Sasa mke wa Makonda ana kosa gani hadi azuiliwe kuingia Marekani?

Nimeshangazwa sana na katazo la mke wa RC kuingia nchini Marekani. Yeye binafsi ana kosa gani?!

Naomba Pascal Mayalla na Nyani Ngabu mkuje hapa kunitoa tongotongo.

Nawasilisha!
Umeambiwa familia yake yote...mpaka na Mzee Albert Bashite pamoja na Mama Bashite, na mtoto wao Keagan.

Yan mtoto akikua atakuwa anamwuliza baba yake kwanini baba ulizuiwa kwenda Marekani? Of coz na EU, ulifanya uhalifu gani? Halaf Mtoto atauliza tena, kumbe mali zote hizi baba ni zao la Uhalifu?

Kama hiyo haitoshi, tamko la Marekani linasema State Department yaweza kum-designate mhalifu kuwa ineligible kuingia US "Publicly or Privately"...

hiyo maana yake ni kwamba hata marafiki wa karibu wa Bashite - akina Diamond Platnumz, Jokate Mwegelo, Wema Sepetu, Le Mutuz, timu nzima ya Wasafi kwa Sasa watakuwa wanaiona Marekani kwenye games za Computer tu dadeki...unaenda Ubalozini unashangaa hakuna Mtu anayetaka kudeal na Wewe, so very sad
 
Umeambiwa familia yake yote...mpaka na Mzee Albert Bashite pamoja na Mama Bashite, na mtoto wao Keagan.

Yan mtoto akikua atakuwa anamwuliza baba yake kwanini baba ulizuiwa kwenda Marekani? Of coz na EU, ulifanya uhalifu gani? Halaf Mtoto atauliza tena, kumbe mali zote hizi baba ni zao la Uhalifu?

Kama hiyo haitoshi, tamko la Marekani linasema State Department yaweza kum-designate mhalifu kuwa ineligible kuingia US "Publicly or Privately"...

hiyo maana yake ni kwamba hata marafiki wa karibu wa Bashite - akina Diamond Platnumz, Jokate Mwegelo, Wema Sepetu, timu nzima ya Wasafi kwa Sasa watakuwa wanaiona Marekani kwenye games za Computer tu dadeki...unaenda Ubalozini unashangaa hakuna Mtu anayetaka kudeal na Wewe, so very sad
Afikie kote huko ili iweje ... Bash Boy 7 years to come from now atakuwa nyuma ya nondo za gereza lolote hapa tanzania au duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom