LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,118
- 27,122
Sababu kuu inaweza kuwa nini wadau? how comes mtu upo kwenye "strange land" but still you feel at home. Hata ' home sickness' hakuna!
Mimi sababu ninazo zihisi ni 2, mosi ;kwa sababu mhusika anakuwa tayari yupo Marekani kiakili (mentally) kwa muda mrefu so anapo fika Marekani physically anakuwa tayari alisha kuwa 'mwenyeji' hapo Marekani.
Pili : ni inferiority complex; huyu mtu ana feel proud kuwa kwenye nchi kama Marekani. Ndio maana wengi huwa wanafikia mpaka hatua ya kubadilisha accent. Mwamba kakulia mjini Daslam but miezi sita baada ya kukanyaga ardhi ya Marekani anaanza ku speak ' ebonic' kwa sababu anataka kuji assimilate na wamarekani, anataka kuwa addressed kama "Mmarekani"
Kuna jamaa yangu mmoja alienda Marekani mwaka 2008 kwa programe ya fullbright fellowship. Kwanza kabla hajaenda story zake zilikuwa "aisee nikifika Marekani ntapiga nondo nyie!!" mweeeh kwani hizo nondo huwezi kupiga ukiwa hapa hapa mjini daslamu?
Jamaa akaenda akarudi mwaka 2009, story zake zina taja matukio ya " D.C, Jersey, etc.
Akiwa anafanya kazi kwenye internet cafe net kazi inakuwa kumu harrass mtoa huduma. " Afrika mbona internet yenu ipo slow sana nyie, Marekani ukiwa na cyber yenye internet slow kama hii hupati customers kabisa. Marekani hatujazoea kabisa vitu kama hivi" Mweeh " hamjazoea wewe na nani?"
Mwezi wa kumi na moja, mwaka 2002 sista angu aliniita kula likizo Marekani. I was 17 years old ndo nilikuwa nimemaliza kidato cha nne. Nilikaa hadi January nikarudi. Story zilizagaa mtaani kwamba naenda kiwanja. Nilikula mademu mpaka ambao sikuwatarajia. Nilipo rudi nikawala zaidi. (Na walikuwa ni mademu mademu kweli sio malaya! w ala watu wazima wenye michirizi na alama kati kati ya mapaja. walikuwa ni age mates wangu, ninao wazidi kidogo na wanao nizidi kidogo.
Niliporudi kuna baadhi ya wana walinitenga kwa sababu waliona nnaringa. Kuna mwamba mmoja alikuwaga na story za kuzamia tangu miaka ya tisini (alikuwa rafiki yake na brother). Huyu akageuka kuwa chawa wangu, siku nzima kuniuliza tu story za mtoni.. Alikuwaga na emails kibao anawasiliana na watu mara sijui vyuo wanasema watampeleka mtoni.
Kuna jamaa walimtengeneza akajaa akawatumia laki tatu wamvute Marekani. Hiyo laki tatu aliwapa wakiwa katika ya mwisho kabisa na ilikuwa ni malipo ya kupewa visa (Alipigwa).
Ilikuwa mwaka 2003 mwanzoni, kama kesho yake ndo anaenda kuchukua "visa" akawa anatamba mtaani, "kabla inda club haijashuka chati nitakuwa mtoni"
Back to the question why do most Tanzanians and Africans at large feel at home in the US?
Dada angu ambae yupo USA tangu mwaka 97 sasa anafikiria kurudi Tanzania kumalizia maisha yake Tanzania.