marekani

  1. T

    Ndege zote za abiria kutoka China kuzuiwa kuingia Marekani kuanzia Juni 16 mwaka huu

    Marekani imezuia ndege zote za abiria za kutoka China kuingia nchini humo kuanzia tarehe 16 mwezi huu. ==== In a move likely to inflame tensions between the United States and China, the Trump administration said Wednesday it will ban all commercial passenger flights by Chinese carriers. The...
  2. Sababu ya Marekani kupiga yowe kuwa nchi za Afrika zinaficha takwimu za Corona ni kuficha aibu kuwa wao taifa kubwa limeshindwa kupambana na Corona!

    Marekani huwa ni taifa linalojiona ni dume linaweza kila kitu kuliko taifa lolote duniani Sasa imekuja Corona nchi za Africa tumeiwezea kuliko marekani Sasa baada ya marekani kuona ohhh vinanipita hata vi nchi vidogo kuishinda corona akaona atafute sababu za kujikosha kuwa ohhh mimi bado niko...
  3. T

    Texas Marekani wazungu wawapigia magoti weusi na kuwaomba radhi ya ubaguzi waliowafanyia miaka mingi

    Hulo Texas Marekani wazungu wafanya maombi ya toba na msamaha kwa Mungu na watu weusi wasamehewe kwa ubaguzi wa rangi, chuki na unyanyasaji waliowafanyia kwa miaka mingi.
  4. COVID-19: Nani mkweli kati ya Serikali yetu na Ubalozi wa Marekani? Je, Tanzania tunawaogopa sana Wamarekani? Kwanini waseme uongo huu waachwe?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala fikirishi, elimishi na hamasishi uzalendo za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hutolewa kwa mfumo wa maswali, makala ya leo ni kuhusu utoaji wa taarifa za Corona, COVID-19: Nani Mkweli Kati ya Serikali Yetu na Ubalozi wa Marekani...
  5. Haki ya kuandamana na tamko la Tanzania kuhusu maandamano Marekani!

    Kufuatia kifo cha kikatili cha Mmarekani mweusi George Floyd, kumetokea maandamano Marekani na sehemu mbalimbali duniani kote tangu wiki iliyopita. Hapa kwetu Tanzania haki ya maandamano imetamkwa kikatiba katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Matukio mengi sana ya kuogofya yemetokea...
  6. Licha ya Watanzania kuwalilia Marekani waache kuwatangaza, jamaa watangaza tahadhari nyingine dhidi ya Tz

    Hivi majuzi balozi wa USA nchini Tanzania alialikwa na wizara ya mambo ya nje, wakamsihi sana kwamba Marekani iache mambo ya kutangaza tangaza hali ya Corona ilivyo Tanzania, lakini mabeberu huwa wakaidi sana, wana jeuri isiyo ya kawaida, wamejibu kwa kutoa tahadhari nyingine dhidi ya Tanzania...
  7. Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

    Wamekuja tena na tuhuma. Muwaite tena. Wanawatuhumu kuficha takwimu tangia April 29 mwaka huu. Hawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.
  8. Marekani wanasumbuliwa na Umasikini sio Ubaguzi

    Marekani ni taifa lenye watu wengi wenye hali mbaya kimaisha mfano 40% ya watu weupe wanaishi kwenye umasikini. Pia watu wengi weusi wanaishi kwenye umasikini na msongo wa mawazo, yaani tuseme wanapata pesa ya kula na kulipia pango basi ili tatizo lipo pia South Africa na Kenya. Mifumo ya...
  9. Noti bandia ya $20 anayohisiwa kuitoa Floyd ndiyo chanzo matatizo Marekani

    dakika 30 za mwisho kabla ya kifo George Floyd Ilianza na ripoti kuhusu noti bandia ya $20. Ripoti ilitolewa jioni ya tarehe 25 Mei, wakati bwana Floyd alinunua pakiti ya sigara katika duka la Cup foods. Baada ya kuamini kwamba noti ya dola 20 aliyoitoa Floyd ilikuwa bandia, mfanyakazi...
  10. Vita ya Marekani na China yaendelea kuwaka, China yatangaza kulipiza kisasi

    China imeionya Marekani kuwa italipiza kisasi baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutangaza vikwazo dhidi ya wanafunzi wa China nchini Marekani katika hatua ya kulalamikia sheria mpya ya usalama wa taifa mjini Hong Kong. Trump alisema Ijumaa kuwa Marekani itawapiga marufuku baadhi ya...
  11. Kifo cha George Floyd: Mashirika ya haki za binadamu yanaiogopa Marekani?

    Tokea tukio la kikatili na kibaguzi lililopelekea kifo cha George Floyd, mashirika ya haki za binadamu yapo kimya sana tofauti na ilivyo upande wa mataifa ya kiafrika. Tumezoea kuona mashirika haya yakikemea vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu katika nchi za ki-Africa lakini leo hii...
  12. Zitto na Lissu mko wapi kulaani yanayotokea huko Marekani

    Nilidhani ''watetezi wa haki za binadamu'' wangekuwa mstari wa mbele kulaani yanayotokea Marekani ,bahati mbaya hawayaoni hayo,kisa ni baba yao ndio anayafanya hayo''mazuri'' hayo yangefanyika Tanzania basi ungewasikia Zitto,Lissu,Fatuma na Maria wanaitisha press conference na kulaani kwa nguvu...
  13. Suala la ubaguzi wa rangi Marekani lina mzizi mkubwa

    Swala la ubaguzi wa rangi Marekani sio swala linalotokea kwa bahati mbaya. Chuki ya Mzungu dhidi ya mweusi sio tabia/hulka ya mtu. Ubaguzi Marekani unatokana na mfumo wa nchi hiyo, Wabaguzi wa rangi nchini Marekani hawajatokea kwa bahati mbaya bali mfumo ndo umetengeneza watu wa namna hiyo...
  14. Nasubiri tamko la Wanademokrasia CHADEMA kulaani mauaji yaliyofanywa na Polisi wa Marekani

    Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani. CC: Mmawia
  15. S

    Mtanzania ahamasisha maandamano Marekani kwa nyimbo za Kiswahili. Waandamaji wamuitikia kwa kuimba Kiswahili

    Mtanzania ahamisha maandamano Marekani kwa nyimbo za Kiswahili. Waandamaji wamuitikia kwa kuimba Kiswahili Serious nimependa sana. Kidogo kidogo kiswahili kitaenea tu.
  16. Je, ni kweli Jeshi la Marekani lina tafiti zinazoendelea Tanzania?

    Nimepewa taarifa na insider/friend in the US Army kwamba Jeshi la Marekani lina utafiti unaoendelea Tanzania chini ya mwavuli wa HIV na Malaria. Nimepewa mpaka na link, I have read it,ni kweli Jeshi la Marekani lina utafiti unao endelea Tanzania.Read the following.Nime-copy na ku-paste...
  17. Trump na Marekani yake si wanademokrasia wafuate haki za binadamu wasiue Watu kwa kutumia jeshi

    "Kikosi kazi mahiri (Jeshi) kimeenda Minneapolis kufanya kazi ambayo Meya wa Democrat ameshindwa kuifanya, kama tungetumia mbinu hii siku mbili nyuma kusingekuwa na vurugu na uharibifu kiasi hiki, Makao Makuu ya Polisi yasingeharibiwa, Asante” - Rais wa Marekani, Donald Trump • “Asilimia 80 ya...
  18. Marekani kutumia Jeshi kuzima Maandamano. Je, Mapigo mangapi yamebaki kwa Marekani ili kumuondolea nguvu ya kiuchumi?

    The governor of Minnesota called up the state’s entire national guard Saturday for the first time since World War II, awaiting what could be a fifth night of violent protests brought about by the death of an African American man in police custody For the past four nights, protesting has led to...
  19. Mbabe wa vita ni Urusi na Uchina, kwa sasa naona Marekani ni wa tano

    Sina maneno mengi ila marekani kwenye vita kabaki jia tu licha ya kuligharamia mno jeshi lake list ni hii 1.RUSSIA 2.CHINA, 3UK (UK + Australia + Canada)
  20. Wanafunzi na watafiti kutoka China wanaosoma Marekani wazuiwa kukaganya Marekani

    Marekakani imekua ikiwatuhumu wanafunzi na watafiti kutoka china kwa wizi wa nyaraka za siri za kiutafiti kutoka kwenye vyuo wanavyosoma na kuzipeleka China. Juzi juzi hapa ilikamata watafiti kadhaa kwa kutorosha sampuli za virusi kwenda China. Marekani imekua ikiituhumu China kutumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…