marekani

  1. Kuhusu Marekani kujiondoa WHO, Hili likoje kisheria?

    Habari zenu wakuu! Kwanza kabisa, baada ya Marekani kupitia rais Donald Trump kutangaza kusitisha rasmi mahusiano na Shirika la Afya Duniani WHO, kunaweza kuwa pigo kubwa kwa shirika hilo maana hapo baadaye ndani ya kila miaka miwili shirika litakuwa likizikosa dola za Kimarekani takribani...
  2. Tukio limetokea Marekani, wanaoumia na kuteseka ni watanzania

    Tukio limetokea Marekani, wanaoumia na kuteseka ni wabongo kisa mtu mweusi kuuawa. Hao wanaoandamana na kuvunja maduka na kuiba bidhaa zilizomo walikuwa wapi hawakuandamana kipindi Marekani amevamia na kuuwa "innocent people" bila kujali wazee, watoto na wajane, bila huruma yoyote! Nchi za...
  3. Marekani: Afisa wa polisi aliyefutwa kazi Derek Chauvin ashitakiwa kwa mauaji ya George Floyd. Mkewe ataka talaka

    Afisa wa polisi aliyefutwa kazi Minneapolis Derek Chauvin amekamatwa na kufunguliwa mashitaka ya mauaji juu ya kifo cha George Floyd, mwendesha mashitaka wa kaunti ya Hennepin Mike Freeman alisema. Afisa huyo wa zamani alionekana katika video akiikandamiza kwa goti lake shingo ya Floyd kwa...
  4. Marekani yajitoa rasmi Shirika la Afya Duniani WHO

    Rais wa Marekani Bwana Donald Trump leo ametangaza nchi yake kujitoa rasmi shirika la afya Duniani. Marekani huchangia 15% ya bajeti ya WHO na ndie mchangiaji mkubwa anayetegemewa. Je, WHO itaweza kuishi bila mchango wa USA? Je, ni wakati nchi zetu masikini kuanza kuchangia WHO?
  5. IS yamshambulia Waziri Mkuu wa Iraq. Yamuita "kibaraka wa Marekani"

    Kundi la wanamgambo linalojiita Dola la Kiislamu, IS limemshambulia Waziri Mkuu mpya wa Iraq, Mustafa al-Kadhimi, kwa kumuita "kibaraka wa Marekani". Aidha IS imekosoa hatua ya kufungwa kwa eneo takatifu zaidi la ibada la Kiislamu katika mji mtakatifu wa Mecca, nchini Saudi Arabia, katika hatua...
  6. Marekani tena kazi ipo

    Taifa la Marekani limetoa taarifa ifuatayo, kumbuka kaimu balozi wa Marekani aliitwa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa kimataifa kuhojiwa, one does not have to be a genius to understand this.
  7. J

    30% ya wagonjwa wa Corona duniani wako Marekani, Tanzania yakanusha hospitali zake kuzidiwa na wagonjwa

    Takwimu za WHO zinaonyesha kuwa 30% ya wagonjwa wote wa Corona duniani wako Marekani. Kadhalika Tanzania imekanusha taarifa za ubalozi wa Marekani kuwa hospitali zimexidiwa na wagonjwa wa Corona. Serikali imesema maambukizi ya Covid 19 yamepungua sana na wananchi wanaendelea na shughuli zao...
  8. Marekani: Trump atishia kufunga mitandao ya kijamii nchini Marekani

    Donald Trump anatarajia leo Alhamisi kutia saini kwenye agizo linalolenga mitandao ya kijamii, maafisa wa Ikulu ya White House wamesema, saa chahe baada ya rais huyo kutishia kudhibiti au kufunga makampuni ya mitandao yote ya kijamii, akiyatuhumu kujaribu kuzuia uhuru wa kujieleza. Wawakilishi...
  9. Ushauri: Tanzania iwafukuze mabalozi wa Marekani na Uingereza kwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu

    Inafahamika kwamba taarifa kuhusu korona zinatolewa na Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu. Balozi za Uingereza na Marekani zinatoa vipeperushi na kusambaza dunia nzima kwamba Dar es Salaam na maeneo mengine nchini, corona imetapakaa na mahospitali yamezidiwa wagonjwa. Kauli hizi zinaingilia...
  10. T

    Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya Huawei sasa kushitakiwa Marekani

    Mwaka 2018 Marekani kwa kushirikiana na Canada walimkamata mkurugenzi wa fedha wa Huawei alipokua anabadilisha ndege kwenda nchi moja wapo ya Marekani ya kusini. Tokea kipindi hicho mkurugenzi huyo yuko chini ya ulinzi nchini Canada akipigania haki yake ya kutokuhamishiwa marekani akashitakiwe...
  11. Marekani yaituhumu Urusi kupeleka ndege za kivita nchi Libya

    Marekani imesema Urusi imepeleka ndege za kivita Libya kuwasaidia mamluki wake wanaopigana upande wa kamanda Khalifa Haftar mashariki mwa Libya. Wakati huo huo, Urusi imesema inaunga mkono usitishwaji wa mapigano Libya Katika tangazo lake lililochapishwa jana, kitengo cha jeshi la Marekani...
  12. Baada ya kutoa mabandiko kuhusu hali ya Corona nchini, Kaimu Balozi wa Marekani aitwa Serikali kutoa ufafanuzi

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imemwita Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Imni Patterson ili kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ambayo Ubalozi huo umekuwa ukiyaandika katika mitandao yake ya kijamii bila ya uthibitisho. Kaimu Balozi huyo...
  13. Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Habari! Karibu ili kujuzwa na pia kupata taarifa (masasisho) mbalimbali ya kile kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) almaarufu kama "kirusi cha Wuhan" kutoka nchini China. Katika uzi huu utapata kufahamu mambo mbalimbali hususani hali ya ongezeko na ukuaji, jitihada...
  14. Kuna athari zozote kama tukivunja uhusiano na WB,IMF au Marekani?

    Hivi kuna jambo lolote baya litatokea kama Tanzania tukiamua kuvunja uhusiano na Shirika la fedha Ulimwenguni (IMF), Benki ya Dunia (WB), au nchi ya Marekani? Badala ya mjadala wa kuendelea ama kutokuendelea kuwa na uhusiano na taasisi hizo ama nchi ya Marekani kwa nini kama taifa tusiamue...
  15. Ubalozi wa Marekani wasisitiza maambukizi ya Corona jijini Dar yameshika kasi. Wadai Hospitali zimeelemewa!

    Baada ya serikali hapo jana siku ya Iddi kutangaza kubakiwa na wagonjwa wachache kabisa wa COVID19, kupitia kwa PM Majaliwa, Ubalozi wa Inmi Patterson amewatahadharisha raia wa Marekani waliopo Tanzania. Balozi huyo, amesema hivi: 'Mahospitali mengi Dar es salaam yamelemewa na wagonjwa, nafasi...
  16. Marekani yawawekea vikwazo wanaotoka Brazil

    Katika juhudi za kupamba na mripuko wa #CoronaVirus rais wa Marekani Donald Trump amepiga marufuku wasafiri kutoka Brazil Afisa habari wa Ikulu ya Kayleigh McEnany amesema kuanzia Mei 28, watu wote wasio raia wa Marekani ambao wamekuwa nchini Brazil katika muda wa siku 14 zilizopita...
  17. Ujumbe wa Tibor Nagy kuja Tanzania kwa namna Serikali inavyolichukulia janga la COVID -19

    Huyu aliyenena haya ni Tibor Nagy naibu wa mwanadiplomasia wa wizara ya nje Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika. Hatimaye mabeberu yameona usanii wetu.
  18. Marekani yaipatia Tanzania billioni 12 kukabiliana na Corona

    Marekani imetangaza kuwa kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) itaongeza USD 2.4 M (Tsh. Bil. 5.6) ikiwa ni msaada kwa sekta ya afya kuimarisha uwezo wa maabara na upimaji wa kimaabara, jitihada za utoaji taarifa na miradi mingine mbalimbali. Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa...
  19. Bendera ya Marekani kupepea nusu mlingoti kwa siku 3 kuomboleza waliokufa kwa Corona

    Rais wa Marekani Donald Trump ametoa amri ya bendera ya nchi hiyo kushushwa nusu mlingoti kwa siku tatu mfululizo, kuomboleza vifo vya Wamarekani waliokufa kutokana na virusi vya corona. Trump ameamrisha hatua hiyo, baada ya idadi ya vifo vinavyotokana na ugonjwa wa COVID-19 kukaribia 100,000...
  20. M

    Ulaya na Marekani wanaondoa raia wao nchini, hao watalii watatoka wapi baada ya kufungua anga?

    Rais amedai kuna watalii walio book safari na kujaza ndege zote toka Ulaya, anajuaje kuhusu hizo ndege, anapewa data na kampuni za hizo ndege? Kwani ukinunua tiketi unasema sababu za safari? Hizo ndege zilifanyiwa booking toka kabla ya korona, anafikiri wasafiri wata riski kusafiri kuja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…