Watendaji Wakuu Wa Chama Cha Mapinduzi Ziarani Mikoa Mbalimbali. Dkt Bashiru Yupo Mtwara, Humphrey Polepole Pemba

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau.

Watendaji Wakuu Wa CCM Ziarani Mikoani.

Dkt Bashiru Ally ameanza Ziara ya Siku 3 Mtwara.

Humphrey Polepole ameanza Ziara ya Siku tisa Kisiwani Pemba.

FB_IMG_15822833053106780.jpg
FB_IMG_15822818317581339.jpg
 
Wameanza kutapatapa sasa
Waambie watapata tabu sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi kwann hawa wanapofanya ziara huwa hatusikii taarifa za kiintelijensia kuhusu uvunjifu wa amani au ccm ndio wanahusika kuvunja amani kwenye mikutano ya vyama vingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom