Balozi Seif Ally Iddi; Leo kutakuwa na tamasha la taarabu kwa wageni waalikwa wa sherehe za mapinduzi.

Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
5,592
11,831
Nikwamba nimesikia vibaya ama ni halisi kile alichokisema Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally kuwa leo kutakuwa na tamasha maalumu la taarabu kwa wageni wa sherehe za mapinduzi.?

Hivi limekaaje hili wakuu, ni taarabu vidole juu ama ni aina tofauti ya taarabu wakuu.
Kama ni hivi basi tuna Safari ndefu sana watanzani, inamaana hawakuona burudani nyingine zaidi ya taarabu?

Nani katoa hili wazo??

Kumbe ndo mana namuona mkwele kaenda na bi mkubwa!!

Haya kila la kheri kwenye vidole juu.
Sisi tutakuwa ma DJ hapa JF na wapiga picha na majaji wa kutaja yupi amekuwa bingwa wa kulisakata.

Watch....
 
Sm

Shida yako hutak taarabu au nn hebu eleweka mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna burudani nyingine zaidi ya taarabu tena kwenye tukio kubwa la kitaifa Kama hili.
Labda mkuu wewe ndio hujui taarab! Zanzibar taarab sio vidole juu kama bara, kule watu huketi na waimbaji huketi pia isipokua yule anae ghani mashairi ! Ni burudani sana hata marehemu Omar Ali Juma akipenda sana enzi hizo...Mambo ya vidole juu na kuchambana sijui kumwaga radhi ni huku bara kwa mashangingi na masakambwanga! Kule wastaarabu wana swing tu miili wakiwa wameketi raha mustarehe wakifuatilia maudhui murua ya mashairi ! Elewa mkuu !
 
Kwani taarabu ina maana gani nyingine kwa upande wako mkuu? Mbona ndio utamaduni wa watu wa Zanzibar tangia enzi na enzi? Wao ndio waanzilishi wa twaarab asilia wakiwa na kundi linalomilikiwa na Wizara ya Utamaduni likiitwa Culture.

Ni mahali pa wastaarabu kwenda kuburudika na kufurahia pia
 
Hata siti bint saad enzi za waarabu alikuwa anawaimbia kwenye majahazi. Hakuna burudan ya kutuliza akili kama taarab. Ye anadhani hizi takataka za huku bara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikwamba nimesikia vibaya ama ni halisi kile alichokisema Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally kuwa leo kutakuwa na tamasha maalumu la taarabu kwa wageni wa sherehe za mapinduzi.?

Hivi limekaaje hili wakuu, ni taarabu vidole juu ama ni aina tofauti ya taarabu wakuu.
Kama ni hivi basi tuna Safari ndefu sana watanzani, inamaana hawakuona burudani nyingine zaidi ya taarabu?

Nani katoa hili wazo??

Kumbe ndo mana namuona mkwele kaenda na bi mkubwa!!

Haya kila la kheri kwenye vidole juu.
Sisi tutakuwa ma DJ hapa JF na wapiga picha na majaji wa kutaja yupi amekuwa bingwa wa kulisakata.

Watch....
Unaidharau taarab wewe? Ujue kuna taarab asilia na modern taarab.
 
Nikwamba nimesikia vibaya ama ni halisi kile alichokisema Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally kuwa leo kutakuwa na tamasha maalumu la taarabu kwa wageni wa sherehe za mapinduzi.?

Hivi limekaaje hili wakuu, ni taarabu vidole juu ama ni aina tofauti ya taarabu wakuu.
Kama ni hivi basi tuna Safari ndefu sana watanzani, inamaana hawakuona burudani nyingine zaidi ya taarabu?

Nani katoa hili wazo??

Kumbe ndo mana namuona mkwele kaenda na bi mkubwa!!

Haya kila la kheri kwenye vidole juu.
Sisi tutakuwa ma DJ hapa JF na wapiga picha na majaji wa kutaja yupi amekuwa bingwa wa kulisakata.

Watch....

Mkuu kwani hujuhi tarabu ndiuo mziki wa kia ZNZ ? kama nyinyi kwenu mnavyocheza mdundiko na mdumange ?
 
Labda mkuu wewe ndio hujui taarab! Zanzibar taarab sio vidole juu kama bara, kule watu huketi na waimbaji huketi pia isipokua yule anae ghani mashairi ! Ni burudani sana hata marehemu Omar Ali Juma akipenda sana enzi hizo...Mambo ya vidole juu na kuchambana sijui kumwaga radhi ni huku bara kwa mashangingi na masakambwanga! Kule wastaarabu wana swing tu miili wakiwa wameketi raha mustarehe wakifuatilia maudhui murua ya mashairi ! Elewa mkuu !
"Ushora Ndago, mkuu asante umenena vizuri
 
Back
Top Bottom