marekani

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Marekani yasema haina mpango wa kuondoka Iraq

    Waziri wa ulinzi wa Marekani Mark Esper amekanusha madai kuwa majeshi yake yanataka kuondoka Iraq, baada ya barua kutoka kwa jenerali wa Marekani kupendekeza waondoke. Barua ilisema kuwa Marekani itaondoa vikosi vya majeshi yake siku zijazo au wiki baada ya wabunge wa Iraq kuwataka waondoke...
  2. Royal Tour

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Jenerali Qasem Soleimani alivyouawa na Marekani

    Januari 3 Pentagon ilitangaza kuwa ilimuua Jenerali Qasem Soleimani huyo kufuatia agizo la rais Donald Trump. Kifo chake kimetelezwa kwa ustadi mkubwa ili kuhakikisha Jenerali Qaseem hatoki salama maana Marekani wanautambua uwezo wake mtu huyo kwenye medani za vita. Inaelezwa Qasem Soleimani...
  3. britanicca

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kissinger: Ameonekana kwenye Chumba cha operation za kivita cha Marekani akicheka sana asema waarabu kuwa majivu/Iran na Urusi kuzikwa kaburi moja

    KISSINGER AMEONEKANA CHUMBANI KWENYE MITAMBO YA VITA YA MAREKANI AKICHEKAA 🔷 Kissinger: World War III will come and Muslims will turn to ashes ... Former US Secretary of State Henry Kissinger made loud and dangerous statements after being swallowed up by a long silence until people almost...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Marekani, Uingereza & Norway zimeitaka Sudan Kusini kuunda serikali ya mpito ya umoja wa kitaifa kabla ya Februari 22

    Marekani, Uingereza & Norway zimeitaka Sudan Kusini kuunda serikali ya mpito ya umoja wa kitaifa kabla ya Februari 22, 2020 ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya amani. Mambo yanayoleta mvutano ni: majimbo mangapi yawepo na kuunganishwa kwa wanajeshi 83,000 kutoka vikundi mbalimbali. Swahili Times
  5. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Kila mbabe ana mbabe wake. European Union, UN, Human rights Watch na Amnesty International kwa Marekani huwa ni vikundi vya waporaji tu

    Kinachonishangaza ni kwanini mataifa mengine yako kmya juu ya mambo anayofanya marekani kwa kuchokoza mataifa madogo kisa ana nguvu ya kijeshi. Pia ndio mwanzilishi wa migogoro ya kila aina kisa rasilimali za nchi husika lakini Umoja wa mataifa wako kimya na hakuna lolote wanaongelea juu yake...
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Jenerali Soleimani: Marekani yaanza kupata Washirika, Uingereza yasema ipo ukurasa mmoja na Marekani

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Uingereza, Dominic Raab amesema wapo ukurasa mmoja na Marekani kuhusu mauaji ya Jenerali Qassem Suleimani Amesema ameongea Rais wa Iraq na Waziri Mkuu, pamoja na Ufaransa na Ujerumani, ikiwa lengo ni kurudisha utulivu na kulinda Majeshi na Wananchi wake katika maeneo...
  7. Bikis

    JamiiForums Tanzania Marekani kutoa kipigo zaidi kwa Iran

    Juhudi za kimataifa zinaanza huku Rais Donald Trump wa Marekani, ambaye binafsi aliagiza mauaji hayo ya Jenerali Soleimani, akiitishia Iran kwamba nchi yake itavishambulia vituo muhimu 52 kwa Iran endapo Jamhuri hiyo ya Kiislamu itaamuwa kulipiza kisasi. Akitumia jukwaa lake maarufu la mtandao...
  8. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Linapokuja suala la kulinda maslahi ya nchi Marekani haina msamaha. Watanzania jifunzeni kwa Marekani

    LINAPOKUJA SWALA LA KUTISHIA MASLAHI NA USALAMA WA MAREKANI, HUWA HAIHITAJI KUOMBA USHAURI, KUZINGATIA HAKI ZA BINADAMU WALA KUTII SHERIA ZA KIMATAIFA: Ukiitazama nchi ya Marekani katika taswira ya macho, unaweza kudhani kwamba, ni taifa la kidemokrasia linalofuata utawala wa sheria na kulinda...
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Vikosi vya Marekani vyawaua wanamgambo 26 Iraq Jumamosi ya leo

    Kituo cha televisheni ya taifa cha Iraq kimesema jeshi la Marekani limeshambulia kikundi cha wanamgambo wa Shia, Kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo Baghdad. Wana mgambo 26 wameripotiwa kuuawa katika shambulizi hilo la jana Ijumaa usiku, lakini hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na 🇺🇸 Iraq News
  10. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania The killing of Qasem Soleiman: The US government has done a huge mistake that will cost its Economic interest in the Middle East

    Trump made a huge mistake.He was supposed to bring peace and achieve an important peace "contract"with Iran since they were expecting that to happen. We want peace in the world, no more deaths.Go back home and leave innocent people live their lives. I hope that UE, Russia ,China and Japan...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Marekani kuondoshwa Iraq kwa au kuingizwa gharama kubwa za kuivamia upya Iraq

    Haya ni maoni binafsi yanayotokana na kitendo cha marekani kumuua kanda wa Quds Force Qasem Soleimani mapema leo. Iran itajibu mapigo kwa kupeleka kikosi cha makamanda na wanajeshi wa kujiyolea kwa maelfu nchini Iraq kuikabili marekani. Kikosi hiki kitaliteka jeshi la Iraq kisha kuanzisha...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Marekani wanamkumbuka Sadam Hussein .Sadam alikuwa anawakomesha IRAN watajutia

    Sadam Hussein ailiuliwa kwa ajiki gani haswa.Mbona watamkumbuka sasa
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Marekani yamuwekea vikwazo Waziri wa Ulinzi wa Cuba

    Marekani imemuwekea vikwazo Waziri wa Ulinzi wa Cuba, ikimtuhumu kwa ukiukaji wa haki za binaadamu na kumuunga mkono Rais wa msoshalisti nchini Venezuela Nicolas Maduro. Marekani imemuweka kwenye orodha ya vikwazo Leopoldo Cintra Frias, Waziri wa Majeshi ya Mapinduzi ya Cuba, na watoto wake...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni madhara gani huwapata viongozi wa Kiafrika wanaopigwa marufuku kusafiri kwenda nchi za Ulaya?

    Imesikika mara kadhaa kwamba viongozi (Wengi wa Kiafrika) wanaovunja haki za binadamu nchini mwao, au wale wanaorudisha utawala wa kitumwa kwenye nchi zao, ambao umeambatana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, utesaji na mauaji ya wanaowapinga ikiwa ni pamoja na usiginaji mkubwa wa katiba...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Marekani yawawekea vikwazo maafisa wa usalama wa taifa South Sudani kwa kuteka, kupoteza na kuua

    Dong Samuel Luak na Aggrey Idri walitoweka January 2017 Marekani imewawekea vikwazo maafisa watano wa ngazi za juu za Usalama wa Taifa wa South Sudan, NSS, kwa kuhusishwa na utekaji na mauaji ya wakosoaji wawili wa serikali ya Rais Salva Kiir miaka mitatu iliyopita. South Sudan imekuwa ikikana...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waandamanaji waondoka eneo la ubalozi wa Marekani, Baghdad

    Waungaji mkono wa makundi ya kijeshi nchini Iraq yanayoungwa mkono na Iran ambao walivamia maeneo ya viunga vya ubalozi wa Marekani na kurusha mawe katika maandamano ya siku mbili wameondoka jana(01.01.2020). Hatua hiyo imewezekana baada ya Marekani kupeleka vikosi vya ziada na...
  17. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Marekani anaweza kuziwekea nchi zote duniani vikwazo?

    Nimewaza tu. Urusi pale walipo isingekua vikwazo vya Marekani ingekua iko mbali sana ila miaka na miaka Moscow imekua ikiishi kwa vikwazo. Juzi Rais Putin ametangaza silaha mpya ya supersonic ila akasema wanategemea mfulululizo wa vikwazo kutoka Washington na wamejiandaa, watakabiliana navyo...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani nchini Iraq wachomwa moto, inasikitisha

    Ubalozi wa Marekani nchini Iraq nchi ambayo Marekani imekuwepo kijeshi kwa muda mrefu tangu walipompindua Saddam Hussein umechomwa moto na waandamanaji wenye mrengo wa kuiunga mkono Iran. Hii inafuatia hapo juzi kushambuliwa kwa kambi za wanamgambo huo na kuuliwa wapiganaji wasiopungua 25...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Marekani Neyo aguswa na mapokezi makubwa ya diamond kigoma nakumpa cheo Cha uking mond

    Baada ya diamond kupost mapokezi aliyopata kigoma msanii legend wa Marekani Neyo na mshindi wa tuzo ya Grammy akakoment nakusema A king period.comment hiyo imewafurahisha watu wengi ikiwemo professor Jay, ecejay na mastaa wengine
  20. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Mfichuasiri wa Marekani aliesababisha Rais Trump kuanza Kuchunguzwa ajulikana

    Mfichuasiri 'whistleblower' aliepelekea Rais Trump kuanza kuchunguzwa na kupelekea kupigiwa kura ya kumuondoa madarakani kufanyika afichuliwa. Jana alhamisi Rais Trump alilaumiwa kwa kusambaza kiunganishi cha habari chenye jina la mtu huyo kwamba hii itafanya mazingira yake ya kazi kua magumu...
Back
Top Bottom