marekani

  1. Bilionea Asigwa

    JamiiForums Tanzania Marekani: Tanzania ni nchi inayoongoza katika masuala ya Usalama Afrika

    Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani hivi leo inasema Tanzania ni nchi kiongozi katika masuala ya usalama katika Bara la Afrika. Hayo yamesemwa leo na General Stephen Townsend na kuripotiwa na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania. General Townsend ndiye mkuu wa Jeshi la Marekani Command...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Marekani imechanja 2.4% ya watu wake na J&J

    Wakati akitoa hotuba ya uzinduzi wa chanjo ya Covid 19 aina ya Johnson and Johnson. Waziri wa Afya, Dr. Dorothy Gwajima amesema kuwa Serikali ya Marekani imetumia chanjo hiyo kuwachanja raia milioni 8 wa Marekani. Sasa ukiangalia population ya USA ni watu 332,915,073. Ambapo hao milioni 8 ni...
  3. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Balozi za Marekani, Uingereza, EU na Canada hazijatoa tamko lolote kuhusu kukamatwa Mbowe?

    Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

    Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Abubakari II mwana wa Mfalme wa Mali alisafiri ki biashara kwenda Marekani 1312

    Alibeba dhahabu kama thamani ya manunuzi ya bidhaa alizohitaji. Baadaea Mansah Musa alibeba dhahabu kwenda Hijja Makka. Wazungu wakipogundua utajiri walivamia The Gold Coast of Africa.
  6. The Assassin

    JamiiForums Tanzania New Jersey Marekani: Watu 50 waliopata chanjo yote ya Covid 19 wafariki kwa Covid 19

    Huko New Jersey Marekani, watu 50 ambao wamepata chanjo yote ya Covid 19, yaani wamepata chanjo zote 2 wamefariki kwa Covid 19. Hivyo kupata chanjo haina maana kua hautaugua covid 19 na haina maana kwamba hutafariki kwa Covid 19. Ndio maana ukisoma ile form ya kupata chanjo ya serikali...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

    Marekani imeipatia Serikali ya #Tanzania zaidi ya dozi milioni 1 za chanjo dhidi ya COVID-19, ukiwa ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo wa #COVAX kwa uratibu wa Umoja wa Afrika Upokeaji wa Chanjo hizo umefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Mambo ya nje Marekani yataka Tanzania kuacha kukandamiza Upinzani na viongozi wake

    Mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje(Afrika) kwenye bunge la wawakilishi la Marekani, Kareen Bass ameguswa na kukamatwa kwa viongozi wa kisiasa Tanzania, Freeman Mbowe na wengine 11. Kareen amesema mamlaka za Tanzania inatakiwa kuacha kukandamiza vyama vya upinzani na viongozi wake. Zaidi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Siri ya Marekani kurudia kurudia kauli ya njama ya “virusi vya Corona kuanzia maabara Wuhan”

    Wakati juhudi za kupambana na janga la COVID-19 zinaendelea kwa ushirikiano kote duniani, wanasiasa na vyombo vya habari vya Marekani wamejitahidi kuzusha kauli isiyo na msingi ya “virusi vya Corona kuanzia maabara Wuhan”. Kumekuwa na swali la kwa nini wana uraibu wa kufanya hivyo, bila kujali...
  10. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Marekani ajiuzulu baada ya kugundulika shoga

    Katibu mkuu wa TEC ya Marekani ama baraza la maaskofu katoliki wa Marekani amejiuzuru wadhifa wake baada ya kugundilika kua ni shoga. Askofu huyo amegundulika kua ni shoga baada ya taarifa kuibuka kua yeye hua ni mhuzuriaji mzuri kwenye bar za mashoga nyakati za usiku na pia amegundulika...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Havana Syndrome: Ugonjwa unaotesa wanadiplomasia na majasusi wa Marekani huku Urusi ikishutumiwa kuhusika

    Ugojwa huu ulianzia huko HAVANA nchini Cuba, ukiwapata wanadiplomasia wa Marekani na Canada na baadae kusambaa katika balozi nyingine za Marekani na kuwapata mashushushu wa Marekani (CIA)! Cha ajabu ugonjwa huu unawapata mabalozi na maafisa wa CIA hasa wale wanaojihususha kuichunguza Russia...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Marekani yatahadharisha raia wake kwenda Uingereza

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimewatahadharisha raia wa Marekani kuhusu kwenda Uingereza ambapo kumekuwa na ongezeko la maambukizi ya #COVID19. CDC wamesema kama kutakuwa na ulazima sana wa mtu kwenda Uingereza ni vyema kwanza akawa amekamilisha dozi ya chanjo. Uingereza...
  13. Richard

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania lazima iwatambue Watanzania wanaopokea fedha kutoka taasisi ya NED ya Marekani kuchagiza harakati za kisiasa

    Taasisi ya NED au National Endowment for Democracy ni taasisi ya kimarekani. Taasisi hii iliundwa kushughulikia harakati za kisiasa duniani baada ya shughuli hizo kuondolewa ndani ya idara ya ujasusi ya CIA. CIA imekuwa ikishughulikia harakati za kisiasa zenye malengo ya kuleta vurugu, au...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Uzoefu kutoka USA: Kodi mbalimbali zinazotozwa nchini Marekani

    Nawaletea uzoefu wa nchi tajiri inayotupa misaada na namna inavyowakamuawananchi wake kulipa kodi Taxes are imposed on net income of individuals and corporations by the federal, most state, and some local governments. Citizens and residents are taxed on worldwide income and allowed a credit for...
  15. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Kuondoka kwa Majeshi ya Marekani Nchi Afghanistan kumewaachia maafa makubwa wananchi

    Ni huzuni kweli kweli,nimeona taarifa ya BBC ikionesha mateso wanayopata Raia wa Afghanistan kutokana na vita Kati ya Taleban na Majeshi ya Serikali. Watu Wana njaa,wanauwawa na Wana majeraha ya risasi na mabomu.Marekani wamekosea Sana kuondoka huku wakijua jeshi la Nchi ni dhaifu.Matokeo yake...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mmarekani wa Tandale akiwa kwao Marekani na wenzake

  17. C

    JamiiForums Tanzania Mizozo baina ya nchi hizi inaweza kusababisha vita kuu ya 3 ya dunia?

    Uliwengu umekuwa na muda mrefu wa utulivu isipokuwa mizozo ya vita katika mataifa machache vilivyohusisha nchi katika mabara tofauti miaka ya hapo nyuma. Tangu kukamilika kwa vita vya pili vya dunia mwaka wa 1945 hapajawahi kuwa na vita vikubwa vilivyohusisha nchi nyingi kote duniani kuweza...
  18. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Nyerere alivyojibu maswali ya Eleanor Roosevelt (First lady) wa Marekani mwaka 1959

    Sikiliza mzee wa nondo alivyokuwa akizimwaga mbele kujibu mashambulizi kutoka pande nne. Ikumbukwe kuwa Eleanor Roosevelkt ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya umoja wa mataifa iliyodraft na kupitisha azimio la haki za binadamu. Katika maongezi hayo ameongelea pia maoni yake kuhusu swala la...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Chanjo ya Corona itakayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile inayotumika Marekani

    Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kipaumbele namba moja cha Rais Samia ni afya za Watanzania hivyo chanjo ya Corona itayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile iliyoidhinishwa na Ikulu ya Marekani kwa ajili ya kuwachanja Wamarekani. Chanzo: ITV habari Nawasalimu kwa jina la JMT!
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kutaja China si jibu kwa Marekani inaposhughulikia tatizo lake la miundombinu

    Kwa siku kadhaa, matukio ya kiusalama yaliyosababishwa na miundombinu iliyozeeka yametokea katika sehemu mbalimbali za Marekani, na kubadilisha maoni ya watu juu ya nchi hiyo iliyotajwa kama ni “gwiji wa mwanzo kabisa wa miundombinu”. Ili kushughulikia tatizo hili, rais Joe Biden “alifanya juu...
Back
Top Bottom