marekani

  1. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Wa Iran wa Tanzania kufanya dua leo ya kumuombea kiongozi wa iran aliyeuwawa na marekani.

    Kwa maana hiyo, mtag muiran unayemjua hapa jf kua asogee sehemu tajwa hapo juu akaomboleze na wenzake asiishie tuu kubishana huku jf.
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kamwe Marekani haiwezi kuruhusu au kufanya haya popote duniani

    1. Kamwe Marekani haiwezi kuruhusu nchi yoyote duniani iwe na uwezo wa kuunda silaha ambazo mwisho wa siku zikirushwa zinaweza kufika au kutua ndani ya ardhi ya Marekani na hatimae kuleta madhara kwa wamarekani ndani ya marekani. Na ndio maana nchi zilizojaribu kutengeneza silaha za maangamizi...
  3. dogman360

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Putin kashindwa kufanya kwa Zelenskyalichofanyiwa Ayatollah wa Iran na Marekani?

  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Je, Putin anajifunza kitu kutoka kwa Marekani na Israel? Hawa jamaa wanatoa Elimu kwa Vitendo

    Miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa 1. Russia wapo vizuri sana ni Taifa la kutisha sana. Tumeona washirika wake wote wakitendewa uhanithi. 1. Assad 2. Maduro 3. Khamenei Yeye anahangaika na yule mchekeshaji wa Ukraine mpaka leo na anatumia mpaka mamluki wa...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinaripoti kwamba binti wa Khamenei ameuawawa.

    Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimeripoti kwamba binti yake Khamenei, mkwe wake wa kiume, mjukuu wake na mkwe wake wa kike wameuawa. Kwa mujibu wa taarifa za awali, vifo hivyo vinadaiwa kutokea kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni yaliyoripotiwa kulenga makazi yake. Hata hivyo, maelezo...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani, Donald Trump Amethibitisha Kifo cha Khamenei

    Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, baada ya mashambulizi ya anga ya pamoja ya Marekani na Israel kulenga makazi yake siku ya Jumamosi. Trump alisema kuwa Khamenei na maafisa wengine wa Iran “hawakuweza kukwepa ujasusi wa Marekani na mifumo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kisa tu kutokuipenda Marekani au Israel au sababu za kidini, ni sawa kuisapoti serikali ya Iran iliyozima internet na kuua wananchi zaidi ya elf 30?

    Wakati Serikali ya Iran ilipozima intaneti na kuanza kuwamiminia risasi wananchi wa Iran waliokuwa wakidai haki zao, tukio hili halkupewa uzito, waliofyatliwa risasi walilaaniwa na hata kusingiziwa ni raia wa kigeni kutoka Israel na Marekani, wakachukuliwa kama wahaini wa taifa, wakati wale...
  8. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Sababu za Marekani kutaka Vita na IRAN

    1. Hatari ya silaha za nyuklia Marekani inaona mpango wa nyuklia wa Iran kama tishio kubwa—inamshutumu Iran kutaka kujenga silaha za nyuklia (na wakati huo Iran inasema ni kwa matumizi ya amani tu). Marekani inadai inataka kuzuia Iran isipate uwezo wa nyuklia kamili kwa maana ya tishio la...
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Vita itageuka kuwa ya Waarabu tu, hakuna Marekani atakayeumia

    Sasa Iran anazishambulia nchi za waarabu wenzake ikiwemo nchi yao ya Saudi Arabia yenye chimbuko la wavaa kobazi alafu unakuta mvaa kobazi wa Yombo Vituka au Bonyokwa anashangilia Iran kuwapiga makombora wavaa kobazi wenzake. Marekani yeye anakuletea vita mlango kwako either utake au usitake...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika (AU) umeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran.

    Kamisheni ya Umoja wa Afrika imeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, ikisema hatua hiyo inaongeza ukali wa mzozo Mashariki ya Kati.
  11. O

    JamiiForums Tanzania TAARIFA MPYA: Australia imesema inaunga mkono operesheni ya Marekani dhidi ya Iran.

    Serikali ya Australia chini ya Waziri Mkuu Anthony Albanese imepongeza uamuzi wa Marekani kuendesha operesheni dhidi ya Iran ili kuizuia nchi hiyo kupata silaha za nyuklia na kuzuia tishio la usalama wa kimataifa, ikisema inasema pamoja na “watu hodari wa Iran katika mapambano yao dhidi ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Balozi wa USA Huckabee:''Raia wa marekani kateni tiketi kimbieni mapema israel kabla hamjachelewa

    Balozi wa marekani nchini Israeli Mike huckabee amewaambia maafisa wa ubalozi ya kwamba kama wanataka kuondoka ndani ya ardhi ya Israel waondoke mapema ''Haina haja ya kupanic kama mnataka kuondoka basi fanyeni mapema muondoke na msicheleweshe safari ''Popote mtakapo kuwepo Kateni tiketi...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Zambia imekataa ufadhili wa zaidi ya dola bilioni 1 kutoka kwa utawala wa Marekani chini ya Donald Trump

    Zambia imekataa ufadhili wa zaidi ya dola bilioni 1 kutoka kwa utawala wa Marekani chini ya Donald Trump, na hivyo kuwa nchi ya hivi karibuni barani Afrika kufanya hivyo baada ya Zimbabwe. ========== Zambia has rejected a more than $1-billion funding from the US administration of Donald Trump...
  14. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Marekani: Makelele yazuka wakati wa hotuba ya Trump

    Rais wa Marekani Donald Trump amekosolewa kwa sauti na kelele alipokuwa akitoa hotuba ya Hali ya Taifa. Wakati Warepublican wakimpa Trump shangwe za kusimama alipokuwa akizungumzia sera yake ya uhamiaji, aliwakemea wale ambao hawakusimama akisema, “Mnapaswa kuwa na aibu.” Tukio hilo la mvutano...
  15. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya Marekani na Iran kuna dalili yoyote ya kuepukika au muda wowote toka sasa kuna lipuka huko mashariki ya kati?

    Wakuu kwa yanayo endelea huko mashariki ya kati kuna dalili yoyote ya vita kati ya Marekani na Iran kushindwa kutokea au tuwe tayari kwa breaking news kubwa muda wowote kutoka sasa ? Updates na uchambuzi kuhusu mgogoro wa muda mrefu kati ya Marekani,Israel na Iran shusheni wakuu hapa tupate...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Iran Yasema Ipo Tayari Kuikaribisha Marekani Kuwekeza Iran Endapo Itafikia Maelewano ya Kidiplomasia

    Kufuatia mazungumzo yanayoendelea, Iran yaelekea kulegea na kutoa ushawishi wa kila aina, siyo tu Marekani isiishambulie, bali kujenga mahusiano mazuri ya kidiplomasia na kiuchumi. Kwenye tamko la Serikali, Iran imesema kuwa uhusiano mzuri na Marekani utakuwa na faida kwa pande zote, na kwamba...
  17. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Nchi za Mashariki ya kati huwenda zisisimame Milele wakimruhusu Marekani kutumia Anga zao

    Marekani siku zote inalinda Maslahi yake kwa nguvu Kubwa katika kujilinda huku ameigawanya Dunia katika angle za kijographia ili kuhisisha mawasiliano na kuendelea kumiliki uchumi wa Dunia na kuendelea kujitanua pitia ardhi za wengine Kupitia sera za kimataifa. Katika ugawaji huu wa Maeneo...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Uwezekano mkubwa sana Shambulio la Marekani dhidi ya IRAN ni alfajiri ya ya Jumapili kesho kutwa

    Wadau, taarifa hii ni kwa mujibu wa uchambuzi wa vyanzo mbalimbali vya uhakika duniani na taarifa za ndani, hivyo uwezekano mkubwa ni alfajiri ya kuamkia jumapili tarehe 22.2.2026 kwa saa za Marekani. Shambulio hilo malengo ni kuuangusha utawala wa Kiislamu wa AYATOLLAH KHAMENEI. Kibali...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania DR Congo yatoa Mgodi wa Tantalum wa Rubaya Unaoshikiliwa na Waasi kwa Marekani Katika Makubaliano ya Madini

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeongeza mgodi wa coltan wa Rubaya unaoshikiliwa na waasi — ambao ni miongoni mwa maeneo tajiri zaidi duniani kwa madini ya tantalum — kwenye orodha fupi ya rasilimali muhimu za kimkakati inazozitoa kwa Marekani chini ya mfumo wa ushirikiano wa madini, kwa...
  20. adriz

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa kwa Taifa kubwa kama Marekani kutokuwa na lugha yao ya asili na rasmi, wanazidiwa mpaka na Wamakonde

    Moja kwa moja. Lugha ni kielelezo kikubwa cha utamaduni , historia , utambulisho na ukubwa wa Jamii. Cheki mataifa yote makubwa yana lugha na Dola zilizosumbua zote zina lugha zao China ; Wanaongea kichina na wanajivunia nacho mpaka Xi Jinping anaongea kichina tu wakati wowote. Russia ; wana...
Back
Top Bottom