Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,011
- 9,879
Rais mteule wa Marekani, Joe Biden anayetajai kuapishwa Januari 20, ameandika kuwa miaka minne ijayo ni miaka ya kuirejesha demokrasia.
Ametaja kutakuwa na upya wa siasa ambayo itakuwa inatatua matatizo ya watu na sio kuibua hisia za chuki na ghasia.
Aidha ameweka suala la utawala wa sheria kuwa moja kati ya kitu kitakachoheshimiwa katika utawala wake. Muhula wa rais wa Marekani ni miaka minne.