The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 3,445
- 8,299
Kamwe huwezi kuwazuia Viongozi wa dini kukemea maovu hasa pale serikali inapokuwa na moyo mgumu na usio kuwa na huruma kwa wanchi wake.
Kilichofanywa na kanisa Katoliki ni kutimiza wajibu wao wa kichungaji na hakuna tatizo lolote. Kanisa halijaanza leo kuwakalipia wanasiasa wa hovyo.
Leo hii Marekani watu weusi wana haki haki sawa na hawa weupe..lakini harakati za ukombozi hazikuwa za kitoto. Martin Luther King alitumia madhabahu kuhakikisha mtu.mweusi anapata haki yake.
Sasa haiwezekani kabisa serikali ikawa inafanya mambo meusi afu iwazuie viongozi wa dini kuongea hilo halipo hata kidogo.
Viongozi wa dini wana historia nzuri sana katika kutetea haki za wananchi acheni waongee.