marekani

  1. JamiiForums Tanzania Baada ya vikwazo vya Marekani, Huawei kutumia Mediatek chip kuanzia 2021

    Baada ya Marekani kuituhumu Huawei kuwa ni tawi la jeshi la China na kuiongezea vikwazo, mambo yamezidi kuwa magumu kwa Huawei. Kuanzia mwakani Huawei hataweza kuzalisha chip zake za Krin zinazotumika sasa kwenye simu zake za P series. Huawei alikua na mpango wa kutumia chipset ya 5mn+ zake...
  2. JamiiForums Tanzania Jeshi la Iraq lavamia kambi ya kundi linaloungwa mkono na Iran la Kataib Hezbollah, 14 wakamatwa

    Habari! Vikosi vya usalama vya Iraq vimevamia kambi ya kundi lenye nguvu linaloungwa mkono na Iran la Kataib Hezbollah kusini mwa Baghdad na kuwakamata wanamgambo 14 sambamba na zana za kivita zikiwemo roketi, duru zimearifu. Operesheni hiyo maalumu iliyofanyika mwishoni mwa siku ya Alhamisi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi nchini Marekani na matumizi ya nguvu ya polisi dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika

    George Floyd Mauaji ya Mmarekani mwenye asili ya Afrika GeorgeFloyd yamesababisha wimbi kubwa la maandamanondani nan je ya Marekani, watu wa rangi tofautiwakiungaika pamoja kupigania haki zao. Kifo hichopia kimeibua maswali mengi kwa watu wa ngazimbalimbali, kuangalia kwa makini maisha yao...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hivi jamani, hamuoni aibu kila kitu ubalozi wa Marekani, kikitokea kitu mnakimbilia kusema tutashtaki Marekani? Ni ushamba

    Zamani wakati wa ujinga wengi tulikuwa hatujui kuhusu hiyo Marekani tulimezeshwa kila kitu cha upande 1 wa shilingi. lakini inatia aibu kijana ambaye wazazi wake wamempeleka shule lakini leo bado yupo katika zama za ujinga bado anaona kama Marekani ndiyo kimbilio wakati ni nchi hatari hasa kwa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Marekani imedhamiria kuitoa Huawei sokoni, imeituhumu kuwa ni tawi la jeshi la China

    Huawei ilikua inakuja vizuri sana kwa miaka 3 iliyopita. Ghafla bin vuu mwaka jana ikawekwa kwenye black list ya serikali ya Marekani ikaanza kupambana na vikwazo. Sasa Huawei imeanza kupoteza hata ile miradi na mikataba iliyokua imepata ya kufunga mitambo ya 5G. Uingereza iliipa Huawei ila...
  6. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani nchini wasikitishwa na Uminyaji demokrasia na ukamataji wa Viongozi wa Upinzani nchini

  7. S

    JamiiForums Tanzania Wakati wowote kuanzia sasa, viongozi wa nchi fulani wanaweza kuwekea vikwazo vya kusafiri katika nchi za Ulaya na Marekani kama sio kunyimwa misaada

    Kwa yanayoendelea katika Taifa fulani,yanatoa kila sababu kwa Bwana wakubwa wa huu Ulimwengu kuingilia kati na kuchukua hatua.Hatu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na kuwafungia viongozi wa nchi hiyo kutosafiri kwenda Marekani na baadhi ya nchi za ulaya au nchi wahisani kusitisha misaada na mikopo...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani yatakiwa kupunguza upimaji COVID19

    Wakati huo huo, Rais wa Marekani, Donald Trump amewataka maafisa wa afya kupunguza kasi ya kuwapima watu virusi vya corona. Akizungumza katika wa kuzinduliwa kwa kampeni yake kuwania kuchaguliwa tena kwenye uchaguzi wa Novemba, Trump amesema maafisa wa afya waachane na mpango huo kwani...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Naomba msamaha kwa maoni yangu kuhusu wa watu wenye asili ya Afrika kunyanyasika na kubaguliwa Ulaya na Marekani

    Historia ya watu Afrika ni chungu sana toka miaka ya zamani sana kwa mfano kupitia kipindi cha utumwa, ukoloni na sasa ukoloni maomboleo, lakini historia ya watu mbalimbali katika sehemu ya dunia ni chungu pia sio tu ya watu wenye asili ya Africa tu. Yafuatayo ni suluhisho ya ubaguzi wa...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kampeni za urais Marekani

    Mbona watu hawavai mask Wala kuobserve social distance, au corona imeisha huko?
  11. JamiiForums Tanzania JAWS OF THE FORMIDABLE DRAGON BRIDGE: Daraja muhimu la North Vietnam lililosumbua ndege vita (Fighter Jets) za Marekani kuvunja kwa miaka saba (7)

    FORMIDABLE JAWS OF THE DRAGON BRIDGE: Daraja muhimu la North Vietnam lililosumbua ndege vita (Fighter Jets) za Marekani kuvunja kwa miaka saba (7). DRAGON'S JAW ni jina la utani la watu wa Vietname kwa daraja la Thanh Hóa. Wakati wa Vita vya Vietnam, wachambuzi wa masuala ya ujasusi wa CIA...
  12. JamiiForums Tanzania Mjue mwanamama Blanco katika vita ya Madawa kulevya nchini Marekani

    GRISELDA BLANCO - La Dama de la Mafia (Mwanamke wa Mafia) . Katikati ya PORI NENE la Biashara HARAMU iliyotawaliwa na WANAUME visiki. Muite "The Godmother of Drug-trafficking", Bilionea. Kwa miaka takribani 30 alisafirisha maelfu ya tani za UNGA kuingiza Marekani. Alizaliwa mwaka 1943...
  13. JamiiForums Tanzania Kaimu Balozi wa Marekani, Dkt. Inmi Patterson kuondoka Tanzania

  14. JamiiForums Tanzania Yanayowapata wapinzani nchini Tanzania mikononi mwa Polisi hayana tofauti na yanayowapata weusi nchini Marekani isipokuwa hili moja!

    Huyu ni Professor Steve Loche, mhadhiri wa chuo kimoja katika jimbo la Massachusetts na ufuatao ni mkasa uliowahi kumkuta kwa sababu tu mi mtu mweusi...anaeleza: “This is what I wore to work today. On my way to get a burrito before work, I was detained by the police. I noticed the police car...
  15. JamiiForums Tanzania John Bolton, Mshauri wa zamani wa Usalama wa Taifa nchini Marekani ashtakiwa

    Habari! Serikali ya Marekani chini ya rais Donald Trump imemshitaki mshauri mkuu wa zamani wa usalama wa taifa, John Bolton, ili kuzuia kuchapishwa kwa kitabu chake kipya kinachohusu wakati wake alipokuwa katika ikulu ya White House. John Bolton. Kitabu hicho kilichopewa jina "The Room Where...
  16. JamiiForums Tanzania Vladimir Putin wa Urusi akosoa maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi Marekani. Asema yale sio maandamano, ni fujo

    Rais wa Jamuhuri ya Urusi Bwana Vladimir Putin amekosoa vikali maandamano yanayoendelea nchini Marekani ya kupinga ubaguzi na kusema yale sio maandamano bali ni fujo. Putin anasema zile ni fujo zilizojificha kwenye mgongo wa maandamano ya kudai haki za usawa na ubaguzi wa rangi. Binafsi...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hili la Mbowe Marekani na Umoja wa Ulaya wamejitia aibu, ni rasmi sasa kuna kitu wanakitafuta Tanzania

    Tangu mwanzo walio wengi walianza kuwa na shaka juu ya haya mataifa ya nje namna yanavyoitazama Tanzania. Tukio la kuumia kwa mh Mbowe kama inavyodaiwa kuwa alishambuliwa lilileta taharuki kubwa kiasi cha mataifa haya makubwa kuja na matamko mengi. Jambo la kushangaza ni kitendo cha Marekani...
  18. JamiiForums Tanzania US election 2020: Trump kurejesha kampeni zake Juni 19 katika maadhimisho ya siku ya kukomeshwa kwa utumwa nchini Marekani

    Duru zinaarifu kuwa Rais Donald Trump anapanga kurejesha kampeni zake za uchaguzi kwa kufanya mkutano wake wa kwanza panapo Juni 19 mjini Tulsa, Oklahoma. Juni 19 ni siku inayofahamika kitaifa kama Juneteenth ambayo ni kumbukizi ya siku ya kukomeshwa kwa utumwa nchini Marekani. Trump alitoa...
  19. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ajuta na kuwaomba radhi wananchi wa Marekani kwa kuambatana na Rais katika ziara yenye utata ikihusishwa na siasa!

    Wakati wa ziara iliyoleta utata. Mkuu wa Majeshi akiomba radhi... ==== Jenerali Mark Milley aomba msamaha kwa 'kuenda' kanisani na Trump Mkuu wa majeshi nchini Marekani amekiri kuwa alikosea kuungana na Rais Donald Trump wakati wa alipotembea kuenda kanisa lililopo karibu na Ikulu ya...
  20. JamiiForums Tanzania Marekani: Chanjo ya COVID-19 kujaribiwa mara ya tatu na ya mwisho

    Chanjo ya #CoronaVirus iliyogunduliwa na kampuni ya teknolojia ya kibailojia ya nchini Marekani, Mederna, itafanyiwa majaribio ya tatu na ya mwisho mwezi Julai Majaribio hayo yanatarajiwa kuwa na washiriki 30,000. Kampuni hiyo itakuwa na uwezo wa kuzaliwa dosi milioni 500 kwa mwaka Watu wenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…