Mshauri Mkuu wa Simba marufuku kwenda Marekani

Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
17,277
17,983
Sasa ndiyo tumeona busara ya Mo kumteua Makonda kuwa Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba.
Najua wana Simba wenzake wakifadhaika sana na uteuzi huo.
Hili la kupigwa marufuku kwenda Marekani kwa sababu ya ukiujwaji mkubwa wa haki za binadamu unaiweka wapi Simba SC?
Mo, acha uoga, mtimue Makonda mara moja.
 
FIFA haiitambui siasa ndugu uko dunia ya ngapi?
 
Watakapounganishwa watu wa karibu ya Makonda kwenye zuio hili bila shaka , MO na Simba pia wataunganishwa .

Mungu mbariki Mzee Kilomoni
 
FIFA haiitambui siasa ndugu uko dunia ya ngapi?
Wewe ndiyo nikuulize swali hilo. Uko Dunia ipi?
Yuko wapi Sepp Blatter na jeuri yake yote? Ni Wamerekani hao hao. Wako wapi watemi wa Concacaf ya America ya Kusini na Carribean?
 
Kwani Marekani ni peponi? Tatizo lenu Simba SC inawatesa sana..Na bado!
Sasa ndiyo tumeona busara ya Mo kumteua Makonda kuwa Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba.
Najua wana Simba wenzake wakifadhaika sana na uteuzi huo.
Hili la kupigwa marufuku kwenda Marekani kwa sababu ya ukiujwaji mkubwa wa haki za binadamu unaiweka wapi Simba SC?
Mo, acha uoga, mtimue Makonda mara moja.
 
Wewe ndiyo nikuulize swali hilo. Uko Dunia ipi?
Yuko wapi Sepp Blatter na jeuri yake yote? Ni Wamerekani hao hao. Wako wapi watemi wa Concacaf ya America ya Kusini na Carribean?
Hai waliingilia maslahi ya kisoka . Sasa huyo Makonda anamadhara gani kwenye soka kimataifa? Kama ni the case ya kuuweka uzi si mbaya ila in real sense uwepo wake hauna madhara kama tunavompaisha.
 
Back
Top Bottom