Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Siongei sana
Screenshot_20200201-065842_Twitter.jpg
 
Makonda bado ni kijana mdogo ana familia inakua changa nadhani yeye mwenyewe ataangalia haya yanakuaje kwasababu inavyoonekana hawa wanaoitwa mabeberu wamemkalia vibaya..
Ni vizuri tukipata nafasi za uongozi tujue kuna kesho na tuna watoto wanakua.. na kwamba matendo yetu yaweza kuwasumbua hata kama hawajahusika nayo moja kwa moja..hili ni jambo zito sana.

Kitendo cha kutajwa kwa mke wake kimenitisha kumbe ukifanya mambo mabaya dhidi ya watu usisahau inawagharimu hata ndg zako wa karibu..Kwa nchi kama US kutajwa namna ile tena na Waziri wa mambo ya nje na Jasusi kama huyo Pompi ujue kweli kuna mahala pana tatizo

Ile barua inasema credible sources ina maana wamefuatilia kwa kutumia vyombo vyao ambavyo kama mnavyojua CIA wana nguvu sana..

Tukiangalia hili tatizo kishabiki tutakosea , kwasasa ni kuchukua muda tujitafakari kwamba je kuna shida kama ipo sisi wenyewe kama Wtz tunaimalizaje kwanza..Kenya saiv wao wakiwa na shida wanakaa wenyewe wanamaliza. Na sisi tumalize yetu kwasababu Dunia leo hii imetuangalia vibaya hasa hawa tunaowaita mabeberu.
 
Makonda aka Bashite hajawahi kufanya jambo bila kuacha alama...Haya ni machache tu ila yapo mengi sana aliyofanya ambayo yanakandamiza haki za binadamu na uhuru wa kuishi....Bashite anafanya hayo akikingiwa kifua na Baba Yake Meko na Mjomba wao Hi Now.

1.Bashite anahusika 100% kwa kuawawa kwa Ben Saanane.
2.Bashite anahusika 100% kwa shambulio la Lissu.
 
Makonda aka Bashite hajawahi kufanya jambo bila kuacha alama...Haya ni machache tu ila yapo mengi sana aliyofanya ambayo yanakandamiza haki za binadamu na uhuru wa kuishi.

1.Bashite anahusika 100% kwa kuawawa kwa Ben Saanane.
2.Bashite anahusika 100% kwa shambulio la Lissu.
Itakuwa hivyo kuhusu namba 1 na 2 hapo juu, ndiyo maana neno “gross” limetumika kuelezea huo ukatili wake.
 
Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
Choko choko ipi kipi kigeni ambacho mabeberu wamekisema kwenye ile barua hakikuzungumzwa hapa watanzania wameongea sana kuhusu utovu wa nidham katika uwajibikaji wa makonda

Ajabu mzee akawa anamchekea tu makonda kaharibu mnajua mzee amuachi anamchekea tu haya sasa mmelikologa mlinywe
 
Back
Top Bottom