Hawa polisi hivi ndivyo walivyo wakirudi majumbani mwao wakisha tekeleza ilani ya chama cha mapinduzi

Daisy Llilies

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
1,017
2,154
1571967564778.jpeg
 
Unachopaswa kujua ni kwamba Hawa ni watu Kama watu wengine kwaiyo huwa wanakabiriwa na changamoto Kama wengine so sometimes wanna changamoto Kama zako tu

Ile ni kazi haiwafanyi kua chuma

Kama ambavyo wewe upo maybe na kazi yako mtu akikuona kazini anaona perfection kwako ila nawe ukitoka huko unakabiliana na changamoto Kama watu wengine wa kawaida
 
Hivi wew tukuweke kwenye kundi gani maana hata nikisema una elimu ya darasa la saba ntakuwa nmekupendelea. Hivi unaweza ku draw conclusion kwa picha moja tu kwamba hayo ndo maisha ya kundi fulani? Jifunze kuja na vitu concrete bro.
 
Ni kweli kabisa,naunga mkono hoja.
 
  • Thanks
Reactions: a45
Unachopaswa kujua ni kwamba Hawa ni watu Kama watu wengine kwaiyo huwa wanakabiriwa na changamoto Kama wengine so sometimes wanna changamoto Kama zako tu

Ile ni kazi haiwafanyi kua chuma

Kama ambavyo wewe upo maybe na kazi yako mtu akikuona kazini anaona perfection kwako ila nawe ukitoka huko unakabiliana na changamoto Kama watu wengine wa kawaida

Umesema kweli.
Hayo ndiyo maisha. Majukumu na changamoto hazitambui kazi au cheo ulicho nacho.
 
Kipato cha Askar wa cheo cha chini kabisa kwa maana ya Salaries and other statutory allowance anazopokea Kwa mwezi kinamzidi Bank Teller wa NMB

Jakaya aliboresha sana posho majeshini wakati wake

Ukiona yuko hovyo hivyo ujue changamoto yake ni kwenye matumizi sio kipato

May be ana familia kubwa zaid au mitihan kama ya wategemezi wengi au anasa
 
Unachopaswa kujua ni kwamba Hawa ni watu Kama watu wengine kwaiyo huwa wanakabiriwa na changamoto Kama wengine so sometimes wanna changamoto Kama zako tu

Ile ni kazi haiwafanyi kua chuma

Kama ambavyo wewe upo maybe na kazi yako mtu akikuona kazini anaona perfection kwako ila nawe ukitoka huko unakabiliana na changamoto Kama watu wengine wa kawaida
Umewatetea sana ila wengi wao ni viumbe ambao hawapendi kushirikisha akili zao katika maamuzi.Very hopeless !
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom