafuatia #Washington na washirika wake kuituhumu #China kuwa inataka kuisaidia...
Hivi karibuni, puto moja la China ambalo lilifika Marekani kwa bahati mbaya lilisababisha wasiwasi mkubwa kuhusu “tishio la China” nchini Marekani.
Mwishowe, jeshi la Marekani liliangusha puto hilo kwa kutumia ndege zake za kivita aina ya F22, na kutafuta mabaki ya puto hilo ili kuthibitisha...
Tukiuliza kama kuna nchi yoyote ambayo inajaribu kutawala dunia, watu wengi watajibu ni Marekani. Katika miaka ya hivi karibuni, Marekani imedai "kurudi tena Afrika", lakini kwa lengo halisi la kudumisha nguvu zake za kijeshi, kiuchumi na kiteknolojia. Juu ya hilo, nchi za Afrika zinajua vya...
Huwezi ukalinganisha goli la ugenini na la home stadium. Ukweli ni huo lazima mamlaka iliangalie hili.
1. Mathematics haiwezi kuwa sawa na Language.
2. Visa ya USA haiwezi kuwa sawa na ya Rwanda.
Sasa Kwa kuliona hilo naishia hapa. Muwe na usiku mwema wakuu.
Upungufu wa dola ya Marekani katika maeneo mbalimbali unaanzisha mnyukano wa sarafu ya akiba kati ya dola na yuan. Pesa ya Yuan ya China ambayo ilikuwa inafanya kazi katika soko la biashara kati ya China, Australia na Japan sasa inakwenda kupanua wigo wake katika nchi za kiafrika na nchi...
Hivi sasa nchi za Ulaya zinaendelea kukabiliwa na mgogoro mkubwa wa nishati baada ya nchi za bara hilo kuiwekea vikwazo Russia kwa kisingizio cha vita vya Ukraine.
Mwaka jana, Orbán mara kadhaa amemlaumu Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky kwa kukubali kuchochewa na nchi za Magharibi na...
R. Kelly amehukumiwa kifungo kingine cha miaka 20 huko Chicago kwa kesi yake ya uhalifu wa ngono ya mtungo.
Mwimbaji huyo alikuwa katika mahakama ya shirikisho huko Illinois ambapo miaka 19 kati ya miaka hiyo atatumikia kifungo sawa na kifungo anachotekeleza sasa.
Waendesha mashtaka...
Mbunifu wa kike wa Kitanzania anayeishi Houston nchini Marekani amedai kuwa nguo zinazovaliwa na afisa wa zamani wa Wizara ya Nishati (DOE) Sam Brinton zilikuwa kwenye mzigo wake uliopotea katika uwanja wa ndege huko Washington, D.C. mnamo 2018.
Asya Khamsin, ambaye ametengeneza brand yake ya...
Tangu tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.8 liikumbe Uturuki na Syria tarehe 6 Februari, na kuua zaidi ya watu 44,000, kumekuwa na mamilioni ya machapisho kwenye Twitter yakishiriki habari, picha na video za maafa hayo.
Lakini imgegundulika kwamba baadhi ya machapisho hayo yameilaumu kwa njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.