Nikiwa ninatokea Kariakoo/Ubalozi wa Marekani nishuke kituo gani?

Binti Abdullah

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
653
536
Nimeambiwa niende Mikocheni kwa Rizwan (Senga Road) near St Florence School. Nikiwa ninatokea kariakoo/ubalozi wa Marekani nishukie kituo gani? Mimi nimeishi saaana Iringa na Tabora hivyo ni mgeni/mshamba wa jiji. Wenyeji wa Dar ninaomba msaada wenu.
 
Kama umepanda gar za kkoo-tegeta hapo shuka hata morocco then chukua boda.

Kama umepanda gar ya kkoo-masaki shuka namanga chukua boda
 
Nimeambiwa niende Mikocheni kwa Rizwan (Senga Road) near St Florence School. Nikiwa ninatokea kariakoo/ubalozi wa Marekani nishukie kituo gani? Mimi nimeishi saaana Iringa na Tabora hivyo ni mgeni/mshamba wa jiji. Wenyeji wa Dar ninaomba msaada wenu.
Kama umepanda gari za Kawe shuka ZANTEL,
Na kama umetokea njia ya Salenda shukia Airtel/Morocco
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom