Trump campaign asks supporters to sign coronavirus waiver ahead of rally Kabla ya kuingia ukumbini kila mmoja wao lazima atie saini kwenye 'Corona Virus Waiver'. Ambayo inamuondolea Trump na timu yake ya kampeni lawama zote iwapo mtu ataugua au afe kwasababu ya maambukizi ya COVID-19 kwenye mikusanyiko hiyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.