Statement ya Marekani ya zuio kwa watanzania ina utata huu kisheria

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Kwenye Sheria kuna vitu viwili kuna credible evidence na credible information

Marekanii walichonacho sio credible evidence wana credible information

Statement yao kifupi eneo lenye utata hii hapa, na I quote

"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam".

Kwa kuwa hawana credible evidence wana tu credible information zuio lao ni null and void kisheria na halina uhalali wala nguvu kisheria
 
Nasisi tumpige ban Pompeo na Trump kwa sababu hizo hizo wasituchezee hawa sisi ni Taifa huru.
Kwa kuwa kitendo chao Cha kutumia credible information kutoa maamuzi badala ya kutumia credible evidence ni ukiukwaji wa wazi wa sheria za Marekani na za kimataifa.

Kwa mamlaka niyonayo kana mwenyekiti wa kijiji Nawapiga marufuku ya kusafiri na kutokanyaga kijijini kwetu Chole Samvula watu wafuatao Donald Trump , Mike Pompeo na familia zao na watu wao wa karibu Kama mahawara zao nk
 
Kwenye Sheria Kuna vitu viwili Kuna Credible evidence na credible information

Marekanii Walichonacho sio credible evidence Wana credible information

Statement yao kifupi eneo lenye utata hii Hapa na I quote

"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam.'

Kwa kuwa hawana credible evidence Wana tu credible information zuio lao ni null and void kisheria na halina uhalali Wala nguvu kisheria
Kwa hiyo unataka kusemaje, kwamba Makonda na mkewe bado wana jeuri ya kwenda Marekani au siyo?
 
Kwenye Sheria Kuna vitu viwili Kuna Credible evidence na credible information

Marekanii Walichonacho sio credible evidence Wana credible information

Statement yao kifupi eneo lenye utata hii Hapa na I quote

"Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam.'

Kwa kuwa hawana credible evidence Wana tu credible information zuio lao ni null and void kisheria na halina uhalali Wala nguvu kisheria

Hivi me nikikwambia sitaki uje kwangu kwani kuna tatizo? Si usije tu uende sehemu nyingine? Alichokuwa anafuata US si anaweza kupata hata Kigoma?
 
YEHODAYA may be you don't know about evidence scenarios... It is from credible information that you can establish credible evidence... You cannot establish evidence without information

Jr
I agree but decision was supposed to be done basing on credible evidence not credible information
 
Back
Top Bottom