Uchaguzi Serikali za Mitaa: Ni huzuni, aibu, fedheha na si afya kwa Chama cha Mapinduzi(CCM)

apolycaripto

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
644
225
Tamko la kimaslahi, mimi ni nwanachama hai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivyo ni takayo yawasilisha hapa ni kwa manufaa ya ustawi wa chama changu CCM na Taifa letu kwa ujumla.

Nimefatilia kwa umakini mchakato mzima wa uchaguzi wa viongozi wetu katika ngazi ya Serika za Mitaa. Hakika kinachoendelea huko hakina afya na pia ni hatari zaidi kwa CCM. Binafsi naamini hizi vurugu mpaka kufikia hatua baadhi ya vyama kujitoa ni aibu kubwa katika utawala wa kidemokrasia ambao kimsingi CCM ndiye mwasisi wake.

CCM imekuwa ikijipambanua kama chama bora na zaidi ni kutokana na utendaji makini wa Rais Magufuli katika kipindi hiki cha awamu ya tano. Katika uongozi wa Rais wetu mambo mengi yamefanyika ambayo sina sababu ya kuyataja hapa. Hii ilikuwa karata tosha ya kutupa ushindi wa kishindo bila ya hofu wala figisufigisu zinazotokana na Watendaji wetu huku chini.

Kimsingi watendaji hawa wa Serikali chini ya TAMISEMI, tuseme ukweli wametutia aibu. Serikali iko uchi na chama changu chenye dhamana ya Serikali na mdau mkubwa wa uchaguzi huu pia kiko uchi

Ebu tujiulize maswali machache katika sintofahamu hii na mwisho ni malizie kwa ushauri.

A. TAMISEMI
1. Je, kwa kutumia mantiki (logic) ndogo tu, TAMISEMI inaamini idadi kubwa ya wagombea wa Upinzani walioenguliwa hawana sifa?

2. Je, nini sababu hasa ya Wagombea wengi wa upinzani kushindwa kujaza fomu zao kwa ukamilfu?

3. Iwapo fomu hizo zilikuwa na ugumu wa kuzijaza, ni kwanini TAMISEMI haikuona umuhimu wa kuwa na Semina elekezi kwa wagombea?

4. Kwakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanasimamiwa na TAMISEMI kupitia Mkurugenzi wa Halmashauri ambaye ana maslahi uchaguzi huu, Je, msimamizi huyu wa chini anakwepaje kubinya haki?

5. Tukiacha uchaguzi huu uendelee bila kujali sintofahamu iliyopo, itakuwa ni kwa manufaa ya nani?

B. CHAMA CHA MAPINDUZI
1. Chama changu kitanufaika vipi na ushindi utaotokana na ukiukwaji wa wazi wa haki?

2. Hivi ni kweli uimara wa chama changu unatokana na ulegelege ama udhaifu wa vyama pinzani?

3. Kwanini chama changu kupitia Msemaji wetu tumekuwa na papara ya kuisemea TAMISEMI juu ya uchaguzi huu?

4. Je! Ni kweli tetesi zinazozagaa huku mtaani kuwa yanayotokea sasa yalipangwa makusudi na Chama Changu?

5. Je! Ni kweli kabisa Wagombea wetu ndani ya CCM wana weledi wa kutosha hivyo kufikia hatua ya kujaza fomu pasipo kukosea?

Iwapo tutaruhusu haya yaendelee, nina wasiwasi ushindi wa kishindo wa CCM katika uchaguzi huu utakuwa ni ushindi wa mkopo ambao bila shaka malipo yake yatakuwa ya gharama kubwa baadae. Chama bora kinapaswa kukuzwa katika ushindani usio na shaka. Hatuna sababu ya kujisifia kupitia njia mbovu zinazopangwa na kutekelezwa na watendaji wetu waliopo chini ili kupata sifa na kupendwa na Mamlaka teuzi.

Nasikitika kuwa ni bahati mbaya sana leo hii nchi imekosa wa kuisemea katika ngazi ya viongozi wetu wakuu wastaafu. Yanayoendelea leo, ingekuwa enzi za uhai wa Mwalimu Nyerere, angekuwa ameishatoka na kusema jambo. Mwalimu hakuwa mtu wa kusubiri maovu yatokee ndipo baadae aingilie. Sifa bora ya viongozi wote makini duniani ni kuwa pro-active, na hii ilikuwa sifa kuu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika enzi zote za uhai wake.

Hakika hatupaswi kutoa mwanya wa Chama changu CCM kushiriki uchaguzi wenye dosari kubwa namna hii. Kwa busara na kwa manufaa ya Nchi, nashauri viongozi wakuu wa Chama changu waishauri Serikali kuhairisha uchaguzi na kutatua kwanza dosari zilizopo kwa njia ya maridhiano kisha tusonge mbele tukiwa salama na wamoja. Hatuwezi kuligawa Taifa katika misingi yenye kunyima haki kwa manufaa ya muda mfupi ya kisiasa.

Nikipata wasaa, nitakuja kuelezea athari katika USTAWI WA CHAMA CHA MAPINDUZI kutokana na sintofahamu hii iwapo mamlaka zenye dhamana katika uchaguzi huu, zitakosa kabisa utashi wa kutatua na kuacha CCM itumbukie katika uchaguzi huu wa hovyo kabisa katika historia ya nchi yetu.
 
Tukubali kushindwa kama hatukujipanga kwa wakati huu

Demokrasia ina mambo mengi ukizidiwa mbinu unarudi nyuma kusahihisha makosa
 
Nimewaza sana jinsi zaidi ya 98% ya wagombea wa upinzani walivyo 'bogus' hadi kushindwa kujaza forms rahisi kama hizi, na hapo ndipo likanijia wazo kuwa kama ccm wako bright hivi imekuwaje wakalipeleka taifa hili katika umasikini uliokithiri pamoja na kuwa na rasilimali tulizonazo!
Lisilopingika na wazi kuwa baada ya kuanza siasa za vyama vingi kuna jinsi ambavyo kasi ya maendeleo imeongezeka na uwezo (compitence) ya wa Tanzania hasa wanasiasa kuongezeka kutokana na changamoto za ushindani. Kwa hiyo tujue bila uwepo wa upinzani nchi itarudi nyuma miaka kadhaa mpaka hapo wajinga wengi watakapogundua umuhimu wa werevu wachache.
 
Tamko la kimaslahi, Mimi ni Mwanachama hai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivyo ni takayo yawasilisha hapa ni kwa manufaa ya ustawi wa chama changu CCM na Taifa letu kwa ujumla.

Nimefatilia kwa umakini mchakato mzima wa uchaguzi wa viongozi wetu katika ngazi ya Serika Za Mitaa. Hakika kinachoendelea huko hakina afya na pia ni hatari zaidi kwa CCM. Binafsi naamini hizi vurugu mpaka kufikia hatua baadhi ya vyama kujitoa ni aibu kubwa katika utawala wa kidemokrasia ambao kimsingi CCM ndiye mwasisi wake.

CCM imekuwa ikijipambanua kama chama bora na zaidi ni kutokana na utendaji makini wa Rais Magufuli katika kipindi hiki cha awamu ya tano. Katika uongozi wa Rais wetu mambo mengi yamefanyika ambayo sina sababu ya kuyataja hapa. Hii ilikuwa karata tosha ya kutupa ushindi wa kishindo bila ya hofu wala figisufigisu zinazotokana na Watendaji wetu huku chini.

Kimsingi watendaji hawa wa Serikali chini ya TAMISEMI, tuseme ukweli wametutia aibu. Serikali iko uchi na chama changu chenye dhamana ya Serikali na mdau mkubwa wa uchaguzi huu pia kiko uchi

Ebu tujiulize maswali machache katika sintofahamu hii na mwisho ni malizie kwa ushauri.

A. TAMISEMI
1. Je, kwa kutumia mantiki (logic) ndogo tu, TAMISEMI inaamini idadi kubwa ya wagombea wa Upinzani walioenguliwa hawana sifa?

2. Je, nini sababu hasa ya Wagombea wengi wa upinzani kushindwa kujaza fomu zao kwa ukamilfu?

3. Iwapo fomu hizo zilikuwa na ugumu wa kuzijaza, ni kwanini TAMISEMI haikuona umuhimu wa kuwa na Semina elekezi kwa wagombea?

4. Kwakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanasimamiwa na TAMISEMI kupitia Mkurugenzi wa Halmashauri ambaye ana maslahi uchaguzi huu, Je, msimamizi huyu wa chini anakwepaje kubinya haki?

5. Tukiacha uchaguzi huu uendelee bila kujali sintofahamu iliyopo, itakuwa ni kwa manufaa ya nani?

B. CHAMA CHA MAPINDUZI
1. Chama changu kitanufaika vipi na ushindi utaotokana na ukiukwaji wa wazi wa haki?

2. Hivi ni kweli uimara wa chama changu unatokana na ulegelege ama udhaifu wa vyama pinzani?

3. Kwanini chama changu kupitia Msemaji wetu tumekuwa na papara ya kuisemea TAMISEMI juu ya uchaguzi huu?

4. Je! Ni kweli tetesi zinazozagaa huku mtaani kuwa yanayotokea sasa yalipangwa makusudi na Chama Changu?

5. Je! Ni kweli kabisa Wagombea wetu ndani ya CCM wana weledi wa kutosha hivyo kufikia hatua ya kujaza fomu pasipo kukosea?

Iwapo tutaruhusu haya yaendelee, nina wasiwasi ushindi wa kishindo wa CCM katika uchaguzi huu utakuwa ni ushindi wa mkopo ambao bila shaka malipo yake yatakuwa ya gharama kubwa baadae. Chama bora kinapaswa kukuzwa katika ushindani usio na shaka. Hatuna sababu ya kujisifia kupitia njia mbovu zinazopangwa na kutekelezwa na watendaji wetu waliopo chini ili kupata sifa na kupendwa na Mamlaka teuzi.

Nasikitika kuwa ni bahati mbaya sana leo hii nchi imekosa wa kuisemea katika ngazi ya viongozi wetu wakuu wastaafu. Yanayoendelea leo, ingekuwa enzi za uhai wa Mwalimu Nyerere, angekuwa ameishatoka na kusema jambo. Mwalimu hakuwa mtu wa kusubiri maovu yatokee ndipo baadae aingilie. Sifa bora ya viongozi wote makini duniani ni kuwa pro-active, na hii ilikuwa sifa kuu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika enzi zote za uhai wake.

Hakika hatupaswi kutoa mwanya wa Chama changu CCM kushiriki uchaguzi wenye dosari kubwa namna hii. Kwa busara na kwa manufaa ya Nchi, nashauri viongozi wakuu wa Chama changu waishauri Serikali kuhairisha uchaguzi na kutatua kwanza dosari zilizopo kwa njia ya maridhiano kisha tusonge mbele tukiwa salama na wamoja. Hatuwezi kuligawa Taifa katika misingi yenye kunyima haki kwa manufaa ya muda mfupi ya kisiasa.

Nikipata wasaa, nitakuja kuelezea athari katika USTAWI WA CHAMA CHA MAPINDUZI kutokana na sintofahamu hii iwapo mamlaka zenye dhamana katika uchaguzi huu, zitakosa kabisa utashi wa kutatua na kuacha CCM itumbukie katika uchaguzi huu wa hovyo kabisa katika historia ya nchi yetu.
Nasaha nzuri.Tatizo ni wahusika kujifanya manunda! Jafo na Pole pole wanatia kichefu chefu waongeavyo kuhusu "uchafuzi" huu.
 
Chadema wajinga sana, hakuna jipya watalofanya! Ila nimefurah maana huwa siwapendi
 
Mkuu kwanza nikupongeze kwa mpangilio wako wa hoja, naomba niweke wazi bila kukipendelea chama changu ccm

Mosi mimi kama kiongoz wa chama ngazi ya kata naomba nikuwekee machache ambayo wenzetu walikosea na sisi tukaona gep na tukalitumia vizuri,
Viongoz wa ccm kabla ya kuchukua form tulikaa vikao na kuanza kuzipia kanuni ambazo tayali vyama vyote vilipewa, na baada tarehe ya form kufika wagombea wetu walichukua tukakaa kuwaelimisha namna ya ujazaji wahizo form kwa kupitia kipengere kimoja hadi kingine kwa umakin mkubwa,
Baada zoezi la kuchukua na kurudisha kuisha na zikabandikwa kwenye mbao tulienda pia ili kuangalia kama wenzetu walikidhi vigezo,
Nakili kabisa kua walicho kifanya wenzetu ni vituko. Form zao nyingi zilikua na kasoro na ndo maana tukawawekea mapingamizi
Ingawa pia kwetu yalikuwepo makosa madogo madogo, lkn Hayo yote wao hawakufuatilia
 
Bora umeanza kufunguka mlichokificha
 
Uzuri tumefika wakati tunaanza kuongea lugha moja kama taifa ndio tunaelekea kwenye democrasia ya kweli.
 
Ona hii hapa sasa ndio ujibu upupu wako
Chadema wajinga sana, hakuna jipya watalofanya! Ila nimefurah maana huwa siwapendi
Screenshot_20191108-092626.jpeg
Screenshot_20191108-070642.jpeg
Screenshot_20191107-224548.jpeg
Screenshot_20191106-190429.jpeg
 
Mkuu kwanza nikupongeze kwa mpangilio wako wa hoja, naomba niweke wazi bila kukipendelea chama changu ccm

Mosi mimi kama kiongoz wa chama ngazi ya kata naomba nikuwekee machache ambayo wenzetu walikosea na sisi tukaona gep na tukalitumia vizuri,
Viongoz wa ccm kabla ya kuchukua form tulikaa vikao na kuanza kuzipia kanuni ambazo tayali vyama vyote vilipewa, na baada tarehe ya form kufika wagombea wetu walichukua tukakaa kuwaelimisha namna ya ujazaji wahizo form kwa kupitia kipengere kimoja hadi kingine kwa umakin mkubwa,
Baada zoezi la kuchukua na kurudisha kuisha na zikabandikwa kwenye mbao tulienda pia ili kuangalia kama wenzetu walikidhi vigezo,
Nakili kabisa kua walicho kifanya wenzetu ni vituko. Form zao nyingi zilikua na kasoro na ndo maana tukawawekea mapingamizi
Ingawa pia kwetu yalikuwepo makosa madogo madogo, lkn Hayo yote wao hawakufuatilia
Ujinga mtupu.....
Sasa kama wenzenu wakitaka hata kukaa vikao vya ndani wanazuiliwa na kubughuziwa na polisi huo muda wa kutoa elimu unatoka wap??

Kubalini kubebwa tuu, ila mkae mkijua dhuruma ni dhambi.

Fair ground haipo, hapo unakenua mijino na kujisifu ujinga sijui wa kuwapa elimu wagombea wenu, wakati wenzenu kupata tuu hata hiyo form ni kwa mbinde, kuirudisha ni mbinde, watendaji wanafanya ufala tuu hawana hata nia njema na wenzao.

CCM haina mtu mwenye akili hata mmoja wa kusema eti anawazidi wapinzani wote. Mmejaa waganga njaa tuu, tangia nianze kuwaona viongozi wa ccm hakuna kiongozi wa ngazi ya chini hasa kata au tarafa anayejielewa. Wote ni mbumbumbu na mapoyoyo tuu. Kila kitu kwenu ni ubabe tuu.

Yaani kiongozi wa ccm ngazi ya kata awe na fikra pevu?? Wote bongo zimelala
 
Back
Top Bottom