Yaelezwa Marekani haiwezi tena kushinda vita

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,166
10,897
Mchambuzi wa masuala ya kivita Bing West, ambaye ni mstaafu wa Pentagon na chuo cha kijeshi ametoa sababu kwanini Marekani imeshindwa vibaya kwenye vita vyake vitatu katika kipindi cha miaka 50 kwenye nchi za Vietnam, Iraq na Afghanistan.

Pamoja na hivyo pia ametoa utabiri kwa uoni wake kwanini nchi hiyo haina tena uwezo wa kushinda vita vyovyote vingine vitakavyofuatia.

Katika kitabu chake alichokiita “Three Wars, No Victory — Why?” kilichotoka mwezi Februari mwaka huu, Bing amebainisha sababu tatu kama chanzo cha kushindwa kwa Marekani katika vita hivyo.

Mosi ni makosa ya wapanga sera, makosa ya wapiganaji wa kijeshi na tatu ni watu wa nchi hizo kuja juu kupinga vita hivyo. Lakini katika yote hayo suala la sera ameeleza ndilo kosa kuu linalopelekea kushindwa kwa Marekani na mataifa madogo inayopigana nayo.

1616411603718.png
 
Mkuu nasikia tu kwamba kuna majeshi yake yanapambana kumtoa Assad ila sina uhakika
Kule anatumia sana private companies za ulinzi kupigana e. g Blackwater!

Iraq,Jeshi la serikali liliingia.

Japo nguvu za hao private companies za ulinzi wana kila kitu isipokua nukes.

Hao Blackwater, JWTZ wanakaa...

Kampuni nyingi za kiulinzi kama tajwa hapo juu, zina mifumo imara Kabisa na weledi wa hali ya juu.

Military Industry Complex U. S inachangia 10% ya uchumi wao.

Dunia imebadilika kwa sasa! Hako ka Malawi na mgogoro wa Lake Nyasa, wanaweza weka bond rasilimali zake kadhaa kwa mikataba na makampuni makubwa ya ulinzi duniani, Tz wakakaa vzr tu... Vita ni kibepali tu
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi murua,mi nilidhani kaka mkubwa kaingia mzimamzima syria hafu bado wanamvujisha jasho.
 
Dunia imebadilika kwa sasa! Hako ka Malawi na mgogoro wa Lake Nyasa, wanaweza weka bond rasilimali zake kadhaa kwa mikataba na makampuni makubwa ya ulinzi duniani, Tz wakakaa vzr tu... Vita ni kibepali tu.
Uchochezi
 
Mkuu nasikia tu kwamba kuna majeshi yake yanapambana kumtoa Assad ila sina uhakika.
Muda mrefu mbona!. Wameshindwa kabisa.Kidume Bashar Al Asada yupo na wote waliomkamia kumuondoa tangu Hillary Clinton,Obama na Trump wameshaondoka.
 
Hawajaamua tu, waingize full squad juu kuna B 52 chini kuna Tanks na MGs za ukweli, wiki 1 Assad hatoboi.
 
Kule anatumia sana private companies za ulinzi kupigana e. g Blackwater!

Iraq,Jeshi la serikali liliingia.

Japo nguvu za hao private companies za ulinzi wana kila kitu isipokua nukes.

Hao Blackwater, JWTZ wanakaa...

Kampuni nyingi za kiulinzi kama tajwa hapo juu, zina mifumo imara Kabisa na weledi wa hali ya juu.

Military Industry Complex U. S inachangia 10% ya uchumi wao.

Dunia imebadilika kwa sasa! Hako ka Malawi na mgogoro wa Lake Nyasa, wanaweza weka bond rasilimali zake kadhaa kwa mikataba na makampuni makubwa ya ulinzi duniani, Tz wakakaa vzr tu... Vita ni kibepali tu
Unaichukuliaje Tanzania?
 
Ila lengo lake kuu bado hajatimiza maana anatakaga aondoke huku ameshaacha kibaraka wake .....shida majamaa wakiwekewa mtu bado wanaendelea kupigana wanamshtukia ni kibaraka wa huko.
Umenena kiongoz, kwamfano Iraq halinimbaya Sana maana wale mashia wameumgana na Iran nahili nikosa kubwa Sana marekan watalijutia maisha Yao yote
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi murua,mi nilidhani kaka mkubwa kaingia mzimamzima syria hafu bado wanamvujisha jasho.
hata akiingia mzma mzma anapata taabu sana hasa km hana vibaraka mle ndani anakovamia. Tatzo wametubrain na zile move za watu saba kupambana na majesh na wanashnda. Vita mojawapo waloshndwa vibaya na kupata aibu ni vya vietnam, hvyo US hawapend kukumbuka au kukumbushwa. Pia marekan kashndwa ktk missions za kijesh nyng alizoingia front yy mwenyewe, mfano Somalia walishndwa vibaya na kufa sana. Pia afghanstan mission imefail. Huko majesh yao yalikuwa front.
 
Hata kule Vemezuela miezi kadhaa iliyopita.Japo Serikali ya Trump ilisema haikuhusika lakini pengine baada ya Maduro kuwakamata mamluki.Kama wangefanikiwa basi naamini wangejifaharisha na ushindi huo.
Kushindwa kwingine kwa Marekani nchini Venezuela ni kule kutaka wafe kwa njaa na kuwazuilia mafuta na bado wakashindwa kuzuia meli kuingia nchini humo.Iran kila siku inapenya huku na kule pamoja na vikwazo vyote hivyo.
 
Back
Top Bottom