mapinduzi

  1. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Nimesoma vitabu 655 na haya ni mapinduzi makubwa saba yaliyotokea maishani mwangu

    Mwaka 2014 nilipata maono ya kusoma vitabu 500 ndani ya miaka mitano. Hii ni baada ya kuanza kusoma vitabu mwaka 2012 na kuona manufaa yake kwenye maisha yangu, na hapo kuamua kuweka nguvu zaidi kwenye kujifunza kupitia usomaji wa vitabu. Maono hayo niliyashirikisha kwenye makala niliyoandika...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yatoa Dola Milioni 75 kutekeleza mradi utaoleta mapinduzi katika elimu ya ufundi

    Serikali ya Tanzania inatekeleza Mradi unaolenga kuleta mapinduzi katika Elimu ya Ufundi Afrika Mashariki (EASTRIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia. Akizungumzia mradi huo wakati wa akifungua mkutano wa pili wa Mwaka wa wadau wa Mradi huo kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia...
  3. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania JamiiForums imeleta mapinduzi makubwa Tanzania

    -Jukwaa hili hutoa nafasi kwa mtumiaji wake yeyote kuchapisha, mambo mbalimbali, kama vile habari, mijadala, na mafunzo mbalimbali, na hivi ndivyo ninavyolijua jukwaa hili. Aidha, jukwaa hili pamoja na kuwa ni chombo cha habari pia huweza kutumika kama sehemu ya mijadala au mafunzo mbalimbali...
  4. apolycaripto

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa: Ni huzuni, aibu, fedheha na si afya kwa Chama cha Mapinduzi(CCM)

    Tamko la kimaslahi, mimi ni nwanachama hai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivyo ni takayo yawasilisha hapa ni kwa manufaa ya ustawi wa chama changu CCM na Taifa letu kwa ujumla. Nimefatilia kwa umakini mchakato mzima wa uchaguzi wa viongozi wetu katika ngazi ya Serika za Mitaa. Hakika...
  5. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Hawa polisi hivi ndivyo walivyo wakirudi majumbani mwao wakisha tekeleza ilani ya chama cha mapinduzi

  6. Rockefeller

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio nchi 10 pekee Afrika ambazo hazijawahi kuwa na mapinduzi ya Serikali.

    Habari za wakati wanajamvi, Leo nimekuja kwenu na orodha ya nchi 10 Afrika ambazo hazijawahi kuwa na mapinduzi ya serikali ya aina yoyote. Nchi nyingi za kiafrika baada ya uhuru ziliangukia katika wimbi kubwa la mapinduzi ya serikali zilizoachwa na wakoloni, kwa kipindi hicho sababu kuu za...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

    Wanabodi, Nafuatia makala maalum kuhusu Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 1964, zinazorushwa mfululizo na Idhaa ya KIswahili ya BBC kila siku kuanzia 1:00-1:30. Katika kipindi cha leo, Mmoja wa askari aliyekuwa zamu ikulu ya Sultani, kwa jina maarufu la Mzee Sukari, anasimulia first...
  8. Mshume Kiyate

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Zanzibar - Januari 12, 1964

    Wana JF. Usiku wa tarehe 12 Januari 1964 kundi la watu 300 walikitwaa kisiwa cha Unguja wakiongozwa na mtu asiyekuwa maarufu kipindi hicho, aliyekuwa akiitwa John Okello, John Okello alikuwa akiishi Pemba ambako alitokea Uganda miaka michache tu. Ndani ya Zanzibar Okello alipata umaarufu kwa...
  9. Paul Mchumi

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Bibi Titi alivyomwaga fedha kumuua Nyerere

    JUMAMOSI Agosti 1, 1970 Mahakama Kuu ya Tanzania iliambiwa na mkurugenzi wa mashitaka jinsi Bibi Titi Mohamed alivyogharamia mapinduzi ya kumuua Julius Nyerere na kuiangusha serikali yake. Mahakama iliambiwa kuwa Bibi Titi katika siku isiyojulikana aliitisha mkutano na katika kikao hicho...
Back
Top Bottom