marafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Pata matatizo ujue marafiki wa kweli

    Wiki mbili zilizopita nimepata msiba wa kuondokewa na mzazi wangu wa kiume yaani Baba. Kupitia issue hii nimejifunza mambo Mengi sana. : Rafiki wa kweli siye unayeishi naye sasa. : Sio kila unayemtehemea atakusaidia ( wengi wanajali issue za kuuingiza pesa sio utu) : Uliye mdharau anaweza kuwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Marafiki Mbowe na Samia kudanganyana ni sawa au unafiki?

    Sasa wanasema ni marafiki lakini rafiki mmoja kamdanganya mwingine kwenye maridhiano na kumletea shida. Je huyo rafiki ni rafiki kweli au mnafiki . Chadema wamekosa imani na Mbowe kwasababu ya kumuamini rafiki yake
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Katika marafiki ulio nao wangapi ni marafiki zako?

    Kuwa na idadi kubwa ya wanaokushangilia kipindi ukiwa unaelekea kushinda hakumaanishi una marafiki wengi! Siku utakapoupoteza ushindi ndiyo utashangaa kuwa katika watu mia moja ulioamini ni marafiki zako, walio marafiki zako kweli, pengine hawafiki hata kumi! Inawezekana ofisini kwako...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kutokulipwa pesa zangu pindi ninapo wakopesha ndugu jamaa na marafiki wa karibu. Imepelekea kuvunja uhusiano wa karibu na hao wakopaji

    Heri ya mwaka mpya ndugu zangu wa JamiiForums. Hii ni post yangu ya kwanza ya mwaka huu wa uchaguzi 2025. Natumai uchaguzi utakuwa na mambo mengi sana tutaona sura mpya nyingi za wabunge pale mjengoni. Kwenye mada sasa. Ebhana nimekaa chini na kutafakari nikagundua nimedhulumiwa vihela vyangu...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Marafiki zangu wengi waliokuwa wakifanya shughuli za maonyesho ya mazingaombwe mashuleni na mitaani, sasa wamefungua makanisa

    Wadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua. Enzi hizo walikuwa wanafanya mambo mbalimbali ya kiini macho na kujipatia kipato. Sasa sijui kama wanatumia mbinu hizo hizo...
  6. proton pump

    JamiiForums Tanzania Aina za marafiki unaoweza kukuta nao katika mizunguko ya maisha. Je umeshawahi kukutana marafiki wa aina gani baadae ukaamua kuachana nao?

    Wapo marafiki wa aina mbalimbaali katika maisha unaoweza kukutana nao k.v 1.wenye roho nzuri yaani hata ukiwa kukusaidia ni haraka. 2. Wenye wivu ambao haunekani yaani ukifanikiwa anakusifia kishingo upande. 3.Wenye roho mbaya yaani huyu ni zaidi ya mchawi ukifanya kitu kizuri tu lazima afanye...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Marafiki Ndugu Wawili Waasisi wa TANU

    https://youtu.be/djuL8PYQHMA?si=1e_2imiIOpk3qtC2
  8. G

    JamiiForums Tanzania Wazazi hugundua marafiki wa uongo, Watoto hugundua ndugu wanafki, Marafiki hugundua mpenzi asiekufaa,

    Mzazi ana uwezo mkubwa wa kumtambua rafiki wa kweli Watoto wana kipawa maalum cha kuweza kugundua kirahisi ndugu mnafki Marafiki wa karibu wana jicho makini kuweza kumtambua mpenzi asiekufaa
  9. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukejeliwa na ndugu jamaa na marafiki baada ya kununua ardhi maporini?

    Niliwahi kupokea kejeli miaka kadhaa nyuma baada ya kununua eneo maporini, niliwashirikisha baadhi ya ndugu na marafiki twendeni kuna viwanja vinauzwa na almashauri. Kejeli zao, nani akaishi mapori, huko wanaishi wanyama, mimi nikajilipua nikasema hii pesa yangu ngoja niiwekeze. Ni miaka nane...
  10. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu ‘Squad Goals’: Marafiki wa Kwenye Picha au Maisha Halisi?

    Zama hizi za mitandao ya kijamii, tunaishi kwenye ulimwengu wa aesthetic friendships – zile picha za kikundi cha marafiki wakiwa kwenye vinywaji, sherehe, au safari za kifahari wakitabasamu kana kwamba maisha yao yote ni perfect. Lakini swali linabaki: Je, marafiki wa namna hii ni wa kweli...
  11. 6

    JamiiForums Tanzania Umewahi kubadili namba yako ya simu na kuanza kusajili ndugu na marafiki upya?

    Dunia uwanja wa fujo, Dunia tambara bovu, Waswahili walisema. Kuna muda nafsi inachoka kabisa na harakati au mtindo wa maisha ulionao, unatamani kupiga chini kila kitu na kuanza upya kabisa ukiwa focused. Eneo linalochosha zaidi ni namba ya simu ya muda mrefu inayogeuka kuwa mzigo usiobebeka...
  12. Magical power

    JamiiForums Tanzania Hakikisha unapoalikwa usikusanye kijiji cha marafiki au ukaambatana na watoto zingatia mwaliko unakuhusu wewe tu sio marafiki zako.

    Hakikisha unapoalikwa usikusanye kijiji cha marafiki au ukaambatana na watoto zingatia mwaliko unakuhusu wewe tu sio marafiki zako Hakikisha mnapokuwa mumeahiadiana na mtu kukutana unakuwa ontime maana wapo watu mkiaahidina saa tisa yeye anakuja saa kumi😀 Hakikisha unavaa kuringana na eneo...
  13. Magical power

    JamiiForums Tanzania Ndugu na Marafiki wa Mwanadada Mary Lema wamepaza sauti kuwa mpendwa wao huyo hajapatikana

    Ndugu na Marafiki wa Mwanadada Mary Lema wamepaza sauti kuwa mpendwa wao huyo hajapatikana bado kwenye kifusi cha ghorofa iliyoporomoka Kariakoo na wana imani kuwa bado yupo hai na kuomba wanaoendelea na zoezi la uokoji wasaidie kumtafta.
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nafikiri hivi ndivyo mambo yatakavyo kuwa kama ikitokea kwa asilimia kubwa ulimwengu ukawa chini ya influence ya Russia, China, Iran na marafiki zao

    GEOGRAPHICALLY North Korea atamvamia South Korea ili kutengeneza Korea ya Mamlaka yao China itazichukua Taiwan na Hong Kong kwa asilimia 100. Russia atamchukua Ukraine, Georgia na vinchi vidogo vidogo vya ulaya vile ambavyo vilikuwa chini ya USSR. Iran atamtoa muisrael huku akitengeneza nchi...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la hekima sana kumweka wazi bajeti yako kwenye mtoko wa date lasvyo umempa tiketi ya kuagiza vinywaji ghali na kuleta marafiki zake, n.k.

    Hii ni muhimu zaidi kwetu wenye vipato vya kawaida. Sio jambo la aibu hata kidogo wala sio urijali wala ujanja kwenda date bila kumpanga mapema kuhusana na bajeti. Ukishindwa kujipanga jiandae kupata aibu, kuharibu bajeti yako, n.k. Kumjuza bajeti yako itakusaidia mapema kujua kama yupo nje ya...
  16. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Watu wa kipato cha kati wengi wanaishi kwa hofu za kurogwa na ndugu na marafiki waliowazidi

    Mtu akioata kazi nzuri au biashara ya kueleweka, akajenga Nyumba, Akawa na shamba, na gari la kusafiria au akamuongezea mkewe kadogo ka kutembelea wengi wanaona aliowazidi wanamuonea wivu au wanamvizia wamloge. Hasahasa wale waliokulia kwenye umasikini mkali, na akapata mwanga kuliko wenzake...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Marafiki

    Naitwa dany from singida tanzania (25) naitaji rafiki wa jinsia yyt kunzia 18-25. Mtu awe serious na anaejitambua kwaajili yakupeana company (0746893854) whatsap
  18. Bams

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Kuwa Iran na Israel Kuna Wakati Walikuwa Marafiki Wakubwa?

    Watu wengi wanachukulia kuwa Iran na Israel ni maadui wakati wote, na wengine kwa kutoelewa wanadhani uhasama wa Israel na Iran umechangiwa na utofauti wa imani za kidini. Kama unafikiria hivyo, umepotea kabisa. Kabla ya mwaka 1979, Iran ilikuwa mnunuzi mkubwa wa silaha toka Israel (Before the...
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Huna marafiki wa kweli, tusidanganyane

    Wengi tunaamini wale watu wanaotuzunguka katika mazingira yetu ya kila siku ndio marafiki wa kweli; iwe tunakutana nao maeneo ya starehe kama bar, sehemu za miziki, harusini, au sherehe yoyote; iwe tunakutana nao makazini, idarani, chamani n.k; iwe tunakutana nao misibani, mahospitalini n.k, iwe...
  20. Right Marker

    JamiiForums Tanzania "Weka jicho la umakini kwa marafiki zako"

    SHERIA 2: Usiwaamini sana marafiki. Jifunze jinsi ya kuwatumia maadui. MHADHARA WA 29: Hii ni sheria ya 2 kati ya zile sheria 48 zilizoandikwa na Robert Greene katika kitabu chake cha "THE 48 LAWS OF. POWER". Mapitio: Weka jicho la umakini kwa marafiki zako, ni watu ambao wanakuwa na wivu na...
Back
Top Bottom