JUBA, Sudan Kusini
SERIKALI ya Marekani imeonya kuwa italazimika kuutazama upya uhusiano wake na serikali ya Sudan Kusini baada ya viongozi wa Sudan Kusini kushindwa kuendeleza mchakato wa amani.
Tamko hilo limekuja baada ya Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini na Kiongozi wa upinzani Dkt. Riek...
Wote ni mashahidi kwa yanayotokea nchini Marekani hivi sasa kwa Bunge la nchi hiyo kuanza mchakato wa kumfungulia mashtaka Rais wa nchi hiyo kwa matumizi mabaya ya madaraka.
Kwa kifupi katika kuelezea kuhusu sakata hilo ni kuwa inadaiwa kuwa Rais Trump alitumia vibaya madaraka yake kwa...
Mambo muhimu ya kuzingatia au kufanya unapokuwa unaishi nchini Marekani.
Epuka kuishi kwenye miji ya anasa na panga nyumba yenye gharama nafuu.
Miliki usafiri wako mwenyewe achana na kutegemea usafiri wa umma
Fanya kazi moja na tumia weekend yako kujumuika na ndugu, jamaa na marafiki...
Wafanyakazi wawili wanaodaiwa kutumiwa na Saudi Arabia kuichunguza Marekani, wameshtakiwa wakishutumiwa kuwasaidia Maafisa wa Saudi Arabia kupata taarifa binafsi za watumiaji wa Mtandao huo wakiwemo wakosoaji
Nyaraka za Makamani zilizochapishwa na jarida la ‘The Washington Post’ zimetaja majina...
Hawa wanajiita Wanademokrasia ndio waliwaua Sadam, Osama na Abubakar
Waliwashitaki Mahakama gani? Kwanini Umoja wa Ulaya ulimuua Gadafi kama mnyama? Nani aliwawekea vikwazo?
Moja ya eneo duniani ambako siasa ya upinzani inadhibitiwa kwa mkono wa chuma ni Urusi na Uchina ambako leo ndiko madikteta wa Kiafrika waliofukuzwa Ulaya na Amerika wanapishana angani kunywa chai na kupumzisha akili zao huko.
Kwabahati nzuri mimi ni shahidi mkuu, nimekaa Urusi, na Uchina, moja...
Ndege maalumu ya siri ilokaa angani kwa miaka 2 imetua Leo mjini Florida baada ya kukamilisha operation zake kukagua usalama wa USA dhidi ya Wabaya wake
Inasemekana ni ndege pekee ambayo Ina uwezo wa kufanya orbital recording in long range,
Target ni IS na Russia
Britannica
Nashangazwa sana na Dunia Hii ya leo,Haki imekuwa batili,Dhulma inaonekana kuwa haki
Damu za waislamu zimekuwa rahisi kumwagwa,kila mwenye kuuwa leo hujifunzia kwa waislamu.
Tumepandikiziwa makundi na misimamo ya ajabu halafu tumehalalishiwa kuuwawa.
Hapa kwetu tanzania,Ukiunga mkono Muamsho...
Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani, Mike Pompeo ametoa taarifa kuwa wameiagiza wizara ya usafirishaji ya nchi hiyo kusimamisha safari zote za kuelekea Cuba isipokuwa zile za kuelekea uwanja wa ndege wa Jose Marti uliopo Havana.
Pompeo amesema uamuzi huo umechukuliwa kama muendelezo wa vikwazo...
KUNA WATU WAKIONA KATUKIO KADOGO GHAFLA WAKO HUMU
SASA VYEMA KUWAJULISHA WOTE NA HATERS WA NDEGE ZETU MKIONA FAYA INAMWAGIA NDEGE MAJI INAPOTUA SIO KAMA KUNA MOTO
NI SALUTE KWA NDEGE YETU KUIKARIBISHA NCHINI NA ILE NI ALAMA KWAMBA UKO NYUMBANI, NYUMBANI KUMNOGA
MSIKURUPUKE KUJA HUMU
KAMA MKO...
Ndege maalumu za mashambulizi mazito (B-1B Lancer Bombers) zawasili nchini Saudi Arabia
Jeshi la anga la nchini Marekani limetuma idadi isiyojulikana ya ndege maalumu za mashambulizi mazito na zenye kasi kubwa (Supersonic Bombers) aina ya Rockwell B-1 Lancer ama B-1B maarufu na ikijulikana kwa...
Maelfu ya wananchi wa Zimbabwe jana waliandamana kumuunga mkono Rais Emmerson Mnangagwa kupinga vikwazo vilivyowekwa na Marekani pamoja na Umoja wa Ulaya dhidi ya nchi hiyo.
Marekani na Ulaya imewawekea vikwazo maafisa wengi waandamizi wa Zimbabwe pamoja na Rais Mnangagwa kwa madai ya kukiuka...
MICHEZO YA KIPUMBAVU INAYOENDELEA KTK DUNIA HII
1.Trump alisema bora ya ISIS kuliko waasi wa Kikurdi maana Wakurdi ni wabaya na wao si malaika.
2.Trump akasema temewamaliza hawa ISIS asilimia mia hatuna haja ya kupigana vita Syria isiyo na faida na mumuache Bwana Assad atawalinda Wakurdi dhidi...
Makamu Mwenyekiti wa CCM BARA ataongea na umma juu ya msimamo wa chama na diplomasia ya kimataifa kutokea Ofisi ndogo za CCM - Lumumba.
UPDATE
Itakumbukwa kwamba Mkutano wa 10 wa Vyama vya Ukombozi vya Kusini mwa Afrika uliofanyika Zimbabwe tarehe9-12 Septemba 2019 uliazimia Vyama kupaza sauti...
Wasanii kutoka Tanzania washinda tuzo ya east entertainment awards USA ambapo hizo tuzo zilifanyika USA.Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania diamond platnumz alishinda katika kipengele Cha best collaboration ft (baila),rayvanny na nandy wameshinda kwenye kipengele Cha best male/female east and...
Leo Mh Paramagamba Kabudi amehutubia mkutano wa 74 wa Umoja 2a Taifa jijini NewYork marekani.
Tanzania tumedhamiria kubadili maisha ya watu wetu: Kabudi
Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania akihutubia Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa...
U.S. Embassy Tanzania
Kuzorotoa Kwa Haki Za Kiraia Na Haki Za Binadamu Tanzania
Serikali ya Marekani imesikitishwa sana na matukio ya mashambulizi yanayoshamiri na hatua za kisheria zinazochukuliwa na serikali ya Tanzania, ambazo zinakiuka uhuru wa raia na haki za binadamu, na zinazojenga...
Hii ni sehemu ya pili katika muendelezo wa makala inayohusu uhusiano baina ya taifa tajiri na lenye nguvu duniani, Marekani na moja kati ya mataifa masikini duniani, Tanzania. Katika makala iliyopita niligusia kwa juujuu, maeneo ambayo uhusiano ulikuwa mzuri, hasa kwenye huduma za kijamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.