China na Urusi waizungukia Marekani kutoka Alaska

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,186
10,922
Wakati Ukraine ikishughulika na kudondosha vibomu vidogo vidogo kwenye daraja na meli za Urusi na hii ni baada ya kushindwa kurejesha jimbo lolote lililotekwa.Mwenzake Urusi amefikiria mbali sana katika kushinda vita vinavyoendelea.

Mbinu muhimu ni kupambana na wale wanaompa nguvu Ukraine nje ya eneo la vita kuanzia na majirani wa Ukraine kama vile Poland na hata kwenye mabara mengine.

Hatua nyengine ni kuharibu miradi ya kiuchumi inayotegemewa na nchi zinazounda umoja wa NATO kama ile iliyopo Afrika Magharibi.

Mbali na hatua hizo Urusi na Uchina wameona wasimuache adui yao alale kwa raha ndani ya mipaka yake huku akiwaletea shida majumbani kwao.

Kwa hali hiyo nchi hizo zimepeleka kikundi cha meli za kivita karibu na mpaka wa bahari wa Marekani eneo la Alaska.

Jumla ya meli za kivita 11 za Urusi na China zimekwenda kufanya mazoezi eneo hilo na kuitia hofu kubwa Marekani kiasi cha kupeleka meli zake karibu na eneo hilo

-----
The USS John S. McCain tracked Chinese and Russian military vessels along with the USS John Finn and USS Chung-Hoon near Alaska's Aleutian Islands last week. File Photo by Wallace Woon/EPA-EFE

Aug. 6 (UPI) -- Four U.S. Navy destroyers encountered 11 Russian and Chinese military vessels near Alaska's Aleutian Islands last week.

Alaskan Senators Lisa Murkowski and Dan Sullivan said they have been briefed on the incident, alleging that the vessels were operating in U.S. waters. In a statement Saturday, Sullivan called the incident an "incursion."

"The incursion by 11 Chinese and Russian warships operating together - off the coast of Alaska - is yet another reminder that we have entered a new era of authoritarian aggression led by the dictators in Beijing and Moscow," he said.

"In recognition of this reality and our state's unrivaled strategic location, for years, I've been pressing the Navy and each successive administration to commit to a greater Naval, Coast Guard, and Marine Corps presence in Alaska, more Arctic-capable vessels, and more infrastructure to host these assets, like the deep-water port of Nome."

While the senators claim the vessels were in U.S. waters, the U.S. Northern Command told the Wall Street Journal the activity remained in international waters."

A spokesperson for the Chinese embassy in the United States said in a statement that the Chinese and Russian militaries were conducting joint maritime patrols in "relevant waters" in the western and northern Pacific Ocean. They clarified that the operation was "not targeted at any third party."

"This is a stark reminder of Alaska's proximity to both China and Russia, as well as the essential role our state plays in our national defense and territorial sovereignty," Murkowski said in a statement.

"Incursions like this are why we are working so hard to secure funding and resources to expand our military's capacity and capabilities in Alaska, and why our colleagues must join us in supporting those investments."

Source: U.S. Navy encounters 11 Russian and Chinese military vessels operating off Alaskan coast
 
Attachments

  • 1691384740617.png
    1691384740617.png
    60.8 KB · Views: 8
Yani meli za kijeshi sio za kujivunia maana ni rahisi sana kupigwa.
Mi nikajua wameenda kukinukisha kabisa kumbe mbwembwe tu.
Mazoezi kama hayo ni vita ya kisaikolojia.Marekani wanafanya sana kule Korea Kusini kuitisha Korea Kaskazini na Korea kaskazini naye anarusha makombora kila leo kuonesha naye yupo tayari.
Marekani akifanyiwa hivyo na wababe wawili ambao kila siku ana visa nao anakosa raha na ndio lengo la hao jamaa.
 
Dunia lazima watu waheshiane.
Na urusi hawezi kubali mradi wa Bomba la gas toka Nigeria kupitia Niger kwenda Ulaya baada ya kuwakatia gas Urusi.
Thus yupo nyuma ya mapinduzi ya Niger hao mashoga wanatakiwa wapewe tabu wasidhani Dunia ni Yao pekee.
Vita ya Ukraine na Mrusi kusambaa Africa then Duniani nzima.
 
Hii habari wahariri ni wamarekan ila hamstuki tu
 
Mazoezi kama hayo ni vita ya kisaikolojia.Marekani wanafanya sana kule Korea Kusini kuitisha Korea Kaskazini na Korea kaskazini naye anarusha makombora kila leo kuonesha naye yupo tayari.
Marekani akifanyiwa hivyo na wababe wawili ambao kila siku ana visa nao anakosa raha na ndio lengo la hao jamaa.
Nan mhandishi wa hiyo habari?
 
Sijawahi kukubali kwamba vita ni suluhisho
Siku ukikumbana na situation ya aina hio ambayo mtu anakuwa anakuhujumu kila wakati na kutaka kufanya mipango yako ikwame upate tabu ndio utaelewa vita ni kitu muhimu sana.

Leo hii tuko hivi sababu tu hatujaanzisha vita ya kupambana na wanyang'anyi wa Chama cha Mambuzi ila changes ziko just an inch behind our fears.
 
Wakati Ukraine ikishughulika na kudondosha vibomu vidogo vidogo kwenye daraja na meli za Urusi na hii ni baada ya kushindwa kurejesha jimbo lolote lililotekwa.Mwenzake Urusi amefikiria mbali sana katika kushinda vita vinavyoendelea.

Mbinu muhimu ni kupambana na wale wanaompa nguvu Ukraine nje ya eneo la vita kuanzia na majirani wa Ukraine kama vile Poland na hata kwenye mabara mengine.

Hatua nyengine ni kuharibu miradi ya kiuchumi inayotegemewa na nchi zinazounda umoja wa NATO kama ile iliyopo Afrika Magharibi.

Mbali na hatua hizo Urusi na Uchina wameona wasimuache adui yao alale kwa raha ndani ya mipaka yake huku akiwaletea shida majumbani kwao.

Kwa hali hiyo nchi hizo zimepeleka kikundi cha meli za kivita karibu na mpaka wa bahari wa Marekani eneo la Alaska.

Jumla ya meli za kivita 11 za Urusi na China zimekwenda kufanya mazoezi eneo hilo na kuitia hofu kubwa Marekani kiasi cha kupeleka meli zake karibu na eneo hilo

-----
The USS John S. McCain tracked Chinese and Russian military vessels along with the USS John Finn and USS Chung-Hoon near Alaska's Aleutian Islands last week. File Photo by Wallace Woon/EPA-EFE

Aug. 6 (UPI) -- Four U.S. Navy destroyers encountered 11 Russian and Chinese military vessels near Alaska's Aleutian Islands last week.

Alaskan Senators Lisa Murkowski and Dan Sullivan said they have been briefed on the incident, alleging that the vessels were operating in U.S. waters. In a statement Saturday, Sullivan called the incident an "incursion."

"The incursion by 11 Chinese and Russian warships operating together - off the coast of Alaska - is yet another reminder that we have entered a new era of authoritarian aggression led by the dictators in Beijing and Moscow," he said.

"In recognition of this reality and our state's unrivaled strategic location, for years, I've been pressing the Navy and each successive administration to commit to a greater Naval, Coast Guard, and Marine Corps presence in Alaska, more Arctic-capable vessels, and more infrastructure to host these assets, like the deep-water port of Nome."

While the senators claim the vessels were in U.S. waters, the U.S. Northern Command told the Wall Street Journal the activity remained in international waters."

A spokesperson for the Chinese embassy in the United States said in a statement that the Chinese and Russian militaries were conducting joint maritime patrols in "relevant waters" in the western and northern Pacific Ocean. They clarified that the operation was "not targeted at any third party."

"This is a stark reminder of Alaska's proximity to both China and Russia, as well as the essential role our state plays in our national defense and territorial sovereignty," Murkowski said in a statement.

"Incursions like this are why we are working so hard to secure funding and resources to expand our military's capacity and capabilities in Alaska, and why our colleagues must join us in supporting those investments."

Source: U.S. Navy encounters 11 Russian and Chinese military vessels operating off Alaskan coast
Sisi wengine yetu macho tu,tuna waangalia wakubwa wanachofanya 😀
 
Yani meli za kijeshi sio za kujivunia maana ni rahisi sana kupigwa.
Mi nikajua wameenda kukinukisha kabisa kumbe mbwembwe tu.
Mleta uzi mjinga kama cheusi mangala, kufanya zoezi ni jambo moja na kumtia hofu simba ni jambo jingine.

Us ana military base duniani kote.

Tena Aliingia taiwani huku Mchina akifanya mazoezi makali na hskujali.
Mbwa koko anabweka tu watu wanaendelea na maisha yao.
 
military bases za Marekani zinawashinda moja baada ya nyengjine. Alipoingia raisi mfanyabiashara Trump anayejua thamani ya pesa na kuangalia mwenendo wa uchumi alitamani azifunge zote.
 
Dunia lazima watu waheshiane.
Na urusi hawezi kubali mradi wa Bomba la gas toka Nigeria kupitia Niger kwenda Ulaya baada ya kuwakatia gas Urusi.
Thus yupo nyuma ya mapinduzi ya Niger hao mashoga wanatakiwa wapewe tabu wasidhani Dunia ni Yao pekee.
Vita ya Ukraine na Mrusi kusambaa Africa then Duniani nzima.
Putin anawasumbua sana NATO na Baba yao Marekani.
 
Wakati Ukraine ikishughulika na kudondosha vibomu vidogo vidogo kwenye daraja na meli za Urusi na hii ni baada ya kushindwa kurejesha jimbo lolote lililotekwa.Mwenzake Urusi amefikiria mbali sana katika kushinda vita vinavyoendelea.

Mbinu muhimu ni kupambana na wale wanaompa nguvu Ukraine nje ya eneo la vita kuanzia na majirani wa Ukraine kama vile Poland na hata kwenye mabara mengine.

Hatua nyengine ni kuharibu miradi ya kiuchumi inayotegemewa na nchi zinazounda umoja wa NATO kama ile iliyopo Afrika Magharibi.

Mbali na hatua hizo Urusi na Uchina wameona wasimuache adui yao alale kwa raha ndani ya mipaka yake huku akiwaletea shida majumbani kwao.

Kwa hali hiyo nchi hizo zimepeleka kikundi cha meli za kivita karibu na mpaka wa bahari wa Marekani eneo la Alaska.

Jumla ya meli za kivita 11 za Urusi na China zimekwenda kufanya mazoezi eneo hilo na kuitia hofu kubwa Marekani kiasi cha kupeleka meli zake karibu na eneo hilo

-----
The USS John S. McCain tracked Chinese and Russian military vessels along with the USS John Finn and USS Chung-Hoon near Alaska's Aleutian Islands last week. File Photo by Wallace Woon/EPA-EFE

Aug. 6 (UPI) -- Four U.S. Navy destroyers encountered 11 Russian and Chinese military vessels near Alaska's Aleutian Islands last week.

Alaskan Senators Lisa Murkowski and Dan Sullivan said they have been briefed on the incident, alleging that the vessels were operating in U.S. waters. In a statement Saturday, Sullivan called the incident an "incursion."

"The incursion by 11 Chinese and Russian warships operating together - off the coast of Alaska - is yet another reminder that we have entered a new era of authoritarian aggression led by the dictators in Beijing and Moscow," he said.

"In recognition of this reality and our state's unrivaled strategic location, for years, I've been pressing the Navy and each successive administration to commit to a greater Naval, Coast Guard, and Marine Corps presence in Alaska, more Arctic-capable vessels, and more infrastructure to host these assets, like the deep-water port of Nome."

While the senators claim the vessels were in U.S. waters, the U.S. Northern Command told the Wall Street Journal the activity remained in international waters."

A spokesperson for the Chinese embassy in the United States said in a statement that the Chinese and Russian militaries were conducting joint maritime patrols in "relevant waters" in the western and northern Pacific Ocean. They clarified that the operation was "not targeted at any third party."

"This is a stark reminder of Alaska's proximity to both China and Russia, as well as the essential role our state plays in our national defense and territorial sovereignty," Murkowski said in a statement.

"Incursions like this are why we are working so hard to secure funding and resources to expand our military's capacity and capabilities in Alaska, and why our colleagues must join us in supporting those investments."

Source: U.S. Navy encounters 11 Russian and Chinese military vessels operating off Alaskan coast
Kwa hiyo US ameogopa?😃
 
Back
Top Bottom