Marekani na Trump wamefikia wapi kuiwekea Tanzania vikwazo? Jumatatu imepita

Mr worldwide

JF-Expert Member
Dec 30, 2017
348
737
Wakuu wiki iliyopita hapa nchi kulizuka mjadala mkubwa sana wa Tanzania kuwa miongoni mwa zitakazowekewa travel ban na nchi ya Marekani chini ya Rais mtukutu Trump.

Zaidi taarifa hizo zilidai kuwa kufika Jumatatu ya tarehe 27 Marekani itakuwa imetoa list kamili ya nchi zilizopigwa ban na sababu za vikwazo hivyo.

Mimi kama Mtanzania, natamani kujua hali inaendeleaje huko. Maana leo ni Jumatano na sijasikia kitu chochote kutokea huko Marekani.

Je tumepigwa vikwazo au ni propaganda tu zinazoanzishwa na upinzani uchwara dhidi ya serikali ya jiwe hapa nchini?
 
Trump anamalizia mchakato wa aina ya vikwazo atakavyotuwekea makali na athari za dhidi yetu alafu ndo atatangaza rasmi. Kwa hio mvumilieni tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu wiki iliyopita hapa nchi kulizuka mjadala mkubwa sana wa Tanzania kuwa miongoni mwa zitakazowekewa travel ban na nchi ya Marekani chini ya Rais mtukutu Trump.

Zaidi taarifa hizo zilidai kuwa kufika Jumatatu ya tarehe 27 Marekani itakuwa imetoa list kamili ya nchi zilizopigwa ban na sababu za vikwazo hivyo.

Mimi kama Mtanzania, natamani kujua hali inaendeleaje huko. Maana leo ni Jumatano na sijasikia kitu chochote kutokea huko Marekani.

Je tumepigwa vikwazo au ni propaganda tu zinazoanzishwa na upinzani uchwara dhidi ya serikali ya jiwe hapa nchini?
Sasa wewe Bashite pia una hamu na vikwazo?

Watoto wenyewe ni hadi mkeo akapandikiziwe mbegu za wazungu huko Marekani, ukifungiwa kusafiri si ndo uzazi Basi mazee?
 
Wakuu wiki iliyopita hapa nchi kulizuka mjadala mkubwa sana wa Tanzania kuwa miongoni mwa zitakazowekewa travel ban na nchi ya Marekani chini ya Rais mtukutu Trump.

Zaidi taarifa hizo zilidai kuwa kufika Jumatatu ya tarehe 27 Marekani itakuwa imetoa list kamili ya nchi zilizopigwa ban na sababu za vikwazo hivyo.

Mimi kama Mtanzania, natamani kujua hali inaendeleaje huko. Maana leo ni Jumatano na sijasikia kitu chochote kutokea huko Marekani.

Je tumepigwa vikwazo au ni propaganda tu zinazoanzishwa na upinzani uchwara dhidi ya serikali ya jiwe hapa nchini?

Trump alisema mwezi wa pili ndiyo ataongelea hili swala!
 
Back
Top Bottom