marehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Suala la hospitali kutokuzuia mwili wa marehemu linasubiri muda wa Kampeni? CCM!!!!

    Jana Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM ametoa ahadi nyingi za mambo ambayo Serikali yake itatekeleza katika kipindi cha siku 100 za mwanzo. Moja kati ya mambo hayo ni kuhakikisha kuwa itaondoa utaratibu uliopo sasa wa kuzuia miili ya Marehemu ambayo haijalipiwa, kuchukuliwa na ndugu zao...
  2. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania GE2025 "Mimi na ndugu zangu (wengine ni marehemu) hatukujiandikisha lakini taarifa za tume zinaonyesha tumeandikishwa" . Hii imekaaje?

    Sitaki kuongeza neno wala kupunguza neno, hiyo ni taarifa kutoka miongoni mwa wananchi waliosema wazi kuwa, alichokisema Pole Pole wamekielewa vizuri. Kukumbusha tu, Pole Pole alisema kuwa, Mifumo ya NEC na NIDA inaonana na CCM, na wakati huo huo CCM ndio mratibu wa hiyo mifumo nyuma ya pazia...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina tambua kuwa Watanzania wa leo sio wale 1995 waliokuwa wanasukuma gari la Marehemu Lyatonga Mrema

    Unadhani watu bado mambumbu? Acha maigizo ya kisiasa ================== Mgombea urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, ameapa kuendeleza mapambano dhidi ya ufisadi nchini, akisisitiza kuwa hatapumzika hadi Watanzania wote wanufaike na rasilimali za taifa, na chama hicho kipo makini...
  4. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Video: Kauli ya majivuno ya Marehemu Spika Job Ndugai ndani ya Bunge

    Wakuu hii video Nimeiona Instagram huko kwa kweli imenisikitisha sana, hivi kwanini watu wenye vyeo na mamlaka huwa wanageuka kuwa miungu watu? Nimepata mfadhaiko na kicheko cha uchungu kwa hii kauli ya huyu marehemu. Tuishi vyema hapa Duniani ni pa kupita tu
  5. evangelical

    JamiiForums Tanzania Kumbe Marehemu Ndugai Alikuwa na Wake Wawili?

    Kuna mama amejitambulisha yeye ndiye mke halali wa marehemu ndugai tena walifunga ndoa ya kanisani. Anaitwa Stella Mmasi ,halafu kuna Dr fatma Mganga Halafu moderators acheni dictatorship ya kuondoaondoa nyuzi zangu ================= Stella Mmasy, mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kuzika marehemu kwenye makaburi ni sawa? Asili inasemaje?

    Viumbe vyote hutoka kwenye mavumbi ya ardhi. It is a collection of substances that have been recycled over time. Nataka kuuliza kitu. Kuwazika watu waliokufa kwenye makaburi yaliyojengwa kwa sementi kuna mchango gani kwa asili ambayo ndiyo sisi sote tumetoka huko? Viumbe vyote ,wanyama na...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Marehemu hakosi sifa:Kwa Marehemu Ndungai tutasikia sifa ambazo Serikali ya CCM itaziweka na kila mtu kujisahahu

    Najua wale chawa wa Jf,UVCCM,wasanii,CCM mafisadi na wengine tutapokea kila aina ya kumsifu Marehemu Ndungai usije shangaa mpaka Samia na genge lake la CCM wakasema alikuwa magufuri mwengine.
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani chini ukimwacha Marehemu Maalim Seif Sharfifu Hamadi

    Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi. Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano. Kwa sasa Chadema imetekwa na...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kutafsiri kitendo cha kupiga picha mwili wa marehemu kama udhalilishaji?

    Kuna tabia mpya imezuka nchini ya kuwalalamikia vitendo vya watu wanaopiga na ku-post picha za wapendwa wao wakiwa tayari wamefariki.....aidha wakiwa kwenye jeneza, kwenye matukio ya ajari au wakiwa mawodini... Je kuna ubaya gani mtu kuhifadhi kumbukumbu ya picha ya mpendwa wake akiwa katika...
  10. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Msije Kuingia Mtegoni: Marehemu Hasemwi, Ukimsema Umemshiriki

    GTs, Kuna methali ya Kiswahili isemayo: “Marehemu hasemwi.” Kwa mtazamo wa utamaduni wetu wa Kiafrika na hususan wa Kitanzania, msemo huu una uzito mkubwa. Kumsema vibaya marehemu ni zaidi ya dharau—ni ishara inayoweza kufasiriwa kuwa ulihusika au ulishiriki katika kifo chake. Tangu kufariki...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Marehemu hataki kutulia inabidi Dereva na wananchi wamhimize atulie kwa vichapo

    Wakuu, Hivi hii kweli ni marehemu huwa anagoma au analeta shida kusafirishwa au kuzikwa eneo fulani eti hataki, maana najua tayari ni mfu inawezekanaje?
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Shajara za Marehemu Nangwanda Lawi Sijaona

    LEO SIKU YA KUZALIWA SIJALI ADAM SIJAONA Rafiki yangu Sijali Adam Lawi Nangwanda Sijaona kaniletea ukurasa mmoja wa shajara ya baba yake marehemu Mzee Lawi Nangwanda Sijaona ambayo aliandika, ‘’Baby boy is born at 4 pm.’’ Huyu mtoto ni Sijali Sijaona na tarehe yake ya kuzaliwa ni leo 20 June...
  13. M

    JamiiForums Tanzania CCM fikirieni namna ya kumuenzi Marehemu Kapteni John Komba

    Nimefikiria jinsi alivyotumika kuking'arisha chama kwa utunzi na nyimbo zake hasa katika nyakati ngumu za uchaguzi. Huyu nilianza kumshuhudia tangu enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Hata baada ya kufariki bado nyimbo zake zimetumika katika mikusanyiko ya chama na kwenye kampeni...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Izz al-Din al-Haddad achukua mikoba ya Marehemu Gaidi Mohamed Sinwar

    Kufuatia IDF kumuangamiza Mohammed Sinwar, Izz al-Din al-Haddad (pichani) amechukua uongozi wa tawi la kijeshi la Hamas. Israeli sasa hivi inamfatilia kwa nguvu zote ili imewaangamiza!! Al-Haddad (55) anaidhibiti Hamas katika Ukanda wa Gaza, na kwa mujibu wa vyanzo vya kijasusi, mtu huyo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania CCM , IGP , Bashungwa msikilize Marehemu Magufuli halafu mjitafakari halafu mgeukie Gwajima muone kama ana kosa lolote

    Msikilize Magufuli, Rais Samia utakuwa umemuonea Gwajima kumbagaza kama ulivyofanya
  16. Manepesa

    JamiiForums Tanzania Leo nimemkumbuka rapa niliyemkubali marehemu DMX na jinsi alivyoteseka baada ya kuuza nafsi yake kwa shetani kwa ajili ya umaarufu

    Tangu udogoni ndie alikua rapa wangu pendwa kabisa karibu nyimbo zake zote nilikua nazijua kama si kuziimba Siku Moja nakumbuka nilisevu hela kidogo kidogo nilizokua napewa za shule nikaweza kununua kaset ya album yake ya mwaka 1998.. Anyway leo nimemkumbuka mwamba huyu..alie battle sana na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wakati nikiwa shule ya msingi tulikuwa na monitor wa ajabu sana(kwa sasa ni marehemu)

    Ninakumbuka nilikuwa nikifika darasani nalala juu ya dawati maana ilikiwa ni lazima kulala kama mwalimu hayupo na usipolala unaandikwa jina na kuna adhabu. Mimi pamoja na kulala nilikuwa naandikwa na ninachapwa fimbo na nilibaki na uchungu mno. Basi yule monitor aliniambia kama nataka asiwe...
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Nafuatilia msiba wa Msuya tangu juzi, mbona David Mathayo David hatajwi kwenye watoto wa marehemu

    Tangu juzi kuagwa kwa Mzee wetu mwendazake Cleopa Msuya pale Karemjee Hall mpaka leo hapo Usangi inapofanyika ibada ya mazishi, sijaona Mh. David Mathayo David akitajwa kama miongoni mwa watoto wa Mzee Msuya. Au wameamua kuuchuna kiaina?
  19. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Hayati David Msuya; Alikuwa Mwanachama CCM Asiye na Tabia za CCM

    Jana nimesikiliza kwa makini sana wasifu wa aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri mkuu marehemu Cleopa Msuya. Nilibaki mdomo wazi baada ya kusikia baadhi ya SIFA zake zikisemwa mbele ya Rais na viongozi wengine wa serikali na CCM. Nilivutiwa sana na kauli mbili ambazo zilionyesha...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi aifariji familia ya marehemu Charles Hillary

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu Charles Hillary, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo, tarehe 11 Mei...
Back
Top Bottom